Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!

Kushindwa wakati mapambano hayajaanza bado? Subiri muone upande wa pili wa dola baada ya ule wa kistaarabu kushindwa kufanya kazi LIWALO NA LIWE.

LIWALO NA LIWE!!! Tulitegemea PM Awe within the think tank ya nchi hii akini katoa kauli hii maana yake kwa leo ndo kauli ya mwisho na ya busara ya serikali mpaka hapo kesho kama wataibadirisha.
My take; Watanzania ndo wanapata mateso ya kutotibiwa, mateso ya kunukiwa na maiti majumbani, mateso ya maisha magumu, mfumuko wa bei nk, kumbuka misri, tunisia na Libya walianza hivi hivi kwa migomo ya wafanyakazi, wakafatia raia na baadae jeshi.
Amini msiamini hata vijana wetu majeshini hawafurahii kauli kama hizi kutoka kwa viongozi wa nchi wakati raia wanazidi kuumia, ipo siku wataungana na nguvu ya umma na matokeo mtayaona.
 
Kwa hili sasa madakitari waungane na kugoma mpaka wapewe madai yao, make naona sasa serikali inawatishia nyau
 
Wananchi lazima tuwaunge mkono serikali imekuwa dhaifu na kuwa imara kupambana na wapigania haki wananchi tuamke tuungane
 
kumbuka misri, tunisia na Libya walianza hivi hivi kwa migomo ya wafanyakazi, wakafatia raia na baadae jeshi.
Amini msiamini hata vijana wetu majeshini hawafurahii kauli kama hizi kutoka kwa viongozi wa nchi wakati raia wanazidi kuumia, ipo siku wataungana na nguvu ya umma na matokeo mtayaona.

Nashukuru umetoa mfano wa Misri, Libya na Tunisia kwa kuwa yale yalikuwa ni maamuzi ya wananchi. Hapa kwetu kama tunadhani njia sahihi ni kama waliyoitumia wenzetu twende huko LIWALO NA LIWE.
 
if and if opinions,ideas,perceptions,utopians, and all other kind of tanzanian dreams converted to the tangible practice mh nadhani tungekua mbali vibaya ebu 2punguze longo longo jama kama ni barabarani tuingie but am doubt na hii taarifa ukweli wake."tubelight lionchawene"
 
Wana Jf nimepata habari mbaya kuwa wahudumu wa vyumba vya maiti hospitali zote za Dar wametangaza mgomo wa kutopokea wala kuhudumia maiti yoyote hata kama mtu kafia hapohapo hospitali husika mpaka Dr Ulimboka atakapo kuwa amepona na kueleza yaliyo msibu.
Hivi nchi hii tunaelekea wapi?
Kama vile hamna kinachoendelea, nasikia JK yuko bussy na mipango ya safari yake ya Canada.
Nadhani kwa mgomo huo sasa maiti zitapangwa jangwani kwani huo ndo uwanja mpana.

Mkuu kifo kinaweza kumpata mtu yeyote.wamesemaji endapo watakufa wao napo maiti zao hawatazishugulikia?.hapa mkuu siyo siri mi naomba watangulie wao.
 
Kama kiongozi mkuu 9Waziri mkuu) kasema hadharani "LIWALO LIWE" na halafu tamko linafuatiwa na kutekwa na kuumizwa kiongozi wa madaktari, basi ndilo alilosema liwalo liwe, kwamba sasa vita ifanywe hadharani. Lakini hili ni nambari moja, nini kinafuata? Nitawashangaa madaktari wakimtelekeza Ulimboka apigane peke yake, after all yeye hatanufaika na mgomo huo kiviiiile, maana sio mwajiriwa wa serikali, anajitolea kufa kwa jili ya wengine. Mungu PEKE YEKA na amguse Ulimboka apone haraka.
 
Hii Nchi inakoelekea ni kubaya; imani imekuwa finyu: kama akina Mzee wa Upako, Moses Kolola na wote wanaojiita Mitume na wengine Manabii wasipojotekeza wakatusogeza karibu na matakwa ya Mungu hakika tutaangamia.
 
Hii Nchi inakoelekea ni kubaya; imani imekuwa finyu: kama akina Mzee wa Upako, Moses Kolola na wote wanaojiita Mitume na wengine Manabii wasipojotekeza wakatusogeza karibu na matakwa ya Mungu hakika tutaangamia.

Wewe usiwahusishe hao ulo wataja kwani nchi hii walio wengi wakimcha mungu na kuokoka basi nchi itasimama kwani bajeti yake integemea kodi kutakana na pombe na sigara sio mitandao ya mawasiliano wala migodi ya madini kwani humo kuna maslahi ya watawala hapaguswi.
 
Back
Top Bottom