Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,292
kwenye vijumba vya mapumziko mikadi ambako kila dk 5 mtu anakuja kusikilizia kama mnatoka na yeye aingie
teh teh ,wamasai wanawafaidigi nyie..kuwapga chabo
kwenye vijumba vya mapumziko mikadi ambako kila dk 5 mtu anakuja kusikilizia kama mnatoka na yeye aingie
Hapa namaanisha kufanya mapenzi ktk maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi,disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi,na je akili uwa zinafanya kaz kweli?sio kwamba nawatuhum wanaofanya hvyo lah!coz hata mi ni walewale.
Umenifanya nitabasamu.ikulu,kwenye ndege,kwenye banda la ng'ombe au stoo na watoto wote wapo home!madarasani wakati wa prepo!kiwanjani...kwa waliosoma mkwawa wanajua,ukipita uwanjani unakuta mafungu mafungu ya watu wawiliwawili waliogandiana!kwenye mashamba ya migomba na mikahawa!hospitalini na nesi au doctor!kwa kweli maeneo ni mengi!haya wataalam njooni mtuambie!
kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi,disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi,na je akili uwa zinafanya kaz kweli?sio kwamba nawatuhum wanaofanya hvyo lah!coz hata mi ni walewale.
Kwenye vichaka nako huwa noma. Tena tasmini inaonesha mimba nyingi hutokea sehemu hizo mnazotaja maana hakuna maandaliz
Nyum,bani kwa msichana au mvuulana anayekaa na kaka au dada yake.pia wapo watu jasiri kuliko simba hao huenda nyumbani kwa msichana au mvulana wake wakati wazee wameenda kazini au wamesafiri kikazi au likizo.
uwanja wa biafra na porini nliwahi piga kwenye kinjia cha water falls moja inaitwa kinamoriVibanda vya Beach(
Mikadi)...., vyoo vya mahoteli kwa kubinjuka( Mwanaume kuingia choo cha
kike na mwanamke wake,, then akashikishwa sink), siti ya nyuma ya gari,
baharini kina kifupi( HII HUWA TAMU ZAIDI)