Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
Hahahahhaa nyamayao una bahati ulikuwa na evidence na kidhibiti kabisa sasa kwa sie wavivu wa kufuatilia na wazembe wa kugundua inakuwaga tabu kweli. Mie nilisikia na kuonyeshwa kila aina ya ushahidi but badala ya kufuatilia nijue ukweli nikafunga moyo .................Si kwa uchungu la hasha nilikuwa kama ninayeshukuru kimoyomoyo kuwa angalau nitapumzika na gubu zake ...............ah
MJ1...mie ninavyojua kumchimba, akianza upuuzi wake kuna badiliko ntaliona, hajiamni tena, anakuwa mtu wa wacwac kila dk, cm mfululizo hata dk 10 haziishi kutaka kujua nipo wapi nafanya nn, hapo lazima namwambia kuna upuuzi umeuanza/una mapango wa kuuanza, kesho utaona wacwac umepunua cjui ndio anakata mawacliano huko au inakuwaje, langu ni rahic sana kulijua mabadiliko yake.