Kuikomboa CCM: Watanzania huu ni wakati wa maamuzi magumu!

Wewe mtoto wa tingatinga hii ngoma ya wakubwa mtoto angalia tu, mzee tingatinga mwenyewe kapiga kelele saizi katulia wewe ndio nani ccm?
 
- CCM ni lazima ijivue magamba ili kushinda kwa kishindo Mwaka 2015, ni lazima ifike mahali Lowassa na Chenge waondolewe katika nafasi zozote za uongozi wa chama. Lengo la CCM ni lazima liwe ku-invest more in Waheshimiwa kama Januari Makamba, Nape under Supervision ya Wazee kama Sitta, Mwakyembe, na Mwandosya hapa the goal ni kutawala 50 more years. Kwa sababu by then the Nyerere generation itakuwa imekwisha, tutakua na wananchi wasiomjua Mwalimu kabisaa ndipo for the first time CCM tutaanza kupigania kura kwa jasho, my point ni kwamba CCM for that goal haiwezi kuwekeza kwenye mafisadi kina Lowassa.

- CCM ni lazima ijivue kwa sababu kama hawajivui, then Ninawashauri Waheshimiwa Nape na Sitta wajitoe na kuivunja CCM kwa sababu tupo wengi ambao tunalijali hili taifa tutajiunga nao, Lowassa na mihela yake yote hawezi kuanzisha chama cha siasa, he knows that kwamba ni Dead end, na akitoka CCM anajua kwamba CCM haiwezi kuvunjika, lakini for sure 100%, Waheshimiwa Nape na Sitta wakitoka CCM inavunjika vipande, Je Mh. JK yuko radhi kuona CCM inavunjika under his watch? No! So hawa magamba ni lazima waondoke soon as possible or else!

- People this is our Nation na saa ya kuhesabiwa ni sasa, hatuwezi kukaa pembeni kuwaachia mafisadi watuamulie the National agenda, kwanza tuliambiwa Rostam hawezi kuguswa cause ana siri nyingi sana za Mkuu wa Kaya, lakini akavuliwa sasa ni wakati muafaka na Lowassa, Chenge na wengine wengi wakavuliwa, we understand the campaign ya Mafisadi kununua watu wengi kila kona ya taifa, ninasema Wenyeviti wote wa CCM Mikoa kuacha Mheshimiwa Makongoro, na Makatibu wao waondolewe na ikibidi wafukuzwe Chama, wote ni compromise wa Lowassa, Wamenunuliwa tayari. Kuondoka kwa mafisadi wote hakumalizi matatizo yote ya CCM, lakini kunafungua njia ya kujipanga kelekea kwenye utawala wa Respect of the Law!

- Lowassa hajatununua wananchi wote, ninawajua a lot of my friends walionunuliwa tayari shame on you, wewe ndugu yangu ninayesikia umenunuliwa na Shillingi Millioni 100 hivi karibuni na kwamba siku hizi unapewa habari za kuandika na Tanzania Daima, I am shocked na ninakuja soon ninataka tukae uso kwa uso uniangaliae usoni uniambie kwamba hii habari sio kweli, ninajua kwamba Wabunge 75% ya Wabunge wa CCM wamenunuliwa tayari wakiongozwa na Kagasheki ambaye hutamba sana bungeni kwamba hakuna wa kumgusa Lowassa, maaan! you are dead wrong!

- CCM this is my promise to you, siku Lowassa akipitishwa kugombea Urais nitachukua Bunduki na kuingia msituni and I mean it not in my watch, nilipooona maisha yamekua magumu bongo nilikimbilia Ubaharia, na nilipooona hamsikii vilio vya wananchi nilishiriki kuanzisha kiboko yenu JF, now I am ready kuingia Msituni maana enough is enough!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!

William @...NYC,USA: Mutuz Le Baharia!
Hapo kwenye BOLD naanza kuziona dalili za Le Mutuz kushika bunduki na kuingia msituni unless awe sio mtu wa kutimiza ahadi zake.
 
Lowasa ni Kansa ya taifa la kesho, hafai hafai ccm Kuwa makini likipita hili jizi ccm imekufa,
 
Sisa za Udini Tanzania zimetawala. Nikiangalia mfumo aliouanzisha Nyerere, this time inatakiwa MKATOLIKI ndio ashike nchi. But ukiandalia kwenye system, hamna mkatoliki aliye strong. Wakristo wamemuopt MLUTHERI Lowasa. Wanaona huyu ndiye mwenye nguvu na anaweza kuwasimamia.
Lowasa kipindi hiki amekuwa na nguvu sana na ninaweza kuthubutu kusema kuwa tayari ameshaanza kampeni. Amekuwa akialikwa kwenye fund rising mbalimbali za madhehebu ya kikristo. Na kote amepokelewa vizuri.
Ukiangalia wapinzani CDM, kwa sababu ya Ukristo wa Lowasa, hawampingi kabisa. Sasa hivi hawamsemi vibaya kabisa. Wanabaki kugangamaa na JK ambaye he is almost done.
Kwa staili CCM kumuondoa Lowassa itakuwa vigumu sana, labda tumuandae MKATOLIKI mwenye nguvu na atakayeweza kukubalika kirahisi!!

Zamu ya Pentecoste au Angelicana
 
kweli weweni muke ya mzungu....foolish indeed !

Tunahitaji wapambanaji wakutosha kama akina NAPE,ndg.MANGULA hii ni kazi kwako kujenga JESHI imara la makada wa UKWELI ambao hawadanganyiki kwa vijisenti kama wewe na KINANA...

NAPE,MANGULA,KINANA, tunawategemea sana kutuletea MTU tunaemfaamu tutakae tembea nae kwa kishindo so kutufanya wanyonge,
1,MAGUFULI
2,MWAKYEMBE
3,MAKONGORO
kati ya Hawaii type mmoja wapo basi,wala sio ramadhani ambae hafaamiki atatupa kazi kumfanya watu wamjue.
 
CCM na wote mlioko huko mwisho wenu this year, mmekula mpaka mmelewa madaraka, mnajali matumbo yenu tu mnasahau maslahi ya Taifa, mnashindwa hata na kenya, CCM imeiharibu hii nchi, sera zake zimeshindwa kabisa, mnawapa 'vichwa' wa Kenya mpaka wanaandika 'shit' against TZ na waTZ.

Hata wewe Willium ni kiburi tu cha baba yako, to hell with what you have said
 
Ni wakati wa chama cha CCM!! kuchagua mtu bora! lakini ndani ya CCM hakuna mtu bora..pesa itavuluga uchaguzi wao.
 
CCM wamekwishaa! Ndio maana hela yetu ya madafu inaporomoka kwa kasi. Wana hamishia utajiri wetu nje.
 
Mtaji wenu wanao mafisadi, na ndio dira yenu maana wanawaongoza, mwaka huu mtatapika damu sio kutoka jasho tu
 
- Well ni lazima kuweka all the options mezani ili wanaohusika waelewe kwamba wakati wa mchezo umekwisha na no way tutachezeana tena kwenye Urais ujao!

William @..NYC,USA: Mutuz Le Baharia!

Count down jiandae kuingia msituni au kaburini Lowasa is more poweful now than ever before. Mmekwisha.
 
Back
Top Bottom