Kula Breki!!!

Kuhani mmoja wa kitongoji kimoja wa JF Ville adai Mcheza sinema maarufu mmoja wa JF Follywood anajikanganya na vinukta!:D

Naye ajibu kishrekishreki "unachukua kitu kizima kizima ....na kumeza" "don't just jump onto my "nuktas",:mad: alihamaki

Mkuu wa uwanja wa Vita naye arudisha kombora-na kurusha maneno haya "Mkuu usidhani kwamba kwa kurusha maneno yako kama haya kwamba unajiweka mbali na upumbavukali "

Mwandishi wetu alibaini maneno yaliyorushwa kama ifuatavyo, kwa vinukta nukta hapa..."toka utotoni wakati tunafundishwa kutamka A E I O U" "...ni hoodwinking, brainwashing, upumbazwaji"

"Ni tyranny ya Serikali" alihamaki na ni pale mwandishi alipogundua hii ni sababu kuhani huyo kutojifunza shuleni:rolleyes:

"...Ni kutufanya wagonjwa wa vichwa. Sitaki!!!!" aliongeza kuhani huyo.

Mama mmoja wa huko JF Ville naye adai matusi ni mengi-siyo mifano ya utamu!

"matusi ya nini":eek: aliuliza kwa mshangao

Mzee moja wa JF Ville Vijijni alijaribu kutetea, fuata nukta hapo chini:cool:

Mdahalo waendelea... hapa

Rununu ya mwandishi imemfanya mwandishi wetu kutoka faragha!
 
Kuhani mmoja wa kitongoji kimoja wa JF Ville adai Mcheza sinema maarufu mmoja wa JF Follywood anajikanganya na vinukta!:D

Naye ajibu kishrekishreki "unachukua kitu kizima kizima ....na kumeza" "don't just jump onto my "nuktas",:mad: alihamaki

Mkuu wa uwanja wa Vita naye arudisha kombora-na kurusha maneno haya "Mkuu usidhani kwamba kwa kurusha maneno yako kama haya kwamba unajiweka mbali na upumbavukali "

Mwandishi wetu alibaini maneno yaliyorushwa kama ifuatavyo, kwa vinukta nukta hapa..."toka utotoni wakati tunafundishwa kutamka A E I O U" "...ni hoodwinking, brainwashing, upumbazwaji"

"Ni tyranny ya Serikali" alihamaki na ni pale mwandishi alipogundua hii ni sababu kuhani huyo kutojifunza shuleni:rolleyes:

"...Ni kutufanya wagonjwa wa vichwa. Sitaki!!!!" aliongeza kuhani huyo.

Mama mmoja wa huko JF Ville naye adai matusi ni mengi-siyo mifano ya utamu!

"matusi ya nini":eek: aliuliza kwa mshangao

Mzee moja wa JF Ville Vijijni alijaribu kutetea, fuata nukta hapo chini:cool:

Mdahalo waendelea... hapa

Rununu ya mwandishi imemfanya mwandishi wetu kutoka faragha!

acha hizo zako bana we Sura ya Kwanza.......interesting though....kwi kwi kwi kwi kwi
 
Mods naombeni munisaidie na link za hizi habari, kwani ukibofya, linki ni za zamani 'JamboForums' Please help kabla ya funga mwaka!
 
Pale unapo weka Fantasy na Real JF.

Mwandishi wa Kula Brekii ameipata hii kutoka kwa kabila la urembo huko JF Ville.

Baada ya udadisi wa chini, Dada /Msichana huyo alifanya matembezi huko JF Ville Forest Reserve na kukutana na Nyani mmoja huko. Inavyosemekana alifikia kuwa na hisia na Nyani huyo.

Kama kawaida ya Forest Reserve, mara nyingi wanyama kama Nyani huwa wamefungiwa(protected)-read banned

Sasa adai wengine nao wamefungiwa!

Mwandishi wetu aliweza kudaka yaliyopita, na alinukuu...

"...Ume-ban on person and left..."... They both echange..." ..."I dont think kama umefanya fair period..." "...To me that is being weak!...uuuuugh!.

"...I was just trying put..." ..."...no big!":eek:

Hii haijagundulika kama ni vile vifaa vya mwisho wa mwezi au vipi.

Manunguniko haya yanapatikana hapa...
 
Last edited:
Mahakama ya JiFutu yafungulia Mashitaka aliyekuwa Waziri Mkubwa wa Mawaziri Danganyika.

Mwandishi wetu amepelekwa huko, kuperuzi.


Kaa mkao wa Kula Breki!!!:D
 
Mahakama ya JiFutu yafungulia Mashitaka aliyekuwa Waziri Mkubwa wa Mawaziri Danganyika.


Na Mwandishi wetu barabara ya 'Babu ziwa'(sic) JF Ville

Yadai “ameamua kuwa"sue."” Alisikika kachero mmoja mwenye asili ya JF Intelligence, mahakamani hapo

Naye mwanahudhuria gwiji huko alinaswa akiyatamka haya… “…Nafikiri wakati umefika sasa wa kuanza kuhoji…” “…mahusiano ya watu wawili.”:eek:

Mwandishi wetu alibaini hayakuwa mahusiano ya kijamii.;)
wakati huo huo aligundua kwamba tabia ya wanasheria huko huwa haiwapatii washitakiwa michecheto sahihi.:rolleyes:

Mtanzania mwenye majivuno naye alikubali mwono huo ulitolewa na gwiji chila.(asante)

Wakati kesi hii ikiendelea, mwanahudhuria mmoja dogo alimwaga haya…

“…Mimi nakungana kusema Media Solution ishitakiwe na si Mengi kama yeye hili ni kosa na kumtisha Mengi maana huwa hatuko huko wanako andika habari hizi. Pia Warioba nadhani kuna kasoro mahala maana anahusika mno na watuhumiwa wa mambo mbali mbali kama Mahalu na sasa Mwananchi .Mwache aende huko wote ni wana CCM tutaujua ukweli mbele kwa mbele lakini afanye kweli si kusema na kukaa kimya .”

Mwandishi wetu alishindwa kuelewa hii sheria ya ‘nakungana’ ‘sina mengi’, hatuko huko wanako, afanye kweli si kusema na kukaa kimya.:confused:

Shabash! :eek:Mwandishi bado anakungana na msemo huo.:confused:

Naye, Mzee mmoja wa JF Ville kijijini alitoa nasaha yake “Kwenye kesi za madai, unaweza kumdai hata mmiliki wa vyombo hivyo! siyo tu mwandishi au shirika..lenyewe!”

Pia, Mkuu wa uwanja wa vita kama kawaida yake na kipaza sauti alinukuliwa akifoka haya “- Zamani nilidhani Warioba was for real, mpaka nilipopata info zake akijaribu kumtisha masikini balozi wetu mmoja huko majuu, kwamba ni lazima ubalozi umlipie mtoto wake rent, ndio nikamshitukia kua ni another joker tu kama wengine wote kina Makamba, ambaye amejengewa nyumba na Manji, pathetic!

Mwandishi hajaweza kutibitisha haya, na wala kama ya mkuu huyo, ni ya kutibitika.:p

Kama longolongo zingine za kesi za kudai dai, hii ilitokea miaka iliyopita kwa habari zaidi bofya hapa…
 
Jinabi laonekana JF VIlle

Adai, hakuna wa kumtetea ndani ya Chama chenye Utawala Danganyika Ville!


Sasa aomba 'Mchango'

Mwandishi wetu amepelekwa huko, kugandia na kuperuzi michango iliyotolewa huko.

Kaa chonjo!! Kula Breki!!!, Inarudi.:eek::D
 
Jinabi laonekana JF VIlle

Adai, hakuna wa kumtetea ndani ya Chama chenye Utawala Danganyika Ville!


Sasa aomba 'Mchango'

Mwandishi wetu amepelekwa huko, kugandia na kuperuzi michango iliyotolewa huko.


JF Kuwa Chama Tishio Cha Siasa?


Tumesikitishwa Sana . . . .:p
Tumenyanyaswa Sana . . . :mad:
Tumeonewa Sana . . . .:( Alisikika jinabi huyo akiyarusha haya kwa tekelinalokujia la wanajinabi.

Kama kawaida ya sehemu yeyote duniani, baada ya uvamizi wa majinabi huwa kunakuwa na wenye maluelue (hysteria), kwani, gwiji wa kutabikisha akiwa bado anaona mazingaombwe ya jinabi huyo alisema haya “…imebaki siku moja dunia Kuangamia...!”:eek:

Mbingu za JF Ville ziliangazwa, Jinabi nalo likauliza “Sijakuelewa . . . . Unaweza kufafanua usemi wako?

Gwiji la kutabikisha, akajibu kwa mfoko “…Unategemea nini...! kianzishwe chama sehemu ambayo watu ni wadini!?

”Si kila siku kutakuwa ni magomvi na kushikana uchawi! We subiri utawaona tu, kama si kuwasoma...!”

Akielezea udakuzaji wa JF Ville.

Naye Mwanahudhuri machachari mwenye jina asili ya kizaire (yaki-bunifu) Kibuyu na Yango alisikika akikurupuka na hili “…Wacha kuota wewe”

Maluweluwe yaliendelea huku Mwanahudhuria mmoja gwiji wa mtaa wa UK londoni huko JF Ville mjini, ambaye huwa akilala hoi hoi, aliamka na kutoa nasaha fupi “…It can be done if we all play our parts.”

Kwa lugha nyingine 'inawezekana kama tukichezea vidude vyetu':eek:(mwandishi amerudishwa kusomea Kiswahili yakinifu):)

Aliendelea kuongea akiwaameshatoka kulalahoi-hoi na kumueleza gwiji mwingine huko “…Sababu tunayo na uwezo tunao..” alinukuliwa kiualimu –alimu.


Mwenye jinalako langu naye hakupitwa kwani mianga ya mataa ya majinabi ilimfanya acheke sana “…umesema kweli tupu!!” alikejeli.

Jinabi huyo sasa ameanzisha mada ya kupima vyama vya siasa ng’ambo ya JF Ville

Bofya hapa Chadema na hapa chini

CUF


Sasa Jinabi huyo amekutana na Wanadunia wa JF Ville "Moderators wa JF Wametekwa Nyara?" Aogopa wawezakuwa walitekwa nyara na majinabi wenzake:rolleyes:
 
Pundamila akaribia kufunga mjadala! pundamilia0.gif

"...Si nia yangu kuzidi kumjadili Mzee Warioba kwa kiasi hiki kwani ninachodai mimi ni maelezo ya kina na wahusika akina Polisi na TAKUKURU watafanya kazi zaidi kwa niaba yangu..."

Haijajulikana kama huyu mnyama-milia wa JF Ville Forest Reserve atahakikisha Polisi na wazuia rushwa watafanya kazi kwa niaba yake.

...ilionekana amechoshwa na majadiliano yanayoendelea hivi sasa JF Ville mjini!;):cool:


Wakati huo huo naye mwanahudhuri gwiji na machachari wa maeneo ya T Dot, JF Ville mjini baada ya kaswali haka ...

"Maneno ya warioba yanawauma nini hasa?.."

Akajibu kwa mkuki....

"Mkapa na his gang ni viongozi wote wanaohusika na Ufisadi..Warioba alikuwa atumiwe kamabangusilo na kuwawahi mapema sasa wanahaha hawana pa kutokea..." akionyesha umahiri wake wa lugha ngeni, kizaramo na kiswahili, mwandishi alibaini huu ni sawa na mkuki!

"Mkuu baada ya maelezo ya Warioba hutamsikia Hosea, Takukuru, Polisi wala mavi yake uchunguzi kuhusiana na Mwananchi.. trust me Warioba kafunua kawa ambayo haiukutakiwa kufunguliwa hadi wageni wa heshima wamefika.. sasa hivi harufu imefika hadi kwa majirani..:p:eek: Alinukuliwa huko.


Kwa habari zaidi na mjadala Bofya hapa....

Mhh:mad: nafunga ofisi za kula breki kwani harufu ya kawa hiyo imetufanya hapa kazini kufunga!

Tutarejea.
 
Last edited:
Dada mmoja mwenye kabila la kabila la urembo huko JF Ville sasa avutia hisia!

Alinukuliwa...

"I love... " "I am a city girl..." "I am like no why..." "The thing is Hawakuweza..." "I guess hawajui au walikuwa na haraka..." "lakini ni wameharibu ile!:eek:..."nyanganyanga":p

Mwandishi hoi!;):(

"gari haifai tena ..." :eek:

Mwandishi hajui kama kilomita ni nyingi au...:rolleyes:

"i am going to be sick ..." "how could somebody do this to an innocent creature like me eeh"

Imebainika, makabila yote ya urembo yana msemo huu!;)

Mwandishi wa Kula Breki!!! Anachunguza yaliyomsibu:D



Wakati huo huo Mkuu wa Uwanja wa Vita -Yawezekana- ametekwa nyara!

Wanukuliwa wahudhuria wafumaji:D huko!


Mwandishi atumwa...!
 
Je ni kweli Mkuu wa Uwanja wa Vita JF Ville amepotea?

Soma humu humu umtafute kwa kwa njia zote za ujasusi utampata!

Naenda kunywa supus nitarudi kuwapa nini mwandishi wetu ametuletea.

KULA BREKI!!!
 
Maneno elfu moja na mengi!

Ya kwangu...

Mama Maria: "Una uhakika kwamba huna chochote ulifanya cha ajabu, manake nafikiria mzee kageuka"

Mzee Mkapa:"Hakuna noma wala nini, tutaweka makaa ya mawe kule butiama, umeme upo!"

mkapa page3.JPG

;)

Picture courtesy of Kaka IssaMichuzi
 
Last edited:
Naamini watu mnekuwa mnaonana uso kwa uso,PANGECHIMBIKA!!lazima mngetoana ngeu
 
Kama kawaida ya JF Ville Kula Breki!!! Majasusi, Makachero, wako tayari...

Tahadhari yatokea kielimu-elimu...! Chunguza kabla ya kuropoka


Hapa katika ofisi zetu za 'Kula Breki!!!' Vihadilishi vilivyopata mgandiko havipatikani!(Tunataka tujiamini kama ilivyo) lakini sio kwa uhakika.


Yule wakuonekana kutoonekana aacha tahdhari madhubuti!


Mwandishi apelekwa kugandia!
 
Je ni kweli Mkuu wa Uwanja wa Vita JF Ville amepotea?

Soma humu humu umtafute kwa kwa njia zote za ujasusi utampata!

Naenda kunywa supus nitarudi kuwapa nini mwandishi wetu ametuletea.

KULA BREKI!!!

Wakati nikipata supus mitaa ya kati JF Ville nilipata habari kuwa Mkuu huyo yupo na hajapotea.

Mkuu huyo anaachia dhamana ya cheo chake kwa kizazi kipya.
Habari zinazotiririka hivi sasa bado ni chache hivyo Kula Breki!!! Itarudi pindi habari hizo na nini yaliyomsibu kujulikana...fuata vianzilishi humu humu JF utamuona.
 
Habari kutoka Shule ya Vidudu, JF Ville Rehabilitation Centre ya kuwa mwanahudhuria mwenye kuva Nepi kubwa ya ukubwani alia kwa nguvu sana!

"moderator rudisha thread yangu"

Mwandishi mmoja ambaye alifanya kazi katika ofisi zetu alishawai kukutana na hayo 'Maumivu ya Muuaji';) mmoja wa huko JF Ville!

Kilio chake hicho hicho ambacho ilionekana kama kilitokea baada Muuaji wa maumivu ni kuondoa ghasia ambazo wavaa nepi wanakuwa wanaleta mijadalani.

Kilio hicho hakikubaliani na mheshimiwa mmoja kutoka ng'ambo ya JF Ville ya kuwabeba wengine wakati yeye akitokwa na kamasi, kwa nini naye asibebwe kujua ukweli?

Alinukuliwa hivi na mwandishi wa KB!!!

"Mazingira ya yeye kuwabeba kina rostam kwenye dowans ni tata sana" :mad:

Alisikika akisononeka!

Machozi yakimlenga lenga aliendelea... na kudakwa kiuanagaubaga..."tena naomba jisafishe...":eek:

Mwandishi hajaweza kupata kama haya ya kujisafisha ni ya kinepi-nepi:D au ni kuhusu suala la 'dowans'

Mwandishi bado yupo huko akisubiri yatayoendelea lakini kwa uzoefu wa mwandishi huyu mlango wa kuingia huko wawezeka uko CLOSED TOPIC!
 
Last edited:
Back
Top Bottom