King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,649
- 68,598
Weka namba yako basi tuje kuvinunua mkuu.
...ila jina lako linanikumbusha Dr.Mwakyembe
...ila jina lako linanikumbusha Dr.Mwakyembe
Asante sana mkuu kwa elimu yako nzuri uliyotupatia. Ila nadhani huyo mkuu hapo juu amekosea kwa sababu Startimes kama salio lako la limeisha bado utaendelea kupata channel zile za bure kama TBC na sivyo kama yeye alivyosema.
Asante kwa elimu kuu mkuu
Swali langu
- Kwanini hivi ving'amuzi hutumia antena baadhi ya maeneo??
- huku kwangu nilinunua king'amuzi cha startimes nikafanikiwa kuangalia siku mbili tu baada yapo hakitumiki tena wanasema antena imecheza, je ni fanyenini li kuondoa tatizo hili kwani hakifanyi kazi kwa sasa
Swali kwa polo. Ninayo sony integrated digital tv cha ajabu sipati hizo channel zisizo za kulipia kupitia mfumo wa digital(napata analogue transmission tu) tatizo nini? Pili naomba jina/specification ya kingangamuzi ulichonunua nairobi .
Nashukuru kwa ufafanuzi, ila bado sijaelewa vema, HIVI UKIWA NA UMEFUNGA UNGO KUNA HAJA TENA YA KUTUMIA KINGAMUZI BAADA YA KUINGIA KWENYE MFUMO HUO MPYA?
Mkuu Labda nipate Maoni yako juu ya
1. Nini Maana ya king'amuzi
2. Je Unamiliki King'amuzi?
3. je Ukisika Mtu anataja King'amuzi unapata picha gani?
4. kama unamiliki king'amuzi ni kwa ajili ya matumizi gani?
Ni kweli wanakata chanel zote kasoro tbc!By Polonium210
Mkuu Kama una kin'gamuzi cha Star Times halafu bili yako ya Mwezi ikiisha then huoni channel za Bure huo ni Uhuni na nadhani hapa wahusika TCRA inabidi walitazame hili ( Jamaa wako a bit slow). Kimsingi ukiwa na Kin'gamuzi chochote unapaswa kuona Channel zote za Bure hata kama Bill yajo imeisha.
Hiki changu kimetengezezwa na kampuni inayitwa Xunda Tech ya huko china cheki link hiyo hapo chini kwa specifications. If you have capita unaweza ukaagiza na ikakulipa sana maana nadhani Bongo bado havijaanza kuwa Masokoni
DVB-T MPEG4 HD - China Dvb-T,Dvb Receiver,Dvb in Radio & TV Broadcasting
Mkubwa Young_Master kama ndiyo hivi kwa king`amuzi chako cha Star time basi inawezekana changu kinamtatizo...kwa king`amuzi changu mimi ambacho nimeshaacha hata na kulipia kwa kuona ni wizi mtupu....salio langu la mwezi likiisha tu...inabakia TBC1 peke yake tena kwa mbinde...No Chanel Ten wala Mlimani TV hii ndiyo hali halisi kwangu mkubwa
Mmh, hata mimi nisiye mtaalam nahisi kuwa umechemka - ( Encoder mbadala ni Decoder). Modem tena?Mkulu Polo
Nafikiri tunahitaji kueleza kwa usahihi tofauti ya Decoder(king'amuzi) na Modem
Suala la TV za Analog kufanya kazi katika mfumo mpya wa digital litawezekana kwa kutumia kifaa cha modem not decoder.
Modem(siyo hizi zinazotumika kupata net) ndiyo inayofanya conversion ya analog to digital and vise versa
I stand to be corrected
Mkulu Polo
Nafikiri tunahitaji kueleza kwa usahihi tofauti ya Decoder(king'amuzi) na Modem
Suala la TV za Analog kufanya kazi katika mfumo mpya wa digital litawezekana kwa kutumia kifaa cha modem not decoder.
Modem(siyo hizi zinazotumika kupata net) ndiyo inayofanya conversion ya analog to digital and vise versa
I stand to be corrected
Mkuu ni Decoder kwa Sababu kabla ya Signal kuwa Transmitted zinakuwa Digitally encoded ( hii ina maana kwamba Kwenye Transmitter kunakuwa na Encoder) so in order to view the information inatakiwa kitu cha Ku decode kitu hicho huitwa decoder
Mmh, hata mimi nisiye mtaalam nahisi kuwa umechemka - ( Encoder mbadala ni Decoder). Modem tena?
Mkulu
Usijibu haraka sana, naomba utafiti hili