Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 490
- 532
Hapa namaanisha kufanya mapenzi ktk maeneo hatarishi na siyo mapenzi hatarishi, yaani kufanyia mapenzi maeneo ambayo hayakupi utulivu wa asilimia mia na maeneo hayo ni kama vile kufanyia mapenzi ofisini au choo cha ofisi, disco, kwenye siti ya nyuma ya bus la public, vichochoroni nk.
Hivi wapendwa huwa ujasiri unatoka wapi na je akili huwa zinafanya kazi kweli? Sio kwamba nawatuhumu wanaofanya hivyo lah! Coz hata mimi ni walewale.
Hivi wapendwa huwa ujasiri unatoka wapi na je akili huwa zinafanya kazi kweli? Sio kwamba nawatuhumu wanaofanya hivyo lah! Coz hata mimi ni walewale.