UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA
Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake mchanga KUVUNJIKA MKONO kutokana na Uzembe wa wauguzi ambapo wakati mtoto anazaliwa walikuwa bize na mambo mengine badala ya kumsaidia mama mjamzito na hivyo kupelekea mtoto huyo KUVUNJIKA MKONO
Mpaka sasa hali ya mtoto huyo sio nzuri kwani anapitia maumivu ambayo yamepelekea MKONO kuvimba
Jina la mama aliyejifungua ni Maliam Bakari
Yupo wodi ya wamama
MAONI
Hospitali hii ina matukio mengi ya kimatibabu hususan kwenye kitengo cha uzazi. Siku kadhaa nyuma kuna wanawake watano waliofanyiwa upasuaji wa uzazi kwa nyakati tofauti lakini kila ilipopita siku tatu au nne walianza kuvimba matumbo na wawili Kati yao wamefariki na mmoja tarehe 14/01/2024 alipelekwa BOMBO baada ya hali yake kuwa mbaya sana na wawili waliyobaki nao matumbo yao yamevimba na inasemekana wawili waliyofariki na yule aliyepelekwa BOMBO tumbo likivimba nyuzi huwa zinaachia kwahiyo hawa madaktari na wauguzi wa hospital hii wanatakiwa kuwajibishwa sana kwa ukatili huo.
Majibu ya Serikali, soma hapa = Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi