Polonium210
Member
- Nov 24, 2011
- 58
- 39
- Thread starter
- #41
modem ni muungano wa herufi za mwanzo toka katika maneno MOdulator na DEModulator. Modulation ni kitendo cha kubadili carieer signal kutokana na sifa fulani ya message signal(i.e frequency, amplitude,phase e.t.c). Na demodulation ni kitendo cha kurudisha message signal kama ilivokuwa hapo awali. Hivyo basi hii inamanisha kwamba modem ina uwezo wa kufanya modulation na demodulation. katika radio communication signal ni lazima iwe modulated katika transimetter na demodulated katika receiver. modulation imegawanyika katika nyanja kuu mbili i.e Digital modulation na Analog modulation. katika digital modulation kuna schemes kama vile FM, AM na PM. wakati katika digital modulation kuna schemes kama PSK, QPSK, MSK, FSK, ASK, GMSK e.t.c. Kwa hiyo basi ili hiyo unayoita analog tv iweze kamata digita transmitted signal ni lazima iwe na demodulator yenye uwezo wa kubadili digitaly modulated signal kwenda katika normal message signal. Ukipima hapo utatambua kwamba modem digital ndo inahitajika na si decoder kama ulivyodai wewe. hope nimeeleweka na unakaribishwa kwa swali lolote lihusulo radio waves propagation.
Asante sana kwa Maelezo yako Mkuu! Itabidi nianzishe Thread Mahsusi kwa Ajili ya Communications Technolgy ili vijana wetu wafaidike maana nimeshawahi Kum Interview kijana amegraduate Electronics Science and Communications nikamuuliza what is Modulation hajui, What is analogue signal hajui nikasema kweli tunakazi na nikahisi Umuhimu wa Kurejea Chuo Kipiga Msasa Vijana