Kuchungulia watu wakifanya mapenzi

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
24
WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.

Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.

Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Si kweli kuwa ni uoga wa kutongoza, ni tabia ya mtu mwenyewe na huenda pia ni tatizo la kisaikolojia. Na wengine hawawezi kabisa kufanya mapenzi na wapenzi wao hadi wapige chabo kwanza.
 
Wanaitwa kozimen. hata Uingereza wapo wengine wanawategeshea hidden camera wake zao mpaka bafuni, hili amsanifu anavyooga uchi bafuni.
 
Nakumbuka kuna tukio moja habari yake nililipata mtandaoni, kulikuwa na kigorofa, mwenye gorofa aliweka hidden camera katika vyumba ambavyo kawapangisha wapangaji wake, yeye(mwenye nyumba) kwake ni chini kule ground floor! kila wapangaji wakifanya mapenzi mwenye anapiga chabo kupitia kwenye screen na kulikuwa na screen kibao, kila screen kimeunganishwa na camera ya kila chumba.

Siku moja, mpangaji na mpenziwe ktk harakati za kutafuna raha zao, mwanamke aliliona camera dalini juu akiwa katika mkao wa 'Kifo cha Mende' akamshtua bwana wake kaona hidden camera dalini mechi ikakatika, yule bwana akaifuata camera dalini na kuichomoa kwa nguvu kumbe kulikuwa na waya uliounganishwa moja kwa moja hadi kwa mwenye nyumba.

Mwenye nyumba kuona screen moja imechomolewa cable hapo akatafuta upenyo wa kukimbia, bahati mbaya au nzuri kulikuwa na wapangaji wengine nje ya ghorofa nao walishtushwa na ile hamaki ya mwenye nyumba wao, baadae ndo wakatokea hao wapenzi waliokatishwa mechi na kueleza kilichowashtua na wapangaji kusikia hivyo nao wakasachi kama hidden camera kama mavyumbani mwao.

Bahati nzuri wakazikuta hidden camera, ndipo wakapiga simu polisi na kufanya ukaguzi wakagundua ni kweli mwenye nyumba aliwapiga chabo wapangaji wanaofanya mapenzi.

Hii stori sikumbuki vizuri source niliipata siku nyingi sana ila picha nzima naikumbuka vizuri, ilitokea Uingereza miaka ya nyuma.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ameathirika kisaikolojia huyo,yaani wenzako wanakura raha we unapiga chabo utadhani mko shule,ule utundu wa wavulana chuoni
 
Matatizo makubwa sana ya kisaikolojia hayo. Akili ya binadamu huwa inapokea na kufanyia kazi kile ambacho unakilisha!
 
Si kweli kuwa ni uoga wa kutongoza, ni tabia ya mtu mwenyewe na huenda pia ni tatizo la kisaikolojia. Na wengine hawawezi kabisa kufanya mapenzi na wapenzi wao hadi wapige chabo kwanza.
Chabo huko dirishani wanacheki mechi ya wenzao, eti wanavuta stimu ikipanda wacheze yao-Afande sele.
 
WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.

Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.

Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.

Wanafahamika kama makozimeni
Wengine wanachungulia ili kupata maufundi mapya
 
...wagonjwa wa akili, ni sawa na wale wanaogandishia kwenye 'daladala!'
 
<font size="3"><span style="font-family: book antiqua"><font color="#b22222"><br />
...wagonjwa wa akili, ni sawa na wale <b><u>wanaogandishia</u></b> kwenye 'daladala!'</font></span></font>
<br />
<br />
Heeee kumbe na wewe ushawahi kupiga 'CHABO' huko kwenye daladala? u made ma day Mbu! Kweli wewe Mbu haswa yaani hahahahaa!
 
huyo mtu tayar amesha athirika kisaikolojia na chabo anahitaji huduma ya ushaur
 
Wala si kuogopa kutongoza huyo kesha athirika kisaikolojia. Zile picha za 'x' alizokuwa akiangalia ndo zilizomuaffect hadi kujenga hiyo tabia alonayo. Mpaka apate ushauri ndo anaweza kuacha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom