Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

Tehe! Tehee!!Teheeeee!!!!! CCM mwaka huu mtasema yote na haitawasaidia maana Watanzania wanawafahamu kuliko mnavyowafaham. Mwanadam haongozwi kienyeji.
 
jimy kerta
jurious kambarage
jacob zuma
joseph kabila
joseph rungu
jery slaa
jomo kenyatta
jonh kerry
 
kaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)
Jomo Kinyata
 
kaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)

Jomo Kenyata
 
Kama ni hivyo majina yenye thamani ni Ya herufi E kwa sababu kuna Elisha,Elia,Emanuel,Ezekiel,Esau,Ester nk.Haya ni baadhi tu ya majina kwenye vitabu vitakatifu.Bila kumsahau Edward Twinning ambaye ni Wa kawaida teh teh
 
Huo utafiti wako sikubaliani nao na ni uzushi mtupu. Hivi kilaza kama Jkikwete ni mtu wa kumfananisha na J.K.Nyerere kweli? Kikwete hafai hata kuwa msafisha kiatu wa Nyerere. JK ni genius. Eti kikwete umlinganishe na JFKennedy. Naona umekosa cha kufanya.
 
Hizi ramli zenu ndizo zinazotumalizia albino wetu. Achaneni nazo hazina lolote.ni ujinga mtupu!
 
Back
Top Bottom