Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

modem ni muungano wa herufi za mwanzo toka katika maneno MOdulator na DEModulator. Modulation ni kitendo cha kubadili carieer signal kutokana na sifa fulani ya message signal(i.e frequency, amplitude,phase e.t.c). Na demodulation ni kitendo cha kurudisha message signal kama ilivokuwa hapo awali. Hivyo basi hii inamanisha kwamba modem ina uwezo wa kufanya modulation na demodulation. katika radio communication signal ni lazima iwe modulated katika transimetter na demodulated katika receiver. modulation imegawanyika katika nyanja kuu mbili i.e Digital modulation na Analog modulation. katika digital modulation kuna schemes kama vile FM, AM na PM. wakati katika digital modulation kuna schemes kama PSK, QPSK, MSK, FSK, ASK, GMSK e.t.c. Kwa hiyo basi ili hiyo unayoita analog tv iweze kamata digita transmitted signal ni lazima iwe na demodulator yenye uwezo wa kubadili digitaly modulated signal kwenda katika normal message signal. Ukipima hapo utatambua kwamba modem digital ndo inahitajika na si decoder kama ulivyodai wewe. hope nimeeleweka na unakaribishwa kwa swali lolote lihusulo radio waves propagation.

Asante sana kwa Maelezo yako Mkuu! Itabidi nianzishe Thread Mahsusi kwa Ajili ya Communications Technolgy ili vijana wetu wafaidike maana nimeshawahi Kum Interview kijana amegraduate Electronics Science and Communications nikamuuliza what is Modulation hajui, What is analogue signal hajui nikasema kweli tunakazi na nikahisi Umuhimu wa Kurejea Chuo Kipiga Msasa Vijana
 
Polo hebu nieleweshe kidogo. Hapa Tanzania tunatumia mfumo gani kati ya DVB-T na DVB-T2?
 
Asante sana kwa Maelezo yako Mkuu! Itabidi nianzishe Thread Mahsusi kwa Ajili ya Communications Technolgy ili vijana wetu wafaidike maana nimeshawahi Kum Interview kijana amegraduate Electronics Science and Communications nikamuuliza what is Modulation hajui, What is analogue signal hajui nikasema kweli tunakazi na nikahisi Umuhimu wa Kurejea Chuo Kipiga Msasa Vijana

Usimshangae huyo kijana , ufundishaji wa huku ni mgumu sana , mambo ni mengi yamekua compressed sana kiasi cha mwanafunzi
kushindwa kupata hata some basic concept
 
Mkulu Polo

Nafikiri tunahitaji kueleza kwa usahihi tofauti ya Decoder(king'amuzi) na Modem

Suala la TV za Analog kufanya kazi katika mfumo mpya wa digital litawezekana kwa kutumia kifaa cha modem not decoder.

Modem(siyo hizi zinazotumika kupata net) ndiyo inayofanya conversion ya analog to digital and vise versa

I stand to be corrected
Ni analog to digital conveter A/D na sio MODEM mkuu
 
What is analog Tv ? Is it a proccessing capability or its display ability that defines its analog or digital nature ?
Je hizi za chogo (CRT)i tunazotumia ni analog TV ?
Kama ndiyo,mbona bado zinasapoti digital transmission from a decoder ?
 
Mkuu TV za chogo zote ni analog na kazi ya decoder ni kuconvert digital signal to analog signal ndo maana 2naweza kuona kupitia matangazo yanayorushwa na Star times(ambayo ni digital signal) kupitia TV ze2 za chogo.
 
Mi naomba kuuliza swali juu ya huduma ya cable.
Je mfumo huu wa digital ukianza rasmi biashara ya cable itakufa??
Na kama itakufa ni kwanin?
Na kama itaendelea kuwepo vitu vip vitaongezwa?
 
Naomba parameters za agape coz nackia ukiingiza parameter flan unaipata kupitia kingamuzi cha star times
 
Asante kwa ufafanuzi wako mkubwa. Naomba kuuliza swali zaidi,sasa hivi baada ta kusoma maelezo yako nikaenda kwenye TV yangu,ambayo natumia DSTV na pamoja na Easy TV decoder.

