Kuelekea kumpata Katibu mkuu mpya wa CCM na kama Rais Samia bado anandoto za kuendelea kuwa Rais basi afanye hiki alichofanya Hayati Rais Magufuli

1 - Plan Ni nzuri sana
2 - Shaka H Shaka na Makonda hawafai kwani tayari Wana makundi na makando kando meusi lukuki
3 - Mama kazungukwa na watu ambao si watu wake kama anavyoamini
4 - Iwe iwavyo Mama akitaka utulivu basi katibu mkuu Ni lazima atoke nje ya kambi hizo mbili za CCM kama alivyofanya mwendazake
Shaka nae anamakando kando gani?
 
Jf stori hii ni kwaufupi sana,

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Hayati Rais Magufuli ilimbidi kutafuta mtu loyal kwake atakayeweza kufumba macho, roho na masikio ili kuchapisha fomu moja tu kwenye nafasi ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi ili kuzima makundi na kukiunganisha Chama kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Hata hivyo, Sote tunakumbuka baada ya hilo kufanyika wale wote walioutaka Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi mwaka 2020 waligonga mwamba kikwazo kikubwa kikiwa ni ujio wa Katibu Mkuu huyo mpya kwani alifanya "kweli" pamoja na kelele nyingi fomu ilikuwa ni moja tu ya Mzee John Pombe Magufuli,

Leo, Kama kweli Rais Samia anataka kuendelea kuwa mgombea Urais pekee kupitia Chama Cha Mapinduzi kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 basi nafasi ya Katibu mkuu wa CCM Tanzania apewe Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae ni mkuu wa Wilaya kama ilivyokuwa kwa Katibu Mkuu mstaafu Ndg Daniel Chongolo.

Nakama itampendeza Mhe Rais baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2024 & 25 kumalizika salama nafasi hii anaweza kupewa mtu mwingine na Mhe Shaka Hamdu Shaka pamoja na Ndg Paul Makonda wakarudi Serikalini kwani ni watendaji wazuri.

Lazima pia tufahamu, kwa aina ya haya makundi yanayojijenga Kila siku ndani ya chama ni Rai yangu Rais Samia asijipe 100% kuwa ni Yeye mgombea pekee wa Urais ndani ya CCM cause anything might happen,

Hata hivyo, Uteuzi wa Mhe Shaka Hamdu Shaka utakuwa na tija zaidi kiutendaji kwani kwa Chemistry hii baina yake na Ndg Paul Makonda vinaweza kufanya vizuri zaidi katika Siasa hizi za hoja na kuwapoteza kabisa Wapinzani wetu kisiasa na kukiletea Chama ushindi wa kishindo katika chaguzi zote za usoni.

Naandika haya nikiwa nafahamu mipango kadhaa ya wasaka Urais kuelekea mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwani they are unstoppable ila kwa mbinu hii tu ambayo nayo haikwepeki.

Nakama Rais Samia atafanya hili, lazima kelele zitakuwa nyingi hasa huko kwenye vikao vya wakubwa tena kwenye ngazi zote kwani watafahamu fika kwa jina hilo la Katibu Mkuu kwao huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa ndoto zao za Urais kwa mwaka 2025,

Baada ya hayo, niimani yangu Umoja na amani vitatawala ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi huku Chama kikisalia kuwa kimoja tofauti na ilivyokuwa mwaka 2015.

Nimuhimu pia kukumbuka Hayati Rais Magufuli hakumwamini mtu yoyote ndani ya CCM ndio sababu akamleta Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kutoka chama cha Wananchi CUF kwani Kila mwanasiasa unayemwona Leo ndani ya CCM tayari anakundi lake hata kabla ya Ujio wa Rais Samia kwenye siasa hizi za Urais na makundi ya Urais,

Hapa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anaweza kuchukua msamiati maarufu wa kiswahili unaosema " Zimwi linalokufahamu kamwe halikuli likakumaliza "

"Mama Samia fanya hili utakuja kunishukuru sana baada ya 2025"
Nimemwambia mwenyekiti kwenye insta yake anipendekeze mimi kwenye hiyo nafasi!
 
Mkuu usimuwekee mheshimiwa Rais Samia uoga wako na wa Magufuli. Pia usimchafue Magufuli kwa kuonyesha kuwa hakuwa shujaa kama anavyosifiwa.

Kuwa alikuwa dhaifu na muoga kiasi cha kuamuru awe pekee yake kwenye kinyang'anyiro 2020! Ule ulikuwa wendawazimu! Haupaswi kuigwa!

Mkuu CCM ina utamaduni wa kumuachia Rais aliyepo kumalizia awamu yake ya pili!

Kuna mtu yeyote mpaka sasa hivi kajitokeza? Na kama akijitokeza mtu kuna ubaya?

Usitishe watu! Tishika mwenyewe!
Ulivyoandika uozo na jinsi usivyo na taarifa mpaka unakera.
 
Samia anaonekana mjinga fulani lakini ni mjanja sana,naona vile anavyowapoteza wapinzani kijanja,hata ndani ya CCM atawapoteza kisomi,fomu haitakuwa moja zzitakuwa nyingi lakini hmna atakayepenya
 
Jf stori hii ni kwaufupi sana,

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Hayati Rais Magufuli ilimbidi kutafuta mtu loyal kwake atakayeweza kufumba macho, roho na masikio ili kuchapisha fomu moja tu kwenye nafasi ya Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi ili kuzima makundi na kukiunganisha Chama kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.

Hata hivyo, Sote tunakumbuka baada ya hilo kufanyika wale wote walioutaka Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi mwaka 2020 waligonga mwamba kikwazo kikubwa kikiwa ni ujio wa Katibu Mkuu huyo mpya kwani alifanya "kweli" pamoja na kelele nyingi fomu ilikuwa ni moja tu ya Mzee John Pombe Magufuli,

Leo, Kama kweli Rais Samia anataka kuendelea kuwa mgombea Urais pekee kupitia Chama Cha Mapinduzi kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 basi nafasi ya Katibu mkuu wa CCM Tanzania apewe Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae ni mkuu wa Wilaya kama ilivyokuwa kwa Katibu Mkuu mstaafu Ndg Daniel Chongolo.

Nakama itampendeza Mhe Rais baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2024 & 25 kumalizika salama nafasi hii anaweza kupewa mtu mwingine na Mhe Shaka Hamdu Shaka pamoja na Ndg Paul Makonda wakarudi Serikalini kwani ni watendaji wazuri.

Lazima pia tufahamu, kwa aina ya haya makundi yanayojijenga Kila siku ndani ya chama ni Rai yangu Rais Samia asijipe 100% kuwa ni Yeye mgombea pekee wa Urais ndani ya CCM cause anything might happen,

Hata hivyo, Uteuzi wa Mhe Shaka Hamdu Shaka utakuwa na tija zaidi kiutendaji kwani kwa Chemistry hii baina yake na Ndg Paul Makonda vinaweza kufanya vizuri zaidi katika Siasa hizi za hoja na kuwapoteza kabisa Wapinzani wetu kisiasa na kukiletea Chama ushindi wa kishindo katika chaguzi zote za usoni.

Naandika haya nikiwa nafahamu mipango kadhaa ya wasaka Urais kuelekea mwaka wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwani they are unstoppable ila kwa mbinu hii tu ambayo nayo haikwepeki.

Nakama Rais Samia atafanya hili, lazima kelele zitakuwa nyingi hasa huko kwenye vikao vya wakubwa tena kwenye ngazi zote kwani watafahamu fika kwa jina hilo la Katibu Mkuu kwao huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa ndoto zao za Urais kwa mwaka 2025,

Baada ya hayo, niimani yangu Umoja na amani vitatawala ndani na nje ya chama Cha Mapinduzi huku Chama kikisalia kuwa kimoja tofauti na ilivyokuwa mwaka 2015.

Nimuhimu pia kukumbuka Hayati Rais Magufuli hakumwamini mtu yoyote ndani ya CCM ndio sababu akamleta Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kutoka chama cha Wananchi CUF kwani Kila mwanasiasa unayemwona Leo ndani ya CCM tayari anakundi lake hata kabla ya Ujio wa Rais Samia kwenye siasa hizi za Urais na makundi ya Urais,

Hapa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anaweza kuchukua msamiati maarufu wa kiswahili unaosema " Zimwi linalokufahamu kamwe halikuli likakumaliza "

"Mama Samia fanya hili utakuja kunishukuru sana baada ya 2025"
Tunaweza kukubali kuwa CCM inawatu wengi na wenye uwezo mkubwa ila huyu kijana Shaka anasifa nyingi za ziada ikiwemo Utulivu na kutokukurupuka
 
Haijawahi kutokea kwa Sitting president hapa TZ eti Mwanasiasa mashuhuri tena wa kutoka Chamani kwetu ashupaze shingo kushindana na Mwenyekiti !!
Never Ever !
Labda wale ambao they have nothing to lose !!
Ambao wanatafuta kutangaza jina tu !!
The Sitting Head of State na Mwenyekiti wa Chama Tawala ni habari nyingine kabisa katika Nchi hii !! Wasijidanganye na wakumbuke kuwa URais ni Taasisi sio mtu mmoja binafsi !!!
 
CHAMA CHA MAPINDUZI KINAAMINI KATIKA DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA NA NJE YA CHAMA HIVYO BASI KILE AMBACHO CHAMA KITAONA KINAFAA ILI KULETA TASWIRA NZURI NDANI NA NJE YA CHAMA KITAFANYIKA; HIVYO ASIPIGIWE MTU PROPAGANDA ZA KUPEWA NAFASI NDANI YA CHAMA KINYUME NA UTARATIBU WA CCM: MIMI NAAMINI KAMA KILA MWANA CCM ANAAMINI KUWA RAISI ANAYETOKANA NA CHAMA CHETU AMEFANYA VIZURI ZAIDI HAITOKUWA NA HAJA YA KUTAFUTA MZURI MWINGINE WAKATI AMBAYE TUNA UHAKIKA NAYE KUWA ANAFANYA VIZURI YUPO:
 
Onyo zuri sana hili
 
Nadhani hayo ni maoni tu binafsi ya mwandishi
 
Back
Top Bottom