Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

sidhani km 2kiwabadilisha itakuwa ivyo,ila baadhi ya hao hapo juu me naona ni watendaji wazuri!

au unataka kusema kuwa majina tayari yameshathiri utendaji wao, hata ukibadilisha majina utendaji utakuwa uleule?.
 
ila mengi ya kiafrika tu?? haya naongeza jina la mbunge wangu

John Mnyika!

ndugu,nje ya bara la africa wengi wao wenye izo alphabdts ni wanamichezo/muziki.mfano
1)Michael Jordan
alikuwa nguli wa mpira wa kikapu marekani.NBA
2)Michael Jackson
alikuwa ni mwanamuziki/pop nguli wa marekani!
3)John Michael
mwanamuziki wa uingereza(kwa cameroon)
4)Michael Johnson
ni mwanariadha shupavu wa marekani miaka ya tisini!
 
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu
3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?

January makamaba
 
au unataka kusema kuwa majina tayari yameshathiri utendaji wao, hata ukibadilisha majina utendaji utakuwa uleule?.

kaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)
 
nahisi tz 2naongoza ktk hili,i wish angekuwepo sheikh(a.k.a/r.i.p) angetwambia nyota znatafsiri vp!
...Infact Sheikh yahaya(RIP) a.k.a Mzee wa ulinzi usioonekana alishawahi kueleza hili. Alisema herufi za viongozi ni J,K,L,M,N na W. Infact alisema jinsi unavyokuwa nazo nyingi katika majina yako ndio umaarafu/kukubalika kunavyongezeka. mfano John Fitzgerald Kennedy, (Mwalimu) Julius kambarage Nyerere, Nelson Holithatha Mandela, (Maalim)seif Sharif Hamad, Jomo Kenyatta, William jefferson Clinton, Geroge Walker Bush, Osama Bin Laden nk....
 
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu
3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?

Huo ni mtazamo wako tu ila hakuna ukweli ndani yake
 
Huo ni mtazamo wako tu ila hakuna ukweli ndani yake

thanks alot shine,thats nkaleta mawazo yangu kwa great thinkers tusaidiane..najua humu ndani kuna watu wa tasnia mbalimbali ikiwemo astrology(unajimu)...kuuliza ni ukomavu!be blessed.
 
Imetokea tu usije ukaangaika kumpa mwanao kwa mategemeo ya kisiasa kwani wengine ni magamba/mafisadi.
 
Imetokea tu usije ukaangaika kumpa mwanao kwa mategemeo ya kisiasa kwani wengine ni magamba/mafisadi.

hahaha,ndo ilikuwa plan yangu..thanks kwa kuni alert!ngoja nimpe jina la JF ie John Frank Chante.
 
sidhani km 2kiwabadilisha itakuwa ivyo,ila baadhi ya hao hapo juu me naona ni watendaji wazuri!

Sikubaliani na wewe. Hiyo list ina watendaji wazuri na wabaya. Hata wewe unalijua hilo ila unataka watu wako, ambao ni watendaji wabaya waonekane wazuri kwa sababu wamechanganywa na wapambanaji. Nyoka hatakuwa samaki kwa kumweka kwenye dimbwi la samaki.
 
mbona mimi ni Joseph Mwanalugali lakini sina hata uongozi wa nyumba kumi? hata kwenye nyumba yangu tu ni mgogoro maana Mumsap ndiye anaye take chaji!!!???????
 
Back
Top Bottom