Kuhusu siasa na majina yanayoanza na JM!

Sikubaliani na wewe. Hiyo list ina watendaji wazuri na wabaya. Hata wewe unalijua hilo ila unataka watu wako, ambao ni watendaji wabaya waonekane wazuri kwa sababu wamechanganywa na wapambanaji. Nyoka hatakuwa samaki kwa kumweka kwenye dimbwi la samaki.

nimesema baadhi ya hao,sio wote..!JM wana hulka na siasa,ila baadhi yao ni watendaji bora!eg john mccain vs jakaya mrisho, james mbatia vs j.mtatiro, j.mhagama vs j.makamba !wote ni JM,wana hulka na siasa ila utendaji vp?swali langu ilikuwa inahusu hulka/interests zao tu(JM's),sio utendaji!
 
Jombaa huyu diwani anaitwa Jikune Mkunduwe yeye ni diwani wa kata ya MWAYA (ccm) huko Ulanga mashariki.

google cant buy that..lbd useme ni politicians wa nchi za wenze2..coz kuna majina ya viongozi yana utata sana kule!
 
mbona mimi ni Joseph Mwanalugali lakini sina hata uongozi wa nyumba kumi? hata kwenye nyumba yangu tu ni mgogoro maana Mumsap ndiye anaye take chaji!!!???????

hahaha,dah nimecheka sana hapo ulipomzungumzia mamsapu
 
kaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)

Mzee jomo kenyatta
 
Ndugu zangu,ni kweli watu ambao majina yao yanaanza na JM wana hulka sana na siasa? Mfano.
1)Julius Malema.
Mwenyekiti wa umoja wa vijana afrika kusini aliyemsaidia zuma kuingia madarakani.

2)James Millya
mwenyekiti uvccm arusha anayemsaidia lowasa kuingia ikulu
3)John Mnyika
mmpanaji,mwanaharakati,waziri kivuli wa nishati,mmbunge wa ubungo,mwenyekiti mstaafu vijana cdm nk.

4)James Mbatia
mwenyekiti nccr mageuzi,mbunge mstaafu,na alikuwa mgombea ubunge kawe!

5)John Mrema.
Aligombea ubunge via cdm huko vunjo,na ni katibu mambo ya bunge chadema!

6)John Malecela.
Wote mnamjua

7)Jakaya Mrisho
mheshimiwa sana dr JM, raisi wa tanzania!

8)e.t.c(end of thinking capacity)

Je,kuna ukweli wowote?

John Marandu, diwani wa kata ya katangara-mrere, rombo na ripota wa zamani wa itv-radio one.
 
nadhani mfanano unatokana na majina mengi ya kibantu kuwa na mwanzio wa m, majina ya kwanza si shida, kwani yapo mengi ya herufi moja.
 
kaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)

Jomo kenyata(jk)
 
aisee mmenipa challenge hata mm ni JMK ila sipendi siasi sipendi kutoa ahadi za uwongo naogopa lawama
thats my name JMK
 
nadhani mfanano unatokana na majina mengi ya kibantu kuwa na mwanzio wa m, majina ya kwanza si shida, kwani yapo mengi ya herufi moja.

Upo sahihi mphamvu mfano wanyakyusa mtu jina lake likianza J tu amepeta kwa sababu majina yao mengi yanaanza na 'MWA' Mfano uitwe "JINGAJINGA MWAIMAVI"
 
John Marandu, diwani wa kata ya katangara-mrere, rombo na ripota wa zamani wa itv-radio one.

namkumbuka john marandu ila sikupata kuskia kama ni diwani! Kuna Joseph Mungai! Aliwahi kuwa mmbunge wa mufindi iringa,waziri ktk awamu zote nne na mwanasiasa mkongwe hapa Tz!
 
aisee mmenipa challenge hata mm ni JMK ila sipendi siasi sipendi kutoa ahadi za uwongo naogopa lawama
thats my name JMK

ndugu kuna exceptions ktk kila ki2.
mfano.
1)Juma Mchopanga aka jmoe,yeye interest yake ni muziki nt politics,so huenda na wewe upo hapo
2)Jackton Manyerere
yeye interest yake journalism.so hata wewe huenda ni kati ya hao.
 
Sasa hivi ni diwani wa kata ya Katangara-Mrere, ambako ndio kwao hukoRombo...
namkumbuka john marandu ila sikupata kuskia kama ni diwani! Kuna Joseph Mungai! Aliwahi kuwa mmbunge wa mufindi iringa,waziri ktk awamu zote nne na mwanasiasa mkongwe hapa Tz!
 
Back
Top Bottom