Kufumaniwa na Baba mkwe! ushauri

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Hii story ni kutoka kwa jamaa yangu ameniomba ushauri:

ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini pia)
Aidha baba mkwewe ni dreva tax.

sasa jamaa yangu akaenda hotel moja mjini akampigia nyumba yake nogo imfuate hotelini,nyumba ndogo ilipofika ikamuomba pesa ili ilipe dreva tax ,jamaa akampa sh elfu 10,000 kwa minajili ya kutoa sh 5,000 lakini dereva tax akadai nauli ni sh 7,000 hivyo yule bint akagoma kutoa fedha,akairudisha kwa jamaa yangu akamtaka aende aelewane na dreva tax,jamaa akiwa na hasira akamwendea tereva tax.kutupa macho ana kwa ana na baba mkwe,baba mkwe akatingisha kichwa na kuondoka bila kupewa nauli.

mkewe jamaa hajarudi na alipopigiwa simu hakuleza chochote(means baba mkwe hajamweleza).

sasa huyu jamaa yangu hafanye nini?
 
Hii story ni kutoka kwa
jamaa yangu ameniomba ushauri:

ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini
pia)
Aidha baba mkwewe ni dreva tax.

sasa jamaa yangu akaenda hotel moja mjini akampigia nyumba yake nogo
imfuate hotelini,nyumba ndogo ilipofika ikamuomba pesa ili ilipe dreva
tax ,jamaa akampa sh elfu 10,000 kwa minajili ya kutoa sh 5,000 lakini
dereva tax akadai nauli ni sh 7,000 hivyo yule bint akagoma kutoa
fedha,akairudisha kwa jamaa yangu akamtaka aende aelewane na dreva
tax,jamaa akiwa na hasira akamwendea tereva tax.kutupa macho ana kwa ana
na baba mkwe,baba mkwe akatingisha kichwa na kuondoka bila kupewa
nauli.

mkewe jamaa hajarudi na alipopigiwa simu hakuleza chochote(means baba
mkwe hajamweleza).

sasa huyu jamaa yangu hafanye nini?

Avune alichopanda.
 
mbona hiyo kawaida sana upepo wa mapenzi utapita, yeye amtafute baba mkwe amwombe msamaha na amwambie asimwambie mwanae. Baba akimwambia mwanae atakuwa amelikoroga maana mtoto anaweza pata hasira akatoka kitu ambcho kitakuwa kimekula kwa familia ya yule baba maana hata akija olewa tena same issues atazikuta huko kwingine
 
kwa story hii unanikumbusha jamaa yangu tulikuwa wote chuo alikuwa na msemo wake "honour among thieves"...hapo ndio nakiona hicho kitu in reality..

Baba mkwe naye mpigaji ndio maana hajamwambia mwanae...si unajua tena mambo yetu wanaume huishia hukohuko kimyakimya..

Mwambie jamaa yako wala asihofu ampigie cmu babamkwe amsalimie na amwambie asisitize mwanae ambaye ni mkewe arudi home maana anamtia hasara ya kulipia uroda wakati anaowake anaomiliki kihalali.​
 
Hii story ni kutoka kwa jamaa yangu ameniomba ushauri:

ilikuwa juzi,mkewe alikwenda kwako kutembelea(kwao na mkewe ni mjini pia)
Aidha baba mkwewe ni dreva tax.

sasa jamaa yangu akaenda hotel moja mjini akampigia nyumba yake nogo imfuate hotelini,nyumba ndogo ilipofika ikamuomba pesa ili ilipe dreva tax ,jamaa akampa sh elfu 10,000 kwa minajili ya kutoa sh 5,000 lakini dereva tax akadai nauli ni sh 7,000 hivyo yule bint akagoma kutoa fedha,akairudisha kwa jamaa yangu akamtaka aende aelewane na dreva tax,jamaa akiwa na hasira akamwendea tereva tax.kutupa macho ana kwa ana na baba mkwe,baba mkwe akatingisha kichwa na kuondoka bila kupewa nauli.

mkewe jamaa hajarudi na alipopigiwa simu hakuleza chochote(means baba mkwe hajamweleza).

sasa huyu jamaa yangu hafanye nini?

basi atulize mumkali....asije jichanganya kwa hofu yake.
 
Huyo jamaa lazima atakuwa mjinga tu, kwani hajui baba mkwe wake ana tax? vipi aende ma speed bila kuweka akilini kama hio tax inaweza kuwa ya baba mkwe wake.

Ujinga mwingine tabu sana, afu ukitaka kula vya nje, kavile njee kabisa sio ndani ya mji.
 
u have enough experince to b employed! my inspirations r with u! GO WELL MY SON, THE WORLD IS YOURS!
 
mbona hiyo kawaida sana upepo wa mapenzi utapita, yeye amtafute baba mkwe amwombe msamaha na amwambie asimwambie mwanae. Baba akimwambia mwanae atakuwa amelikoroga maana mtoto anaweza pata hasira akatoka kitu ambcho kitakuwa kimekula kwa familia ya yule baba maana hata akija olewa tena same issues atazikuta huko kwingine

kwani ameoa baba mkwe ama mke wake? yeye asubiri my wife wake arudi kama hata rudi basi hapo ni procedure nyingine zifuatwe ikiwa ni pamoja na kuulizia kulikoni na akipatiwa jibu sababu ni amefumaniwa basi mkwe ndio akae na mtoto wake na jamaa akae na ndogo yake maana baba mkwe si ndio kaamua kubaki na mtoto wake! Siku hizi ndoa hazilazimishwi babangu wanawake ni wazuri sana kwa kulipizia anaweza jamaa akaenda kuomba msamaha kwa baba mkwe( kitu ambacho kwangu hakipo) halafu akamruhusu na wife wake naye akatafuta kidumu chake na vurugu na mateke yakaanza
 
kila aziniye na mwanamke (ambaye sio mke wake) hana akili, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake, fedheha yake haitafutika ........ iko katika kitabu cha Mithali

ss hatuko hapa kushauri wazinzi kwani tutazidi kueneza ukimwi na pia uzinzi ni dhambi na hakuna mzinzi hata mmoja atakayeingia mbinguni warumi 3.23, ufunuo 21.8, luka 19.6-10,mathayo 1.21, mithali 28.13, luka 1.77

ni vizuri ajue kuwa bila kutubu dhambi zake kwa kumaanisha kuziacha na kuokoka hataishinda hiyo dhambi ya uzinzi/zinaa aliyoiratibu na kuihalalisha nafsini mwake. Na anaweza akavunja ndoa yake na akajuta milele, mkaribishe Yesu katika maisha yako ili aukarabati moyo wako upate pumziko la milele.
 
Asiwe na wasiwasi dingi hawezi sema kwa mkewe. Wanaume wengi wazee hutumia busara kusolve mambo! Akamwone mzee na amwombe radhi kwa yote. Akipeleka suti kama faini yake yatosha! Ila ASIRUDIE TENA!
 
Asiwe na wasiwasi dingi hawezi sema kwa mkewe. Wanaume wengi wazee hutumia busara kusolve mambo! Akamwone mzee na amwombe radhi kwa yote. Akipeleka suti kama faini yake yatosha! Ila ASIRUDIE TENA!

Tutakwenda kesho kumsalimia Baba mkwe wake
nitaleta matokeo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom