Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,377
- 725
Shaka nae anamakando kando gani?1 - Plan Ni nzuri sana
2 - Shaka H Shaka na Makonda hawafai kwani tayari Wana makundi na makando kando meusi lukuki
3 - Mama kazungukwa na watu ambao si watu wake kama anavyoamini
4 - Iwe iwavyo Mama akitaka utulivu basi katibu mkuu Ni lazima atoke nje ya kambi hizo mbili za CCM kama alivyofanya mwendazake