Kuhusu kununua gesi na mafuta kwa Rouble: Putin awafanya mabeberu Kama watoto wadogo

Kitu pekee ulichokiona ni sukari tu..........hio labda ni shida ya nyumbani kwako

Russia's cost of living soars by more than 14%​

The cost of living in Russia is surging following the country's invasion of Ukraine, according to new data.

Official figures show price of some household staples - such as sugar - have jumped by as much as 14% over the past week.

Inflation is set to keep rising in Russia where the rouble has fallen sharply since the Ukraine war began.

The value of the currency has dropped about 22% this year, and this has pushed up the cost of importing goods.

The inflation data came as the Russian stock market resumed trading on Thursday after a month-long hiatus, with the majority of shares rising in a volatile trading session.

The benchmark Moex index closed 4.4% higher after surging over 10% in Moscow.

Analysts said a government plan to buy billions of dollars worth of Russian shares was supporting the market, which dived last month after Russia invaded its neighbour.

Bans on trade with foreigners and on short-selling remain in place.

'The biggest culprit'​

On Wednesday, Russia's economic ministry said annual inflation had jumped 14.5% in the week ending 18 March - the highest rate since late 2015.

The Federal State Statistics Service said the cost of sugar rose by as much as 37.1% in certain regions of the country and increased by an average 14%.

Sugar, which is commonly used to preserve food or make liquor, was the biggest gainer in the week, the government agency found

The price of onions was the second biggest riser over the week, up 13.7% nationwide and 40.4% in some areas. Meanwhile, nappies were 4.4% more expensive. Prices for black tea rose 4% and toilet paper increased by 3%.

Stephen Innes, managing partner at SPI Asset Management, said prices were higher because of the weaker rouble.

"The biggest culprit is imported inflation," Mr Innes told the BBC. "Anything Russia imports is exponentially (pricier) due to the weaker rouble."

The UK, the US and the European Union have cut off a number Russian banks from financial markets in the West.

They have also prohibited dealings with Russia's central bank, state-owned investment funds and the finance ministry.

The Bank of Russia more than doubled its interest rate to 20% in March, in an attempt to stop its currency from sliding further.

A large number of Western businesses have pulled out of Russia because of the war in Ukraine. Others, such as the Swiss food giant Nestle, have withdrawn major brands such as KitKat and Nesquik.
 
Mabeberu wamenuna!! Putin amewachezea mchezo wa watoto!! Kawaambia Kama mnataka kulipia kwa Dola au uro ni sawa! Lakini sharti ufungue akaunti ya Rouble!! Ukileta Dola zako na kuziweka kwenye akaunti hiyo, zitabadilishwa kuwa Rouble na Kisha kutoka kwenye akaunti hiyo unalipia gesi kwa Rouble!! Kwa hiyo nyie ni "washindi" maana mmeleta Dola!! Sasa kwa Nini mnanuna? Si bado "mmenunua" kwa Dola Kama mlivyotaka.
Wamenuna kwa sababu amewalazimisha kiaina kukiuka vikwazo vyao wenyewe!!
 
Russia's cost of living soars by more than 14%​

The cost of living in Russia is surging following the country's invasion of Ukraine, according to new data.

Official figures show price of some household staples - such as sugar - have jumped by as much as 14% over the past week.

Inflation is set to keep rising in Russia where the rouble has fallen sharply since the Ukraine war began.

The value of the currency has dropped about 22% this year, and this has pushed up the cost of importing goods.

The inflation data came as the Russian stock market resumed trading on Thursday after a month-long hiatus, with the majority of shares rising in a volatile trading session.

The benchmark Moex index closed 4.4% higher after surging over 10% in Moscow.

Analysts said a government plan to buy billions of dollars worth of Russian shares was supporting the market, which dived last month after Russia invaded its neighbour.

Bans on trade with foreigners and on short-selling remain in place.

'The biggest culprit'​

On Wednesday, Russia's economic ministry said annual inflation had jumped 14.5% in the week ending 18 March - the highest rate since late 2015.

The Federal State Statistics Service said the cost of sugar rose by as much as 37.1% in certain regions of the country and increased by an average 14%.

Sugar, which is commonly used to preserve food or make liquor, was the biggest gainer in the week, the government agency found

The price of onions was the second biggest riser over the week, up 13.7% nationwide and 40.4% in some areas. Meanwhile, nappies were 4.4% more expensive. Prices for black tea rose 4% and toilet paper increased by 3%.

Stephen Innes, managing partner at SPI Asset Management, said prices were higher because of the weaker rouble.

"The biggest culprit is imported inflation," Mr Innes told the BBC. "Anything Russia imports is exponentially (pricier) due to the weaker rouble."

The UK, the US and the European Union have cut off a number Russian banks from financial markets in the West.

They have also prohibited dealings with Russia's central bank, state-owned investment funds and the finance ministry.

The Bank of Russia more than doubled its interest rate to 20% in March, in an attempt to stop its currency from sliding further.

A large number of Western businesses have pulled out of Russia because of the war in Ukraine. Others, such as the Swiss food giant Nestle, have withdrawn major brands such as KitKat and Nesquik.

Hii taarifa imeshapitwa na Wakati! Unaongelea Hali ilivyokuwa katikati ya march wakati thamani ya Rouble ilishuka Sana! Lakini kwa hatua aliyochukua Putin ya kuwalazimisha mabeberu kulipa kwa Rouble mauzo ya gesi na umeme, thamani ya Rouble imepanda Hadi kufikia ilipokuwa kabla ya vita kuànza! Kwa hiyo inflation imekuwa cancelled!! Inflation huletwa na kushika kwa thamani ya pesa!! Kwa Sasa thamani ya Rouble iko pia!! Ndiyo maana mabeberu wamenuna!
 
Hii ndo kitu fresh kwa sasa...............yani baada ya maagizo ya bwana Putin leo.........stay tyun usisahau kusabskraib ,kulaiki na kukomenti hapo chini

Screenshot_20220331-232546_Samsung Internet.jpg

Screenshot_20220331-232453_Samsung Internet.jpg
 
Kulikuwa na kisa kimoja kuwa mama mmoja alikuwa na watoto watatu. Kati ya hao wawili ni watoto wa kambo na mmoja ni WA kwake. Huyu mama alinunua machungwa mawili huku akitaka mtoto wake apate chungwa Zima lakini wale wa kambo wagawane chungwa moja nusu kwa nusu!!

Ili kuwadanganya Hawa watoto wa kambo aliwagawia Kila mmoja chungwa moja na yule wa kwake akakosa!! Halafu akawaambia Hawa wa kambo kuwa Kila mmoja amgawie "kidogo' huyu aliyekosa!! Hawa watoto wakafurahi kuwa wao wamepata chungwa Zima halafu wanamgawia huyu mwenzao "kidogo" tu kwa hiyo wakakubali!!

Yule mama akawaambia niwasaidie kumkatia huyu mwenzenu kidogo na wakakubali. Mama akakata nusu ya Kila chungwa na kumgawia mtoto wake!!

Mwisho wa siku mtoto wake alipata chungwa Zima na hawa watoto wa kambo wakafurahi kuwa wao walipewa chungwa Zima na wakamgawia mwenzao "kidogo" tu maana hawajui kuwa nusu Mara mbili ni chungwa Zima!!

Hicho ndicho alichokifanya Putin, iko hivi:

Urusi aliwekewa vikwazo na mabeberu, moja ya kikwazo ni kwamba haruhusiwi kufanya miamala yoyote kwa kutumia Dola au Euro!!

Kwa maneno mengine ni kuwa Dola na Euro alizokuwa nazo zilikosa kabisa thamani maana Hana jinsi ya kuzitumia. Ndio maana Putin alisema kuuza gesi yake kwa Dola ni sawa na kuuza bure maana hiyo Dola Haina faida kwake.

Putin akasema kuanzia tarehe 31/03/2022 atauza gesi na mafuta kwa Rouble!! Na akasema hakuna gesi na mafuta ya bure! Ukitaka mafuta na gesi ya Urusi tafuta Rouble! Mabeberu wakagoma kabisa kununua kwa Rouble!!

Ilipofika tarehe 30/03/2022 yaani siku moja kabla ya utekelezaji kansela wa Ujerumani akaamua kuongea moja kwa moja na Putin kuhusu jambo Hilo. Hapo ndipo Putin alipomchezea mchezo wa kitoto!! Akamwambia hivi, kwa Sasa hatukubali kuuza mafuta na gesi kwa Dola au Euro!

