Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!

Mod! tunaogopa ban kwa mchokozi kama huyu. tusaidie kuondoa utumbo kama huu ili kutuokoa na ban

Hivi kama mtu hajaelewa kitu ni vibaya kuuliza?? na kama huwezi kujibu ni bora uuchune kuliko kuandika maneno ya kuudhi kama hayo nadhani wewe ndio unanitafutia ban mimi na u pupu wako ulioandika hapo kwani ni kosa kuuliza?
 
"If you succumb to the temptation of using violence in the struggle, unborn generations will be the recipients of a long and desolate night of bitterness, and your chief legacy to the future will be an endless reign of meaningless chaos."
Martin Luther King, Jr.

Am afraid you might have quoted Martin Luther King's statement out of context. King was referring to the oppressed and not the oppressors when making this statement and in this case Dr. Ulimboka and other doctors are the oppressed and so far they have not fallen to the temptation of using violence in their struggle.
 
Kwani dr. Ulimboka anaumwa nini?

Haumwi ndugu yangu ila ameumishwa kama alivyoumishwa Dr. Mwakyembe. Ila kule kuumishwa kwa Dr. Mwakyembe kulienda shule kidogo salama yake ni wale wahindi. Huku kuumishwa kwa Dr. Ulimboka hakujaenda shule kabisa inaonekana hata waliopanga hawajaenda shule sawasawa.
 
Mimi sielewi, hao wahudumu wa maiti kwa nini wagome? Hao maiti wanaowagomea ndio waliomtandika Ulimboka? mojawao akifikwa na umauti naye watamuacha aoze na mwili wake udhalilike?

Kwenye Migomo hii kuna haja ya kutumia akili na ubinadamu; sio kufanya wazimu ili upate kuonekana na wewe umesema!
 
Tumefika hapa tulipo sasa kutokana na udhaifu wa Rais kikwete,udhaifu wa wabunge na bunge na kwa sababu ya upuuzi wa ccm. Kwa waliofundishwa vizuri kuichambua fasihi naamini walimwelewa Mnyika.
 
Back
Top Bottom