Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

RT pamoja na kufungiwa na nchi za Magharibi, ila ndio source ya uhakika kwa habari za russia,nimeingia kwenye website yao hamna hiyo habari.
Screenshot_20220331-071014_RT News.jpg
Screenshot_20220331-071029_RT News.jpg
Screenshot_20220331-071104_RT News.jpg
 
Kidume Putin anaongea muda huu,anawaambia wagema ulimbo wafungue acc ya Rubo benki nchini Urusi ili kununua gesi na mafuta
⚡️ European gas futures soar to $1450 per 1,000 cubic meters after Putin’s statement on ruble payments

Subscribe to RT t.me/rtnews
Nalog off-Z
 
Putin kapigilia msumari wa mwisho kwenye sakata la kulipia gesi na mafuta kwa Rouble! Anayehitaji huduma hiyo atalazimika kufungua akaunti Urusi na kwa kupitia akaunti hiyo atalipia huduma kwa Rouble! Wahusika waamue kisuka au kunyoa!! Hiyo imekaa vizuri, ona hapa:

Putin sets ruble-for-gas payment deadline.
Measure will take effect on April 1
Putin sets ruble-for-gas payment deadline.

Russian President Vladimir Putin has greenlighted ruble gas payments for buyers from countries which placed sanctions on Russia in connection with Ukraine.

Putin signed a decree on Thursday demanding that these buyers open accounts in Russian banks to facilitate the payments.

The measure takes effect from April 1.

“If unfriendly countries do not pay in rubles starting from April 1, we will consider this a default on gas contracts, in which case the existing contracts will be scrapped,” the President said.

The move to switch to Russia’s national currency in gas payments was announced earlier this month in response to unprecedented sanctions against country.

That announcement instantly sent the ruble surging from historic lows against the US dollar and the euro, with the Russian currency recovering nearly all its losses since the crisis in Ukraine began over a month ago.

For more stories on economy & finance visit RT's business.
 
Safi Sana, ni mwendo wa kuamua kusuka au kunyoa kuhusu suala la kulipia gesi ya Urusi kwa Rouble!! Anayetaka atalazimika kufungua akaunti ya Rouble itakayotumika kulipia gesi na mafuta ya Urusi! Asiyetaka aache!! Ona hapa:

Moscow’s new gas payment scheme explained
It requires a ruble account to be opened in an unsanctioned Russian bank abroad.

Russian gas buyers from “unfriendly countries” will be obliged to open a ruble account in an unsanctioned Russian bank, RBC reported on Thursday, citing sources with knowledge of the new payment mechanism.

“The proposed scheme requires the mandatory opening of accounts in Russian rubles in a Russian bank by a foreign buyer of Russian gas,” a government source said. “The payment from the buyer to Gazprom will have to be made exclusively in rubles.”

A source close to Gazprom has confirmed to RBC the structure of the new payment plan.

The deadline set by the Russian government for switching to rubles in gas payments is April 1.

For more stories on economy & finance visit RT's business
 
Hio ni rt app yao....itafute android ....pia wana link ya telegram wanaleta updates kila wakati


Russia's Putin and Germany's Scholz talk gas for rubles https://www.rt.com/russia/553009-putin-and-scholz-talk-gas/
Hiyo habari ni ya jana tar 30 na walikuwa kwenye mazungumzo ambayo haya kuleta maamuzi.

so hii ni ya moto na ni ya leo hii.
Screenshot_20220331-180950_Chrome.jpg
Screenshot_20220331-180929_Chrome.jpg


Ingia twitter account ya RT hiyo habari ni lisaa limoja liliopita kutokea sasa, Putin msimamo wake ni uleule no ruble no gas.
 
Hakuna atakayenunua nishati hizo kwa Ruble, wewe unaongea tu kishabiki hakuna unachojua hapo.
 
Hakuna atakayenunua nishati hizo kwa Ruble, wewe unaongea tu kishabiki hakuna unachojua hapo.
Sharti ni kuwa lazima ufungue akaunti ya Rouble! Ukishafungua akaunti ya Rouble mama yake ni kuwa Kila pesa itakayowekwa humo itsbadilishwa kuwa Rouble! Hutaki kuja na Rouble njoo na Dola yako huku ukijua hiyo Dola itsbadilishwa kwanza kuwa Rouble ndo biashara ifanyike! Atakayegoma maana yake hatafungua akaunti ya Rouble!! Wakigoma kununua tayari Kuna raia bilioni moja pointi mbili wa India wameshaingia Dili la kununua gesi na mafuta kwa Rouble!! Hakuna anayeitaka Dola ambayo huruhusiwi kuzitumia!!
 
Mabeberu kuruhusiwa kununua gesi kwa Dola halafu wakubali hiyo Dola ibadilishwe na Urusi iwe Rouble hapo hapo ni sawa na watoto wawili waliopewa chungwa Zima Kila mmoja amkatie nusu yule aliyekosa!! Kama ambavyo yule mama alifanikisha kumpatia mtoto wake chungwa Zima kwa kuwahadaa watoto wa kambo kwa njia ya mzunguko, Hali kadhalika imefanikiwa kuuza gesi yake kwa Rouble kwa njia yamzunguko!! Chezea Putin wewe! Kumbuka kuwa mchakato wa kupokea fedha za mauzo ya gesi utakuwa umekamilika tu pale ambapo hiyo Dola itakuwa imebadilishwa na kuwa Rouble na ndipo mteja atakapopewa gesi au mafuta! Hapo patamu!!

Endelea kutupa madini, wasio elewa wataelewa tu
 
Back
Top Bottom