Nenda ukanunue Rouble halafu Uje ulipie!! Ukiona kwako ni shida kwenda kununua Rouble, tupe sisi hiyo Dola halafu TUTAITUMIA HIYO DOLA KUNUNUA ROUBLE, KWA HIYO WEWE UTAONA UMENUNUA KWA DOLA! KWA MANENO MENGINE MTURUHUSU SISI KUTUMIA HIYO DOLA KUNUNULIA ROUBLE!! (Kumbuka kwa mujibu wa vikwazo Urusi hairuhusiwi kufanya miamala kwa Dola au Euro, kwa hiyo ukikubali pendekezo la Putin ni kwamba unafuta kikwazo Cha awali Ili upate gesi na mafuta). Kwa maneno mengine Kuna vitu viwili Putin amevipataa kwa pamoja:

1. Amewalazimisha mabeberu wakubali Urusi kufanya miamala kwa kutumia Dola kununua Rouble! Kwa hiyo kikwazo Cha kufanya miamala kwa Dola kinakuwa kimekufa kifo Cha Mende asubuhi na mapema

2. Urusi imetimiza lengo lake la kuuza gesi na mafuta kwa Rouble maana Mara beberu anaponunua kwa Dola au Euro, Urusi inaibalilisha hiyo Dola kuwa Rouble!!

Hivyo Urusi kufanikiwa kuhifadhi utajiri wake kwa fedha ya ndani ambayo hakuna mwingine mwenye mamlaka nayo!!
Mwisho wa siku ni kwamba Mabeberu wamenunua kwa Rouble kwa njia ya mzunguko Kama ambavyo yule mama alivyompa mtoto wake chungwa Zima kwa njia ya mzunguko!

Vinginevyo wangesema hatukubali kununua kwa Rouble, tutaendelea kununua kwa Dola, na wewe huruhusiwi kufanya miamala kwa Dola!!

Kwa hiyo hizo Dola tunazokulipa huwezi kuzitumia kwenye miamala yoyote! Lakini mjerumani alinywea akasema SAWA!!
Uchambuzi upo kishabiki
 
Ta
Hii taarifa imeshapitwa na Wakati! Unaongelea Hali ilivyokuwa katikati ya march wakati thamani ya Rouble ilishuka Sana! Lakini kwa hatua aliyochukua Putin ya kuwalazimisha mabeberu kulipa kwa Rouble mauzo ya gesi na umeme, thamani ya Rouble imepanda Hadi kufikia ilipokuwa kabla ya vita kuànza! Kwa hiyo inflation imekuwa cancelled!! Inflation huletwa na kushika kwa thamani ya pesa!! Kwa Sasa thamani ya Rouble iko pia!! Ndiyo maana mabeberu wamenuna!
Taja nchi 1 tu imelipa kwa RUB
 
Mikataba inasema ulaya atamlipa urussi kwa dollar au euro ikinunua gesi na mafuta hizo narrative Zako unazitolea wapi
We nawe unaongea Kama umetoka usingizini , mkataba kitu gani sasa. Kwan kwenye mkataba walivyosema tutakulipa kwa EUR walimwambia Ila hutoweza kuzitumia naye akakubali? Mikataba ni makubaliano ya kimaslai inafanyiwa marekebisho mda wowote inapohitajika
 
Kaka ingia twitter RT account muda huu kasome alicho zungumza Putin leo lisaa limoja lilopita.

Wewe jiulize kwa nini Germany leo kaanza mgao wa mafuta, hujiulizo tuuu ukiona hivyo mazungumzo ya jana Putin alimchomolea.

No ruble no gas.
Nimeona hapa wajerumani wameanza mgao, ni kweli wajerumani wanajitoa sadaka kisa amerika? Kuna kipindi wazungu nao chenga eeh, mbona Hungary , kaona siwez mtesa kiti kwa kumnufaisha jini!
 
Kwahiyo Russia hatakuwa na cha kupoteza kwa kukosa mapato ya gas? Yeye maisha yake yataendelea kuwa vilevile?
Kwani TANESCO wanapo kata umeme huwa wanalalamika wao au sisi tuliokatiwa?Wewe mwenye mashine unapokosa umeme sindiyo unaathirika zaidi kwa sababu hapo ndiyo tegemeo lako?TANESCO kukata umeme mtaa mmoja hakuwaathiri sana kama wewe mkatiwa.
 
Back
Top Bottom