libent
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 382
- 84
Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Mimi nakumbuka kipindi nina miaka 5 ndo nilianza haka ka mchezo kipindi cha baba na mama
Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Nimekusoma King'asti, asante kwa mchango... ila, mbona mi nilinote mwanangu alipo fika mwaka alikua na kumbu kumbu ya watu alio waona 6 month ago?Ndugu, mtoto anaanza seriously ku-notice vitu akiwa na miezi 18+. Inashauriwa kipindi hiki kuanza kumuambia 'toka nje baba avae nguo'. Ni muhimu kumfundisha mtoto kuuheshimu utupu wake, na atakua na tabia hiyo hata akiwa mkubwa (trust me on this one,lol). Akifika mwaka na nusu hakikisha haogeshwi mbele za watu, hajisaidii mbele za watu (sio sebleni na potty lake kama maonesho,NO) wala kubadilishwa nguo hadharani. Tena mkimuona uchi mumcheke na kumfukuza. That way atajifunza kujiheshimu na kuheshimu wengine.
Wadau naomba kuuliza kuna kitu kina nitatiza, mimi nina mtoto mchanga wa miezi13 yaani mwaka mmoja na mwezi mmoja, tokea kazaliwa huwa nafanya jambo lolote mbele yake kama vile kubadirisha nguo mbele yake, kukaa uchi mbele yake na kuchezacheza kikubwa na mama yake ilihali yeye anachezacheza kitandani na anatutazama. Nimeanza kuwa na wasiwasi kwamba huenda anatuchora, je ni katika umri gani wa mtoto natakiwa nisikae uchi mbele yake wala kucheza michezo ya kikubwa na mama yake?
Nimekusoma King, asante kwa mchango... ila, mbona mi nilinote mwanangu alipo fika mwaka alikua na kumbu kumbu ya watu alio waona 6 month ago?
Kwa kweli sina uhakika kama alikumbuka just emotionaly au kwa memories kabisa ila alionesha dalili za kuwapenda watu fulani ambao alikua nao karibu 6 month ago huku akikataa kabisa kuguswa na watu wanao muona kwa mara ya kwanza. Pia kuna theories za kwamba mtoto anakumbuka the very early days (ingawa ni articles za kawaida tu, sijaona scientific so far).Lol! Atakua alirithi akili za mamake!umenikumbusha my younger sis, akiwa like std 1 tukawa tunataniwa tulivyokua tunagombea intro kuwa we ar last borns (japo almost 4 yrs apart!). Basi akasema anakumbuka siku kaletwa from hosp tukawa tunamshangalia, akawa anatushangaa eti sie kina nani! Tulicheka hadi machozi,lol
One thing to notice, mtoto akiwa na wivu sana na mamake ujue tayari na uanze kujificha. Mie siwezi kuvaa mbele ya mtoto anaeweza kuuliza 'hiyo nini?' Hehehe!
Kwa kweli sina uhakika kama alikumbuka just emotionaly au kwa memories kabisa ila alionesha dalili za kuwapenda watu fulani ambao alikua nao karibu 6 month ago huku akikataa kabisa kuguswa na watu wanao muona kwa mara ya kwanza. Pia kuna theories za kwamba mtoto anakumbuka the very early days (ingawa ni articles za kawaida tu, sijaona scientific so far).
All in all mi naona sio sahihi kukaa uchi mbele ya mtoto na zaidi kushiriki tendo la ndoa, at any age...
shauri yako,utashanga siku anakuparamia!acha hayo mambo,kids are tape recorder
mkuu acha mara moja, watoto ni wadadisi sana wa mambo
we utadhani haelewi kumbe mwenzio amesha rekodi vyote.
Suala si kukumbuka yaliyotokea wakati ukiwa mtoto mchanga bali suala ni kuathirika kisaikolojia. Wanaoathirika kisaikolojia na yale yaliyowakuta wakiwa wachanga mara nyingi huwa hawayakumbuki lakini yanakuwa yamefanya kazi yake /yameacha athari. Ujue tunaanza kujenga personality zetu tayari tukiwa ndani ya tumbo la mama zetu: hapo kuna mengi tu yanatuathiri kupitia kwa mama na mazingira yake. Tukizaliwa pia mazingira yetu, watu wanaotuzunguka na hasa wazazi wanachangia sana kutujenga au kutubomoa. Kama mbele ya mtoto mnafanya ya kikubwa au mnakaa uchi hizo picha/taswira zinaingia kwenye ubongo wa mtoto na kumuathiri katika makuzi yake. Hata kama atasahau yale mambo yatakuwa yame-mshepu tayari.Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????