Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,852
- 15,485
RT pamoja na kufungiwa na nchi za Magharibi, ila ndio source ya uhakika kwa habari za russia,nimeingia kwenye website yao hamna hiyo habari.
RT pamoja na kufungiwa na nchi za Magharibi, ila ndio source ya uhakika kwa habari za russia,nimeingia kwenye website yao hamna hiyo habari.
Source? Vizuri ukiweka na link,hiyo habari yako RT ambayo ni source ya uhakika ya Russia haipo.
Hio ni rt app yao....itafute android ....pia wana link ya telegram wanaleta updates kila wakatiSource? Vizuri ukiweka na link,hiyo habari yako RT ambayo ni source ya uhakika ya Russia haipo.
https://mobile.twitter.com/rt_com
Hiyo habari ni ya jana tar 30 na walikuwa kwenye mazungumzo ambayo haya kuleta maamuzi.Hio ni rt app yao....itafute android ....pia wana link ya telegram wanaleta updates kila wakati
Russia's Putin and Germany's Scholz talk gas for rubles https://www.rt.com/russia/553009-putin-and-scholz-talk-gas/
Hiyo habari ni ya jana tar 30 na walikuwa kwenye mazungumzo ambayo haya kuleta maamuzi.
so hii ni ya moto na ni ya leo hii.
View attachment 2170641View attachment 2170642
Ingia twitter account ya RT hiyo habari ni lisaa limoja liliopita kutokea sasa, Putin msimamo wake ni uleule no ruble no gas.
Kaka ingia twitter RT account muda huu kasome alicho zungumza Putin leo lisaa limoja lilopita.
Kwani nimebisha nini kakaKaka ingia twitter RT account muda huu kasome alicho zungumza Putin leo lisaa limoja lilopita.
Wewe jiulize kwa nini Germany leo kaanza mgao wa mafuta, hujiulizo tuuu ukiona hivyo mazungumzo ya jana Putin alimchomolea.
No ruble no gas.
India na China wananunua, HungaryHakuna atakayenunua nishati hizo kwa Ruble, wewe unaongea tu kishabiki hakuna unachojua hapo.
Kwa mawazo yako.India na China wananunua, Hungary
Watanunua.
Germany watakubali kiaina.
Sharti ni kuwa lazima ufungue akaunti ya Rouble! Ukishafungua akaunti ya Rouble mama yake ni kuwa Kila pesa itakayowekwa humo itsbadilishwa kuwa Rouble! Hutaki kuja na Rouble njoo na Dola yako huku ukijua hiyo Dola itsbadilishwa kwanza kuwa Rouble ndo biashara ifanyike! Atakayegoma maana yake hatafungua akaunti ya Rouble!! Wakigoma kununua tayari Kuna raia bilioni moja pointi mbili wa India wameshaingia Dili la kununua gesi na mafuta kwa Rouble!! Hakuna anayeitaka Dola ambayo huruhusiwi kuzitumia!!Hakuna atakayenunua nishati hizo kwa Ruble, wewe unaongea tu kishabiki hakuna unachojua hapo.
Mabeberu kuruhusiwa kununua gesi kwa Dola halafu wakubali hiyo Dola ibadilishwe na Urusi iwe Rouble hapo hapo ni sawa na watoto wawili waliopewa chungwa Zima Kila mmoja amkatie nusu yule aliyekosa!! Kama ambavyo yule mama alifanikisha kumpatia mtoto wake chungwa Zima kwa kuwahadaa watoto wa kambo kwa njia ya mzunguko, Hali kadhalika imefanikiwa kuuza gesi yake kwa Rouble kwa njia yamzunguko!! Chezea Putin wewe! Kumbuka kuwa mchakato wa kupokea fedha za mauzo ya gesi utakuwa umekamilika tu pale ambapo hiyo Dola itakuwa imebadilishwa na kuwa Rouble na ndipo mteja atakapopewa gesi au mafuta! Hapo patamu!!