Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,498
we kweli mkirua!anyway nimeshataja hapo juu!
Hahahaaa naona tuligongana....naongeza kwenye jengo ambalo halijamalizika....lol...
we kweli mkirua!anyway nimeshataja hapo juu!
Hapa namaanisha kufanya mapenzi ktk maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi,disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi,na je akili uwa zinafanya kaz kweli?sio kwamba nawatuhum wanaofanya hvyo lah!coz hata mi ni walewale.
Yananoga zaidi, kitandani kila siku si gadoro litatoboka.
jf taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaamu jaman....
Hapa namaanisha kufanya mapenzi ktk maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi,disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi,na je akili uwa zinafanya kaz kweli?sio kwamba nawatuhum wanaofanya hvyo lah!coz hata mi ni walewale.
Nyuma ya siti ya Bus? He?!! Au abiria hawapo?.. Ikulu?!! How embu fafanua!!
Hapa namaanisha kufanya mapenzi ktk maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi,yan kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia,na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi,disco,kwenye siti ya nyuma ya bus la public,vichochoroni nk,hivi wapendwa huwa ujasili unatoka wapi,na je akili uwa zinafanya kaz kweli?sio kwamba nawatuhum wanaofanya hvyo lah!coz hata mi ni walewale.
JF bwana!!! hadi raha. Sijui umewza nini! Na tena ukifanyia mapenzi sehemu kama hizi, tendo hili halisahauliki kirahisi!
mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeukitoka job tu, apo-apo mlangoni akikupokea unampa kitu chaukweli
network not covered........!!
ila kitu ndani ya nyumba ya ibada asikwambie Mtu.......