Kufumaniwa na Baba mkwe! ushauri

Amwekee baba mkwe laki moja kwenye
bahasha,
mwambie (kwa mdomo asiandike mahali) baba samahani,
mambo yataishia hapo hapo.
 
Sasa hapo ajitetee nini ?, Kwani kafanya kosa gani ?
Kukutana na binti hotelini ?, kwani hakuna kazi zinazoweza kufanyika hotelini baina ya binti na kaka..

Hapo atunge tu story ya kikazi yoyote ambayo ilibidi ifanyike hapo hotelini, either sababu ya usiri au confidentiality ya hio kazi ilibidi ifanyike kwenye hio hoteli (mfano labda aseme ni deal baina ya yeye, huyo binti na mwenye hoteli, au group yao ilikuwa na meeting kwenye hio hoteli)

Yaani watu wanashikwa wakiwa na suruali kwenye magoti wanajitetea ije kuwa hii ya kupokea binti hotelini ?
 
Duh..hii kali,za mwizi ni arobaini..aombe msamaha kwa baba na atubu kweli kutoka moyoni kwa Mungu wake na Abadili mienendo yake..
 
Umelikoroga mwenyewe ulinywe na usiliteme ulimeze, Wewe una mke lakini bado tu hushibi?? haya sasa utakoma,Tubu na uache uzinzi,
 
nataka kusikia Bujibuji atachangia nini hapa? Au yale yale ya kukutwa na mkanda wa mambo yetu na kukwidwa na dingi kisha dingi naye akaendeleza mchezo
 
Sasa hapo ajitetee nini ?, Kwani kafanya kosa gani ?
Kukutana na binti hotelini ?, kwani hakuna kazi zinazoweza kufanyika hotelini baina ya binti na kaka..

Hapo atunge tu story ya kikazi yoyote ambayo ilibidi ifanyike hapo hotelini, either sababu ya usiri au confidentiality ya hio kazi ilibidi ifanyike kwenye hio hoteli (mfano labda aseme ni deal baina ya yeye, huyo binti na mwenye hoteli, au group yao ilikuwa na meeting kwenye hio hoteli)

Yaani watu wanashikwa wakiwa na suruali kwenye magoti wanajitetea ije kuwa hii ya kupokea binti hotelini ?

babaaa sio hoteli ni gesteee... umeskia geshteeeeee...... tutungie wewe shughuli ya kiofisi inayoenda kufanyika guest house tena kati ya mme wa mtu na mwanamke!!!!!!! kama bi mfanyakazi mwenzake mbona ndume ilikuja kudai yeye chenji kwa nguvu
 
Back
Top Bottom