Kula Breki!!!

Na mwandishi wa kugandia(embedded journalist)
Katika mkao wa haraka ya wanakamati JF Ville kwa kile kilichoonekana kama kuvamiwa na majasusi na kuunga mkono jitihada za Wanakamati wasionekana za kukomesha jitihada hizo, zinazoonekana; kama za ajenda ya kuua nguvu za Kumkoma Nyani Giladi.


Kutoka ukumbini mwandishi wetu katuletea...

Bila ya haraka na kwa mwendo wa upole mwanahudhuria mmoja wa majukwaa ya JF Ville abanika uwani
"JF Resolution No 001/2008"
"…HEREBY RESOLVES that, whoever attempts, threatens by words or deeds, does or utters anything that results in:

a) partial of full stoppage of the work of JF, even for a minute,
b) Partial or full deletion of any of the contents of JF,
c) Financial, physical or psychological harm to the moderators, administrators, members, benefactors, sponsors, beneficiaries of any of the above…" Ilisema moja ya sehemu, kwa miendo ya upole.

Iliendelea...

"DETERMINED not to allow any such attempt or action take place"

"POINTS OUT that, no excuse, be it stupidity, ignorance, illiteracy, laana, frustration arising from family or work, psychological problems, financial loss, or even life-saving attempt, will be accepted in exchange for the smooth running of the affairs of JF…"

Mwandishi alishindwa kumeza haya yote kwani sasa ukiritimba unanyemelea. Kwa mwendo wa pole mwanahudhuria huyo wa Jukwaa aliafiki maoni ya mwandishi huyu, huku akipea kidole kuashiria uenda pole huo wa rezolusheni "TUTACHELEWA LAKINI TUTAFIKA, NO DOUBT ABOUT IT!" kwa kile mwandishi huyu kuona kukosekana azma za nyuma yaani ‘Kumkoma Nyani Giladi'

Wanavijiji wa JF Ville: Muimba miziki ya kubweka,Totori,Mkuu wa Majeshi, Katibu wa tarafa ya kitongoji kimoja JF Ville, Mcheza sinema za kishreki shreki, Stivu mwenye De,waRwabugiri(haijajulikana kama huyu anatokea katika moja ya makabila ya JF Ville kijijini):D, Walahoi wa JF Ville na wasionekana kuonekana, wote kwa ‘mkupuo pale….wakamwaga shukurani zao kwa rezolusheni hiyo ndefu yenye miendo ya pole.

Waliendelea kuchangia...


Wasionekana: "That will be the JF Resolution No 002/2008 ?" Aliuliza kirezolusheni.
Stivu mwenye De: "I'AM IN SUPPORT OF THE ABOVE BY 99%!" Alikubaliana
Kaka wa makaka: "…hatuwezi kupost kwenye forum ya wapenda mipira"
Wakati mwandishi huyu akijaribu kuweka vidole sawa kwenye taipureta ya tarakilishi, kipaza sauti cha Mkuu huyo kilisikika akiafikiana na uendaji kipole wa rezolusheni na saluti kali iliyojaa rezolusheni.


Mkuu wa Majeshi uwanja wa kivita JF Ville: "Mkuu Mwendapole, Salute!"

Wanavijiji walikuwepo huko, mwakilishi wao huko mwanakijiji wa JF Ville akionyesha kwa mfano wa vichwa na mifupa mashaka kidogo, kwani aliona hiyo- kama ulishwaji wa yamini wa kijijini humo si sawa na wa- wachonga-mbao-za-bure "This look like the pledge of "Skulls and Bones".. kama wao wanalishana yamini kwenye Freemasonry.. na sisi tunaingia na hii society!! ila tusianze kuombana damu tu!"

Alisema kwa mfano mfano wa kichwa na mifupa, bila damu.

Kwa Habari zaidi bofya hapa...https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=9073


Mwandishi wetu wa kugandia amepelekwa kwenye Jukwa lingine kwani mlio wa mbiu kwa kutumia kipaza sauti(PA-System)wa Mkuu wa Majeshi uwanja wa kivita huko JF Ville kuona kulikoni na safari za Mkuu wa nchi ya ngambo kama inavyodaiwa na Waziri asiyekuwa wa ndani wa nchi hiyo!
 
Last edited:
Wakati ni Kidokezo cha Jiji na Vijiji vya JF Ville... Sasa BOLD TYPEFACE yatapakaa;)






Will return!
 
KULA Breaking News

View attachment 1106
Nchi ya Ngambo ina Waziri Mkuu mpya baada ya mizeng(o)uo ya JF Ville
Sasa waeneza, Kwanza(ya) na kundelea Kupinda Uchaguzi huo.
Kesi Mahakamani JF Ville!


Mwandishi yupo huko kuwaletea!
 
KULA Breaking News

Na Mwandishi Wetu:Kalagha Bao

Baada ya mizenguo mingi pamoja na data zilizojaa ukweli, udaku, facts, ugiladi, ujasusi sasa Nchi ya Ngambo ya JF Ville(Tanzania) yatangaza Waziri Mkuu mpya baada EL Kujiuzuru.

Kwa kile kilichoitwa kumkoma nyani Giladi sasa tarumbeta za huko zageuka vifijo na vigelegele, Vindumbwe ndumbwe vya huko awali vilisemekana mpaka "BANGUSILO" kutamkwa hadharani. Lakini katika shamra shamra hizo wanahudhuria wa mtaa wa londoistan huko kitongji cha Buguruni kwa mnyamani JF Ville wadai huu si uzushi wala nini na EL alisema katika Hotuba yake…kitu ambacho kiliwapeleka katika mahakama huko-

"Simpendi na sina ulazima wa kumpenda lakini haki yake mpeni"
Alidai mwanahudhuria huyo wa huko buguruni kwa mnyani, barabara ya londoistan ambako aliweka hadharani hotuba ya EL.

Mwandishi wetu alikubali pia hotuba hiyo imajaa "Natural Justice"
"Mheshimiwa Kipaza sauti(read speaker)…," ilianza defensi hiyo ya kihotuba hotuba na kuendelea "Kamati Teule imesikiliza watu wengine…. pamoja na…. minong'ono ya mitaani… lakini mimi ambaye ni… watuhumiwa…. Nimesimama… kwa miguu… hamna gari!":eek:

Mwandishi alibaini alibakiwa na mawili na ambayo hayana kin'gora.:D

Akiwa akijitetea baada ya mizeng(o)uo hayo(read huyo):rolleyes: aliendelea kihotuba hotuba "Mheshimiwa Kipaza sauti".... "hata pale uliponinong'oneza Kile kitabu cha majedwali", akiashiria kinong'gonezo cha kipaza sauti(speaker) na kuendelea kusema "Kimejaa majedwali!" "mpaka ya Udaku"

Mwandishi wetu tulimuona huko jino nje:D … Udaku wa stendi Kula Brekii au hii ilikuwa makini ya Udaku wa ngambo hiyo(haijathibitishwa):mad:

Aliendelea kwa kipaza sauti na "Natural Justice" …"Ndio imejenga hoja…" akiwa akidai hayo majedwali, na kumalizia kimaswali, ya kihotuba hotuba na defensi. "Hivi mtu wa chini itakuwaje?"

Mwandishi huyu afikiria Vidagaa vilivyobakia vilevile...

Mwandishi aliweza kubaini hii ni kindumbwe ndumbwe cha Mizenguo iliyoKayanza KuPinda.

Kwani yeye ndie aliondoka kwa vingora:D vyake.

Mwandishi wetu alifuatilia mpaka kieleweke kwani vindumbwedumbwe na vifijo sasa vilikuwa vinageuka kuwa "NATURAl JUSICE" aliendelea kunukuu defensi huko."weka na majibu ya kamati" akiashiria nguzo za kujizatiti, ambayo ni Kumkoma nyani Giladi.:mad::p

Kesi hiyo yenye utata wa 'Natural Justice' ilifikia pale walalahoi wa JF Ville, waliokuwepo pale kwenye Jengo la Mahakama ya JIFITTU kutafuta wangalau suluhu mahakamani humo, aninukuliwa kiunaga ubaga " Kuna masuala mengine huyahitaji kuyajadili" walisikika walalahoi hao huko.

"Tatizo ni rule of law na due process" "Hajapewa nafasi ya kujitetea kesi…"
Kwa habari zaidi gonga hapa….. https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=9687

mwandishi wetu amepelekwa kwenye sherehe za Waziri mkuu huyo mpya bofya hapa…. https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=9694
 
Last edited:

  • [*]Umahiri wa Kike aja na Nyimbo Mpya
    [*]Imepigwa Kigiladi Giladi
    [*]Gitaa Kama la Msondo lasikika
    .
NINA KIBURI

Nyimbo hiyo iliyoanza na mdundo wa kudiriki na kiburi "Nilifika kazini nikiwa mchovu.." ..."Kuna baadhi tu wenye uwezo wa kuongoza nchi yetu na hakuna kitu naweza kufanya kwa sasa" Umurua wa sauti hiyo ilimfanya mwandishi huyu kunukuu kiunaga ubaga. Mwafirika huyo aliendelea kubandika barua pepe ambayo ndiyo ilikuwa inspireshoni ya wimbo huu. Aliendelea kudiriki kinyimbo na sauti ya ya umahiri wa kike wa kiafrika:)

"JF(ikiwemo wabunge na wajumbe...walivyoshirikiana behind...kuhakikisha lowassa na wenzake wanaondoka:eek: "...hii...imenipa kiburi tena... hapa kazini"

Kipaza sauti kilichotumiwa kilikuwa pinki hivyo kufanya dansi liwe la nguvu.

Ubeti wa kati yaani kiitikio ulienda kama ifuatavyo

Kiitikio
"Nina kiburi sana kuwa mTanzania leo"
"Nina kiburi sana kuwa mtanzania leo"
"...Nchi ambayo...ninafurahi:)ninacheka:D...ingawa ni bovu...inabidi tupate kitu kabla hatujacollapse"


Rudia Kitikio

Vumbi tupu katika wanja la FigoFigo(read migomigo):rolleyes: Huko JF Ville Dansi lilianza na kiburi na mdundo wa Nyani Giladi iliwafanya wanakijiji wa JF Ville Kijijini kuingia jukwaani kudansi

"...shabaang":D

Walisikika huko wakiashiria umahiri na sauti iliyojaa kiburi na diriki mororo wa kike wa kiafrika.

Nyimbo hiyo ilisikika barabara ya msewe, kitongoji cha masanja JF Ville, mwana Giladi alikubaliana na sauti mororo "MK I can read your sentiments" :p akinukuliwa kinyimbo nyimbo.

Rudia kiitikio!:D

"Nina kiburi sana kuwa mTanzania leo"
"Nina kiburi sana kuwa mtanzania leo"
"...Nchi ambayo...ninafurahi,ninacheka...ingawa ni bovu...inabidi tupate kitu kabla hatujacollapse


Huku kijasho kikianza kunitiriirka na masikio kujaliwa na midundo ya juu, beti chache chache ziliweza kusikika "I am not dreaming:p" "It is possible, play your part".... hapo ndipo dansi likakolea!

Rudia kiitikio:D

Nakoleza, nakolele ehe ehe...- kama azimio la JF Ville, Mkuu wa Viwanja vya Kivita JF Ville, watu wa kisiwani, mwimbaji mwenyewe, wazalendo, wacheza sinema wa JF Follywood(kishreki shreki) Stivu mwenye De waliitikia kiitikio hicho (thanks)

Wakati huo naanza kumbukia Sondo ngoma na gitaa zao, bila kujali kitikio hicho Zomba akaingiza nyuzi za gitaaa "si uwongo..."

Rudia kiitikio:D

"Nina kiburi sana kuwa mTanzania leo"
"Nina kiburi sana kuwa mtanzania leo"
"...Nchi ambayo...ninafurahi:)ninacheka:D...ingawa ni bovu...inabidi tupate kitu kabla hatujacollapse


"Joto ya jiwe".....
Rudia kiitikio!


Kama ukumbi wowote wa dansi hii ilikuwa dakika nne tu za kwanza(post#4) Vimwiku mwiku(disco laiti) zenye kuluminati na magodoli mengine kana ngoma za mambo za kule Amerika kusini, wazalendo, wacheza dansi wa ki-wambandwa(hii group mpya ya dansi ya giladi JF Ville):D, Jina lako langu nao walirudia kiitikio:D hicho na gitaa la zomba(thanks);)

Dakika ya saba mdundo huu ulibadilika, kana nyimbo za gosupeli iliyojaa ufunuo mpya wa ubeti kwa njia ya yohanna(tuombe):D

"Only the lowassa and the likes who want us go back":confused:

Rudia Kiitikio:D

Watu wa watu wa JF Ville nao walikenua meno huko:D na kushangilia umahiri na kiburi mororo wa diriki ya sauti hiyo
"She have a right to be proud as Tanzania"... "Exposure matter"
akiitikia ubeti.

Mmahiri huyo aliendelea"...najivunia:p"

Wino mwingine ukaongeza "Tanzania is a Very Rich Nation" huku akirudia kiitikio.-Majasusi wakapiga hai tano!

Utofauti wa sura na mambo lukuki "You go girl"

Watu waliokuwa kwenye utafiti(kwani ni wa kijani ishirini na tisa) wakicheza giladi huku gitaa la zomba likiendelea na nyuzi(thank) nakuendelea...

Zomba aliongezas gitaa kwa kutumia meno ya uzomba, zilisikika nyuzi zikikwaruzana na sauti ya kiburi, "Ndoto gani...uliyonayo wewe" "... huna uchungu, unakiburi"

Rudia kiitikio:D

Madansa wa dansi la KiGiladi cha kimwambandwa wabandwa waliitikia kwa dansi

Mwandishi wetu katuletea hii kiunaga ubaga kwani sauti na midundo ya huko Jukwaaani FigoFigo JF Ville ilimfanya atuletee hii-
Rudia kiitikio:D

Kwa wimbo wote na dansi ya Giladi kiburi ilivyoendelea gonga hapa...https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=9871 mwandishi bado yupo kwenye dansi!:rolleyes:
 
Last edited:
"Two thumbs up!!....ridiculously entertaining, its like a breath of fresh air after a terrible and devastating magnitude # 8 earthquake".........JFVille Post Dispatch.

"insanely inovative.....sura-ya-kwanza is a trend setter".........JFVille Evening News.

"what a talent.....kula breki is a must read"............JFVille Gazzete.

"unbelievable, humour with sense"......JFVille News Tribune.

"reading kula breki is refreshing....."......JFVille Entertainment Weekly.
 
Wakati mwandishi wetu akimalizia mafunzo ya luningatekelinalokujia mpya- Hapa Kwenye ofisi za Kula Breki tuliamua kumpelekea ujumbe wa haraka yaani ‘Alert' Kwani kuna habari za mtiririko ya mtawanyiko!

Mwandishi wetu alirudi hapa ofisi za stendi hii JF Ville.


Si mda baada ya kufika hapa ndiyo rununu yake ilipoanaza kuweweseka kwa kiburi, petesha hiyo ilikuwa na toni za BONGO FLAVA ni rubbish https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=10089 lakini kwa ajili ya mwandishi wetu alikuwa amebeba rununu lenye fuu jeusi hii ilisikika kama "Nilonge nikulonge-Bangusilo":rolleyes::D:D

'Duh kama kitikio:cool: cha longa longa cha Jfigo Ville' tulimnukuu mwandishi wetu huku naye akituletea ya bongo flava...

"1980's NINGEKUBALI...,
Mara mia nisikilize KWAITO...,
ORIGINAL TAARAB...,
...so called BONGO FALAVA,
Production zao ni poor:eek:"



"Wasanii...,... Sikatai ni nzuri for local market...,
...cannot thubutu kuinvest hata centi tano yangu kwenye hii takataka!:eek:

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=10089
Mwandishi wetu alitaka kaka huyo kwenda Kula Breki!!! FM Udaku pumba FM kwani kuna "Nina Kiburi" Giladi Flava:D


Mwandishi wetu amepelekwa kwenye "Alert".... Kula Breki!!!
 
Last edited:

Attachments

  • Hisani za Picha.jpg
    Hisani za Picha.jpg
    14.5 KB · Views: 76
  • Ujumbe wawafikia wanahudhuria JF Ville.
    Wakaa mkao wa Kigiladi pamoja na ujumbe!:eek:
    View attachment 1179

    [*]Ole wenu kutapatapa!:D
    Ati ndio 'mMonduli' wa Richmond
    Kasingiziwa au ndoano yanasa?

Mwandishi kwenye assignment!
 
Baada ya Ushindi wa JF, Wengine.... wakatazwa?????

Mwandishi wetu apelekwa kwenye hulalabuu...
 
Mkuu wa Nchi wa zamani au kama EX-Presidio...nafikiri sijakosea...adaiwa kutoroka ghafla tu! Ebo...Kweli kahamia lushoto au kajificha kwenye ufukwe unaoonekana?

Habari ambazo zinatiririka sasa, zimefanya ofisi za Kula Breki!!! kutuma mwandishi wa kugandia (embedded journalist) bahari/ufukweni kunakoonekana kujua utoro huo kama umehalalishwa!

Vuta subira...
 

  • [*]Mkuu wa Nchi wa zamani au kama EX-Presidio...nafikiri sijakosea...adaiwa kutoroka ghafla tu! Ebo...Kweli kahamia lushoto au kajificha kwenye ufukwe unaoonekana?



Katika jaribio la kuleta uvumi wa ‘kudhulumia’ njemba mmoja kutoka JF Ville mtaa wa Dar kwenye Salaam aleta utatanishi…Adai mkuu wa zamani wa nchi ya ‘Danganyika’ -‘Atoroka’ huku akijiuliza mwenyewe:eek:

Mwandishi alipata maandishi ya Njemba-Ba-Lema ambaye anaonekana kama amejiandikisha kuleta patashika hii. Alinukuliwa kiunagaubaga….

“Katika hali ya utatanishi, ambayo ilihudhuliwa na viongozi mbalimbali na Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa hakuonekana”

Ikiwa kana kwamba alifikia uwanjani hapo…mwandishi aliona kama hii ni mazingaombwe ambayo hayajawai kutokea, kwani bin-vuu ‘Alitoroka’ na “Hakuonekana?” Akijiuliza mwenyewe Njemba –Ba-Lema aliona zingaombwe hilo….. “Je Mkapa kaogopa Kuzomewa na wananchi?” :(

Wakubwa wenye kujaa makapu matupu:D au wakubwa halafu wajinga walipiga vigelegele!:eek:

Naye bila haya, kwa kuandika bure bure adai ni haki ya raia wote kutoonekana halafu kutoroka.....EBOOO!:rolleyes:

Mwanahudhuria anae-andamana andamana mjini JF Ville naye ‘kakabla’ ya mwisho wa andamano lake alimuuliza mwandishi wa bure bila haya kama hakuja kabisa...

"Shy huyu jamaa aliondo kakabla ya sherehe kwisha au hakuja kabisa??"

Kwa kigugumizi mjumbe mmoja wa juu kutoka mtaa wa buzwagi akileta ujumbe alidai...

“Ujumbe unaonyesha hakufika kabisaaa”... huku akijua haukuwa uturo kama njemba alivyodai.

Mzee wa shamba huko JF Ville Mashambani katika kuandamana kwake na utoro huo alinukuliwa “wameanza kuvikimbia mapaka vivuli vya. hali ni ngumu kwao, hakuna marefu yasiyo na..............” :confused::p:eek:

Kitu kilichomfanya mwandishi wetu kutokuelewa ni nini haswa yaliyomkuta mzee wa shambani huko kwani hata kiswahili chake bado kishamba.:p


Sokomoko liliendelea huko kwani mwanahudhuria ,mwenye tepe kama mia moja na nyingi fulani aliona uandikaji wa bure ulivyo…

“Maro sio kama hajasoma na kuelewa kilichoandikwa ila anataka tusisome tuanzie kutoa hoja pale alipo andika yeye na tuamini kuwa mkapa alihudhuria ilhali hakuhudhuria Sherehe za "Mnyongano"

"Hawa ndio watu wanaona nyekundu wakaiita kijani tena kijani kibichi ( deep green )":confused:

Mwandishi wetu alibahatika kuona zingaombwe hilo la ufukweni kwani alimnukuu mwanahudhuria mwingine huko “siku hizi amehama sea view...anaishi masaki na mostly lushoto....”

Ring Ring…simu ya mkononi ya mwandishi wetu ilikongolewa, aganduliwa huko…

Kula Breki!!! Itaendelea pindi mwandishi akimaliza porojo
 
Kumbe Sura-ya-Kwanza ni mpuuzi wa namna hii? Sasa ikifika Sura ya Kumi si itakuwa kasheshe kabisa. Je unalipwa na nani kwa kazi hii "nzuri"?
 