TV yangu ni Sony bravia na ina digital turner buit in.Nimejaribu kuconnet wire dirrect toka kwenye antena kwenda kwenye TV na kufanya digital search. ,imefanikiwa kupata list ya channels 49 ,zikiwa TBC,Clouds na nyingine. Tatizo nasiona ziko listed na hapo hapo inasema no signal hapo inakuiwaje?

Napia nikarudisha huo wire kwenda kwenye dvd recorde ambayo natumia kuangalia analogue channels na signals zipo . Je digital signals ni kwa maeneo machache tuu?

Antena nayotumia ni ya easy tv ,kwahiyo nadhani ni a digital antenna.
 
Wale wa burebure Intelsat 906 tar 20 ijumaa 1200 star tv wameahidi watahama parameter wawe strong zaidi, hahahaa twasubir ujio wao, duh jaman bongo shida sana..
 
Mkuu TV za chogo zote ni analog na kazi ya decoder ni kuconvert digital signal to analog signal ndo maana 2naweza kuona kupitia matangazo yanayorushwa na Star times(ambayo ni digital signal) kupitia TV ze2 za chogo.

decoder ina decode an encoded digital signal to a single output, na sio ku convert digital to analog signal ,
hizo ni process mbili tofauti
 
decoder ina decode an encoded digital signal to a single output, na sio ku convert digital to analog signal ,
hizo ni process mbili tofauti

mkuu utakuwa umereverse kama sijaenda kombo, kazi ya decoder ni kusplit channels zilizokuwa encrypted in to single transmission channel wakati wa kuzituma to many channels as its output. kwa maneno mengne unaweza sema decoder ni demultiplexer iliyowekewa decryption capability. Na faida ya huu mfumo wanaouita wa digital ni kwamba.
1. kunakuwa na noise immunity kubwa, so transmited signals zinapokelewa na receiver zikiwa clear with no noises.
2. Bandwidth inakuwa saved, hivo the saved bandwidth inaweza tumiwa kwa matumizi mengine.

kwa faida hizo kuu mbili, ndo maana inasisitizwa kutumika kwa digitat transmission.
 
Mi naomba kuuliza swali juu ya huduma ya cable.
Je mfumo huu wa digital ukianza rasmi biashara ya cable itakufa??
Na kama itakufa ni kwanin?
Na kama itaendelea kuwepo vitu vip vitaongezwa?
Hautakufa! Zanzibar cable wametoa vingamuzi (DVB-C) ambacho unaunganisha na cable yao. channel zimeongezeka na ziko clear zaidi.
 
Nashukur kwa kutuelimisha haswa hii ya .............NB. King'amuzi ni kifaa kinachotumika Kubadilisha Matangazo kutoka katika Mfumo wa Digitali kwenda kwenye Mfumo wa analojia ili yaweze kuonekana na TV ya analojia. Kwa Mtu mwenye TV ambayo ni IDTV hatahitaji king'amuzi maana kinakuwa tayari kimeshajengwa ndani.
 
Jaman naskitika tcra hakuna elim yeyote ilyotolewa kuhusu mfumo mzima wa digital, bado mienz 10 tu ...'kingine iweje tv za kibongo 2nalipia? Ni hayo 2 watu wangu
 
Mimi ninatumia DVB-S nikiwa na dish la fut 6.Nimefunga KU-na C Band lakini sipati Aljazeera.nimejaribu kutafuta al;jazeera kwenye KU nimekosa nimeambulia kupata K24,Famliy TV na KBC1.naitafuta sana aljazeera nimefanyeje.niko tz

hivi ni kwa nini?
 
Hapo ulipoweka Znashika ch 5 tu, ukiweka FR 11511 hor SR 4080 MIDA YA ASBH UTAPATA STAR TV ya DsM na ukisearch kwny hio Satelite ya Ku pas 7/10 (68.5 e) utapata UBSTV ya uganda.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom