baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,255
- 1,268
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu juu ya hili, mimi nina mahusiano na mwanamke ambaye amenizidi umri wa miaka 8, uhusiano huo mpaka sasa una miaka 3, kwasababu mimi umbo langu kubwa kidogo tunaonekana tupo sawa hata watu wanajua mimi nimezidi miaka kutokana na umbo langu na yeye umbo lake sio kubwa.
Tumekuwa kwenye mahusiano hayo mpaka sasa amenizalia mtoto na nimemzoea sana, kila nikitaka kumuacha roho yangu inauma sana, yaani nishapenda.
Je, swali langu ni sahihi? Tunaweza kufunga ndoa kuwa mke na mume?
Naombeni ushauri wenu.