Kumbe Sura-ya-Kwanza ni mpuuzi wa namna hii? Sasa ikifika Sura ya Kumi si itakuwa kasheshe kabisa. Je unalipwa na nani kwa kazi hii "nzuri"?

Ebwana nilidhani nimeona peke yangu huu ujinga. Kichungu safi sana kwa kuwa makini.
 
Mwanahudhuria halisi wa JF Ville, aleta soga… abandika hadharani kuwa aliyewahi kuwa –‘Sio mtoto wa Raisi’ wa Zamani wa Danganyika Ville, kuwa hawa jamaa mafisadi hawakuwa viongozi bali watu wa kibinafsi-binafsi alinukuliwa kiunagaubaga…

“wapo watu binafsi mmoja mmoja waliofanya makosa na kwa kuwa wanachunguzwa watahukumiwa kwa makosa yao na si serikali nzima.... Akatoa mfano wa ununuzi wa rada,:eek: ujenzi wa barabara,:eek: ununuzi wa ndege,:eek: uwekezaji na mengineyo kuwa ni mambo ambayo yana manufaa kwa taifa”:rolleyes:

Mwandishi aligundua hii gonjwa ya ustaafu ambayo imewaingia wastaafu wengi. Gonjwa hilo la aina yake sasa laanza kuwafanya kupayuka mifano ya kwenye ranchi ya kichaka!

Gonjwa hilo lenye kujulikaana kitaaluma ‘Paka matope’- ‘Mie Msafi tu’ laonekana kuwafanya wastaafu wa ‘Siri-Kali’ ya awamu ya tatu kupagawa na kuanza kupotosha umma na ukomo wa viongozi wa Nchi! Alinukuliwa kutoka katika kabrasha moja ya mwanahudhuria halisi wa JF Ville “"Kama angekua anatuhumiwa kama kiongozi wangu ningemsaidia kujibu, lakini jamani mambo binafsi mimi siwezi kumsemea, Kwani mimi ni mtoto wake” Ebo!

Kana kwamba uongozi wa watu binafsi huwa unaishia kibinafsi binafsi!:cool:

Naye-Mcheza sinema wa JF Ville Follywood apata kigugumizi-kilicho jaa lugha ya utaaluma wa waingereza yaani English..TOBA!!!
Mwandishi alimnukuu…

“whaaaaaaat anasemaje huyu?...............yaani watu tuache kutathmini kwakuwa........eti....nini?.................yaani watu watuingize mikenge ktk mikataba ya hovyo......halafu tusiitathmini hali hiyo.........is this bi-polar dis-oder........or am i dreaming here.......damn!!,

Mtu kakimbilia kusaini mkataba Uingereza....hotelini.......halafu unatuambia niniiii!!!!!”


Kama kawaida ya purukushani zote JF Ville Konvesheni, wasanii wa aina yote huwa wanaletwa kwa burudani na hamaki…! Mwandishi aligundua hiki hakikuwa lugha ya kiingereza… Msanii mmoja alinukuliwa… “kizunguzungu wajameni”

Mkuu wa Uwanja wa vita wa JF Ville naye aliingia na kusema “…maneno saafi sana haya, unajua nilijua kuwa yanakuja”

Mwandishi amepelekwa jukwaani kwa taathmini nyingine kwa zaidi bofya hapa…Sumaye amtosa Mkapa
 
Sura-ya-Kwanza... tunakusubiri uje na ubunifu mpya maridhawa......
IMO,pushing boundaries of creativity is something to be commended bila kujali maudhui..
 
Jambo la msingi ni kufahamu kuwa JF kama zilivyo Blog ni alternative media outlet, baada ya watu kuwa na jambo muhimu na la manufaa kwa jamii lakini mfumo wa kawaida wa vyombo vya habari, unakuwa ama haufikiki, una ukiritimba ama hayo yanayotakiwa kuelezwa hayamfurahishi mhariri au mmiliki wa chombo. Kwa JF inafanya kazi vema kwa mujibu wa maoni yangu.
 
Kuna mtiririko wa Columbus Bash Pictures! Nimepata mwandishi wa kugandia atatuletea Picha za Red Carpet! Stay tuned!

Ninamshukuru mapema kwa kukubali kushare picha za huko!

Kula Breki!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom