Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Hii ndio point ya Muhimu!!Mfalme asipowashirikisha warithi wake katika day to day activities za ufalme watajifunzaje kazi wanazotakiwa kurithi? Haya ni mafunzo kwa vitendo jamani!
Hakuna jingine zaidi ya hilo!