Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

none of the above.
im neither a politician nor a journalist but i have studied constitutional law as part of my undergraduate courses.
naelewa pro and cons za siasa ndio maana nkajitoa huko mapema.siasa ni mchezo mchafu sana.

ndugu kuna exceptions ktk kila ki2.
mfano.
1)Juma Mchopanga aka jmoe,yeye interest yake ni muziki nt politics,so huenda na wewe upo hapo
2)Jackton Manyerere
yeye interest yake journalism.so hata wewe huenda ni kati ya hao.
 
Angalia majina haya ya magufuli, kweli ni kiongozi.

JOHN
J- JUSTICE
O- ORGANIZER
H- HONESTY
N- NOBLE

JOSEPH
J-JUSTICE
O- ORGANIZER
S- SPECIFICITY
E- EFFICIENCY
P- PATRIARCH
H- HONESTY

POMBE
P- PATRIARCH
O- ORGANIZER
M- MINDFULNESS
B- BALANCED
E- EFFICIENCY

MAGUFULI
M- MINDFULLNESS
A- ACCOUNTABLE
G- GRATEFUL
U- UNIQUE
F- FAITHFUL
U- UNITY
L- LEADER
I- INTEGRITY

Viongozi kweli Mungu anawajua tangu wanazaliwa sio kulazimisha.
Sina hofu na magufuli kuwa kiongozi wa nchi yetu!
#HAPA KAZI TU#
 
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu
3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?
I would like to take an offense on behalf of Mnyika and Mbatia..kuwaweka those two pamoja na Mrema na Mkwere kosa la jinai..
 
Angalia majina haya ya magufuli, kweli ni kiongozi.

JOHN
J- JUSTICE
O- ORGANIZER
H- HONESTY
N- NOBLE

JOSEPH
J-JUSTICE
O- ORGANIZER
S- SPECIFICITY
E- EFFICIENCY
P- PATRIARCH
H- HONESTY

POMBE
P- PATRIARCH
O- ORGANIZER
M- MINDFULNESS
B- BALANCED
E- EFFICIENCY

MAGUFULI
M- MINDFULLNESS
A- ACCOUNTABLE
G- GRATEFUL
U- UNIQUE
F- FAITHFUL
U- UNITY
L- LEADER
I- INTEGRITY

Viongozi kweli Mungu anawajua tangu wanazaliwa sio kulazimisha.
Sina hofu na magufuli kuwa kiongozi wa nchi yetu!
#HAPA KAZI TU#

Maneno mengiiiii utendaji mbovu..ENL- Efficiency,Noble and a Leader..simple na inaeleweka.
 
Richard(Bill) Clinton, Barak Obama, George Bush, Margaret Thatcher, Olav Palme Oliver Thambo
 
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu
3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?

Leo ni miaka 4, toka nlipo uliza,Je kuna ukweli wowote wa hulka za kiaiasa kwa wanaoanza na majinaa ya JM
 
Angalia majina haya ya magufuli, kweli ni kiongozi.

JOHN
J- JUSTICE
O- ORGANIZER
H- HONESTY
N- NOBLE

JOSEPH
J-JUSTICE
O- ORGANIZER
S- SPECIFICITY
E- EFFICIENCY
P- PATRIARCH
H- HONESTY

POMBE
P- PATRIARCH
O- ORGANIZER
M- MINDFULNESS
B- BALANCED
E- EFFICIENCY

MAGUFULI
M- MINDFULLNESS
A- ACCOUNTABLE
G- GRATEFUL
U- UNIQUE
F- FAITHFUL
U- UNITY
L- LEADER
I- INTEGRITY

Viongozi kweli Mungu anawajua tangu wanazaliwa sio kulazimisha.
Sina hofu na magufuli kuwa kiongozi wa nchi yetu!
#HAPA KAZI TU#

We kweli div five ya mulugo
 
Chukua majina elfu moja ya watanzania wanaume, hovyo hovyo, halafu uone hao kina J. M. ni asilimia ngapi baadaye urudi tujadili !
NB: Makabila mengine 'surname' zao zinaanzia na 'Mwa-', na ukienda Ukerewe utakuta kina Malibwa, Mafuru, Majura ........!
 
Nasaba ya majina yanayoanza na herufi "J" katika nafasi ya urais.

Tafiti mbalimbali zilizofanyika duniani zinaonesha kuwa watu wenye majina yanayoanzia na herufi J huwa wanapogombea nafasi mbali mbali za uongozi huwa wanashinda, katika mataifa mbalimbali duniani viongozi wao waliofanya mabo makubwa na pia watu mbali mbali duniani waliofanya mabadiliko ya kweli katika dunia hii majina yao yanaanzia na herufi "J".

