nimeomba mnisaidie nileeje mtoto maana sina uzoefu kwasababu huyo mtoto ni wa kwanzaUnataka tukushauri utafute kimada au? hatujakusoma
mama ahakikishe anaoga vizuri kabla ya kunyonyesha baada ya kudochana. uzazi wa mpango muhimu. mtoto anyonye maziwa ya mama na kuhudhuria klinic kwa ajili ya chanjo.
Nina mke ambaye amejifungua kichanga kama mwezi uliopita. Naomba ushauri wenu hasa wale walio na uzoefu tufanyeje (mimi na mke wangu(hasa ktk mapenzi) ) ili tuweze kumlea mtoto wetu vizuri?
zingatia haya mdogo wangunimeomba mnisaidie nileeje mtoto maana sina uzoefu kwasababu huyo mtoto ni wa kwanza
nimeomba mnisaidie nileeje mtoto maana sina uzoefu kwasababu huyo mtoto ni wa kwanza
Nina mke ambaye amejifungua kichanga kama mwezi uliopita. Naomba ushauri wenu hasa wale walio na uzoefu tufanyeje (mimi na mke wangu(hasa ktk mapenzi) ) ili tuweze kumlea mtoto wetu vizuri?
miezi 6 ya mwanzo mtoto anatakiwa anywe maziwa ya mama tu..
baada ya miezi sita mtoto anweza kuanza kula "solid food" lakini bado aendelee
na beast feedind mpaka mtoto afikishe mwaka na zaidi
jinsi
mama anavyotakiwa kumbeba mtoto wakati wa kumnyonyesha..
picha ya kwanza mpaka ya tatu utaona mama amemshika kichwa mtoto..
mpaka hapo mtoto atakapo kuwa kwenye comfortable position ndo mama ahamishe mkono kwenye mgongo wa mtoto..
daily care..
USIMTINGISHE (SHAKE) mtoto wako no matter what , shingo ya mtoto bado haijakomaa kabisa
kwa hiyo ni mwiko to shake a baby , remember baby is fragile.
baby poo..
mtoto anaekunywa maziwa ya mama ata poo at least once a day mpaka atakapo fikisha
wiki nne. baada ya wiki nne mtoto anaweza ku poo kila baada ya mlo . ni kawaida sana kwa mwana
kubadilisha pattern . mavi ya mwana yana rangi tofauti kwa kawaida utaona rangi hizi tatu
yellow, green au brown ( Green poos are common in a well baby) hata na hivyo kama una wasiwasi ni vema
kuwasiliana na doctor wenu..
kumuogosha mtoto
kwa mtoto mchanga kabisa hakuna haja ya kumuogosha kila siku.. waweza kumuogosha leo kesho
ukamsafisha vizuri tu .. sehemu zote muhimu uso, mikono, bottom, etc...
kama mtoto wako analia sana wakati wa kuogeshwa jaribu hizi njia..
1. usimuogeshe wakati anahisi njaa.
2.Muogeshe kidogo kidogo kuliko kumtumbukiza mwili wote majini.
3.mfune taulo kuanzia kifuani chini muweke taratibu kwenye besinii huku unaondoa taulo
taratibu ( beseni yenye maji ya uvugu vugu)
4. Hakikisha unataulo ndogo juu ya tumbo la mtoto akiwa ndani ya beseni.
5. mdondoshee maji kidogo kidogo juu ya mwili .. usimzamishe mwili wote..
6. USIZAMISHE KICHWA CHA MTOTO MAJINI.. BIG NO...
Dahhhh ninamengi sana kusema kuhusu mtoto mchanga itabidi uniulize maswali unataka kujua nini haswa..
maana ni topic isiyo na mwisho ..