bakuza JF-Expert Member Nov 15, 2010 490 100 May 11, 2012 #1 Samahani wandugu wa ndani humu naomba nisaidiwe ni jinsi gani naweza kuiunga simu ya Tecno na internet ya mitandao ya tigo na Airtel........
Samahani wandugu wa ndani humu naomba nisaidiwe ni jinsi gani naweza kuiunga simu ya Tecno na internet ya mitandao ya tigo na Airtel........
Officer2009 JF-Expert Member Dec 20, 2010 560 110 May 11, 2012 #2 Nenda customer care au wapigie simu.
Mawenzi JF-Expert Member Sep 21, 2010 1,251 345 May 11, 2012 #3 Siku hz kuna vijana wamefungua vijiwe kwa ajili ya kuunganisha internet kwenye simu. Kwa hapa Dom wapo Nyerere Square. We uko wapi??
Siku hz kuna vijana wamefungua vijiwe kwa ajili ya kuunganisha internet kwenye simu. Kwa hapa Dom wapo Nyerere Square. We uko wapi??
Paje JF-Expert Member Apr 24, 2010 1,185 455 May 11, 2012 #4 tecno model gani? weka apn{access point}=internet. proxy=no username=empty password=empty then u are done
tecno model gani? weka apn{access point}=internet. proxy=no username=empty password=empty then u are done