Mfano wa viongozi wakubwa duniani ambao majina yao yanaanzia na herufi "J" ni;

Julius Nyerere - Rais wa kwanza wa Tanzania
Jomo Kenyata -Rais wa kwanza wa Kenya
Joseph Kabila – Rais wa Kongo
Jimy Catter – Rais waMarekani mstafu
John F.Kenedy – Rais wa Marekani Mstafu
James Madson – Rais wa Marekani msatafu
James Monroe – Rais wa Marekani msatafu
Jakaya Kikwete – Rais wa Tanzania
Jacob Zuma – Rais wa Afrika Kusini
John Adams – Rais wa marekani mstaafu
John Quincy Adams – Rais wa marekani mstaafu
James Garfield – Rias wa marekani mstaafu
John Tyler – Rais wa marekani mstaafu
James K. Polk – Rais wa marekani mstaafu
James Buchanan –Rais msatafu wa marekani
Jonathan Gudrack – Rais wa Nigeria mstaafu
Joachim Chisano –Rais wa Msumbiji mstaafu
Jinping Xi - Rais wa China
Jacques Nicholause Verrene – Rais mstafu wa Ufaransa
John Paul II - Papa wa katoliki Duniani wa zamani

Hao ni baadhi tu ya Majina ya marais waliofanya vizuri katika nafasi ya uras katika nchi zao ambao majina yao yanaanzia na Herufi J.

Kwa hiyo, Inasemekana kwamba hata uchaguzi wa sasa unaoendelea hapa Tanzania Mh JOHN P. MAGUFULI natabiliwa kushinda kwa kishindo kutokana na uwezo wake lakini pia nasaba ya Jina lake na nafasi ya urais, Herufi ya J katika jina la John Magufuli litampa ushindi mkubwa sana katika uchaguzi huu.

Kwa style hii nina imani kubwa kwamba Mh JOHN MAGUFULI NDIO RAIS AJAYE WA TANZANIA, HATA KAMA UPINZANI UTAKUWA MKUBWA KIASA GANI BADO ATASHINDA TU.

Regards;
OMARY KIPINGU
MTAFIT
 
Nasaba ya majina yanayoanza na hereufi "J" katika nafasi ya urais.
Regards;
OMARY KIPINGU
MTAFIT
Naona sasa utafiti unaingiliwa. Yaani utafiti unafanywa kuhusisha majina na title? Au ulimaanisha unajimu?
 
Sisi hatutegemei nyota, Superstition wala chochote. MUNGU yupo upande wetu, Kibali cha MUNGU kipo juu ya Lowassa, Mkono wa MUNGU upo juu ya Lowassa. Mungu wetu anajitegemea, hategemei herufi za majina ili kubariki mtu. Everyone in GOD has equal chances, provided that the favor of GOD is upon Him. It all depends on GOD'S favor na siyo herufi ya majina.

Huo ni upotovu mkubwa sana zaidi ya uganga wa kienyeji.
 
NASABA YA MAJINA YANAYOANZIA NA HERUFI “J” KATIKA NAFASI YA URAIS.
Tafiti mbalimbali zilizofanyika duniani zinaonesha kuwa watu wenye majina yanayoanzia na herufi J huwa wanapogombea nafasi mbali mbali za uongozi huwa wanashinda, katika mataifa mbalimbali duniani viongozi wao waliofanya mabo makubwa na pia watu mbali mbali duniani waliofanya mabadiliko ya kweli katika dunia hii majina yao yanaanzia na herufi “J”. Mfano wa viongozi wakubwa duniani ambao majina yao yanaanzia na herufi “J” ni;
Julius Nyerere - Rais wa kwanza wa Tanzania
Jomo Kenyata -Rais wa kwanza wa Kenya
Joseph Kabila – Rais wa Kongo
Jimy Catter – Rais waMarekani mstafu
John F.Kenedy – Rais wa Marekani Mstafu
James Madson – Rais wa Marekani msatafu
James Monroe – Rais wa Marekani msatafu
Jakaya Kikwete – Rais wa Tanzania
Jacob Zuma – Rais wa Afrika Kusini
John Adams – Rais wa marekani mstaafu
John Quincy Adams – Rais wa marekani mstaafu
James Garfield – Rias wa marekani mstaafu
John Tyler – Rais wa marekani mstaafu
James K. Polk – Rais wa marekani mstaafu
James Buchanan –Rais msatafu wa marekani
Jonathan Gudrack – Rais wa Nigeria mstaafu
Joachim Chisano –Rais wa Msumbiji mstaafu
Jinping Xi - Rais wa China
Jacques Nicholause Verrene – Rais mstafu wa Ufaransa
John Paul II - Papa wa katoliki Duniani wa zamani
Hao ni baadhi tu ya Majina ya marais walifanya vizuri katika nafasi ya urasi katika nchi zao ambao majina yao yanaanzia na Herufi J. Kwa hiyo, Inasemekana kwamba hata uchaguzi wa sasa unaoendelea hapa Tanzania Mh JOHN P. MAGUFULI natabiliwa kushinda kwa kishindo kutokana na uwezo wake lakini pia nasaba ya Jina lake na nafasi ya urais, Herufi ya J katika jina la John Magufuli litampa ushindi mkubwa sana katika uchaguzi huu. Kwa style hii nina imani kubwa kwamba Mh JOHN MAGUFULI NDIO RAIS AJAYE WA TANZANIA HATA KAMA UPINZANI UTAKUWA MKUBWA KIASA GANI BADO ATASHINDA TU.
Regard;
OMARY KIPINGU
MTAFIT

Nchi ya utabili na sio sayansi. Obama ili mmbeba O au? Dah! Ma ccm mumebakia na utabili kujalibu kujipa moyo ya kushinda.
Rais ni Lowassa mukubali tuu.
 
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu

3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?

umemsahau mwingine wa ukawa nae anaitwa " jedward lowassa " vipi hakuna herufi " j " hapo mkuu? ulimsahau kwa makusudi tu au wivu?
 
Back
Top Bottom