Kukaa uchi mbele ya mtoto!!

Kha!tafuta mapema BLACKBOX yake ukitoe ili kuondoa kumbukumbu halafu endelea kumuonesha mshedede
 
shauri yako,utashanga siku anakuparamia!acha hayo mambo,kids are tape recorder
 
Ndugu, mtoto anaanza seriously ku-notice vitu akiwa na miezi 18+. Inashauriwa kipindi hiki kuanza kumuambia 'toka nje baba avae nguo'. Ni muhimu kumfundisha mtoto kuuheshimu utupu wake, na atakua na tabia hiyo hata akiwa mkubwa (trust me on this one,lol). Akifika mwaka na nusu hakikisha haogeshwi mbele za watu, hajisaidii mbele za watu (sio sebleni na potty lake kama maonesho,NO) wala kubadilishwa nguo hadharani. Tena mkimuona uchi mumcheke na kumfukuza. That way atajifunza kujiheshimu na kuheshimu wengine.
 
Nimekusoma King'asti, asante kwa mchango... ila, mbona mi nilinote mwanangu alipo fika mwaka alikua na kumbu kumbu ya watu alio waona 6 month ago?
 
Wadau naomba kuuliza kuna kitu kina nitatiza, mimi nina mtoto mchanga wa miezi13 yaani mwaka mmoja na mwezi mmoja, tokea kazaliwa huwa nafanya jambo lolote mbele yake kama vile kubadirisha nguo mbele yake, kukaa uchi mbele yake na kuchezacheza kikubwa na mama yake ilihali yeye anachezacheza kitandani na anatutazama. Nimeanza kuwa na wasiwasi kwamba huenda anatuchora, je ni katika umri gani wa mtoto natakiwa nisikae uchi mbele yake wala kucheza michezo ya kikubwa na mama yake?

Mtoto wa miezi 13 si mchanga huyo!
 
Lol! Atakua alirithi akili za mamake!umenikumbusha my younger sis, akiwa like std 1 tukawa tunataniwa tulivyokua tunagombea intro kuwa we ar last borns (japo almost 4 yrs apart!). Basi akasema anakumbuka siku kaletwa from hosp tukawa tunamshangalia, akawa anatushangaa eti sie kina nani! Tulicheka hadi machozi,lol
One thing to notice, mtoto akiwa na wivu sana na mamake ujue tayari na uanze kujificha. Mie siwezi kuvaa mbele ya mtoto anaeweza kuuliza 'hiyo nini?' Hehehe!
Nimekusoma King, asante kwa mchango... ila, mbona mi nilinote mwanangu alipo fika mwaka alikua na kumbu kumbu ya watu alio waona 6 month ago?
 
Lol! Atakua alirithi akili za mamake!umenikumbusha my younger sis, akiwa like std 1 tukawa tunataniwa tulivyokua tunagombea intro kuwa we ar last borns (japo almost 4 yrs apart!). Basi akasema anakumbuka siku kaletwa from hosp tukawa tunamshangalia, akawa anatushangaa eti sie kina nani! Tulicheka hadi machozi,lol
One thing to notice, mtoto akiwa na wivu sana na mamake ujue tayari na uanze kujificha. Mie siwezi kuvaa mbele ya mtoto anaeweza kuuliza 'hiyo nini?' Hehehe!
Kwa kweli sina uhakika kama alikumbuka just emotionaly au kwa memories kabisa ila alionesha dalili za kuwapenda watu fulani ambao alikua nao karibu 6 month ago huku akikataa kabisa kuguswa na watu wanao muona kwa mara ya kwanza. Pia kuna theories za kwamba mtoto anakumbuka the very early days (ingawa ni articles za kawaida tu, sijaona scientific so far).
All in all mi naona sio sahihi kukaa uchi mbele ya mtoto na zaidi kushiriki tendo la ndoa, at any age...
 
Dah! hii sredi ningeconfess kitu lakini its too personal lakini in short watoto ni viumbe wa ajabu sana wako wengine wakistukia unawakunja mama zao mida za burudani wanaanza kulia balaa sijui wanazani unamfumua mama yao, na mama kila akiongeza yale makelele ya kinafiki na mtoto ndio anazidisha makelele ya kukata stimu, kama mzuka ushapanda mara unaweza ukajikuta unakazaba mkono katoto ka miezi 10.
 
Could it be coincidentally hizo kumbukumbu? I remember things as far as 4 yrs old (nikianza vidudu, na kikombe changu cha uji na kimfuko chake). Bt I can't remember much b4.
Kwa kweli sina uhakika kama alikumbuka just emotionaly au kwa memories kabisa ila alionesha dalili za kuwapenda watu fulani ambao alikua nao karibu 6 month ago huku akikataa kabisa kuguswa na watu wanao muona kwa mara ya kwanza. Pia kuna theories za kwamba mtoto anakumbuka the very early days (ingawa ni articles za kawaida tu, sijaona scientific so far).
All in all mi naona sio sahihi kukaa uchi mbele ya mtoto na zaidi kushiriki tendo la ndoa, at any age...
 
akizaliwa tu ana akili zake kamili
umenikumbusha jirani yetu mtoto wake katoka nje kana miaka miwili ivi mama yangu akakaambia ww ficha dudu yako kwann unatembea uchi ....kenyewe kakajibu ukiona ya baba je kubwaaaaa.watu wote tulinyamaza kimyaaaaa mwenyewe hata hana habari
so kua makini mana kuna cku atafanya matusi uko nje utamchapa atakuambia mbona nyie usiku mnafanya na mama mm sisemi kitu
 
Mvuta bange flani msuba ulipokolea alimwambia mshkaji wake,

Mvuta bange: "Unajua mimi nina memori kali sana, nakumbuka enzi zile tumboni kwa maza kabla sijazaliwa kama nina njaa na maza hajakula basi namchapa teke moja la apendix kwa hasila sana, senk god alikuwa ananielewa"

Mshikaji: Bange imeisha jibaba

Mvuta bange:Oyaa! imeisha saa ngapi? Na wewe ukileta za kuleta nitakuchapa moja nikubomoe kiungo cha uzazi.

Mshkaji: Poa, uskasilike, nasokota jibaba
 
Ni vyema usiwe unafanya akiwa anaona.kuwa na subira mpaka alale bwana.watoto ni wadadisi sana mkuu, especialy these computer age generation
 
Wangapi kati yenu wanakumbuka waliyokuwa wakiyafanya wakati wana umri wa mwaka 1-3?????
Suala si kukumbuka yaliyotokea wakati ukiwa mtoto mchanga bali suala ni kuathirika kisaikolojia. Wanaoathirika kisaikolojia na yale yaliyowakuta wakiwa wachanga mara nyingi huwa hawayakumbuki lakini yanakuwa yamefanya kazi yake /yameacha athari. Ujue tunaanza kujenga personality zetu tayari tukiwa ndani ya tumbo la mama zetu: hapo kuna mengi tu yanatuathiri kupitia kwa mama na mazingira yake. Tukizaliwa pia mazingira yetu, watu wanaotuzunguka na hasa wazazi wanachangia sana kutujenga au kutubomoa. Kama mbele ya mtoto mnafanya ya kikubwa au mnakaa uchi hizo picha/taswira zinaingia kwenye ubongo wa mtoto na kumuathiri katika makuzi yake. Hata kama atasahau yale mambo yatakuwa yame-mshepu tayari.
 
Back
Top Bottom