Kuchungulia watu wakifanya mapenzi

Du mm ukozmeni ndo ulionifundisha staili nyingi bila hivyo hawa kinadada wangeshanikimbia, ww unang'ang'ania stailio ya kifo cha mende tu!!
Huku uswahilini kuna mambo, watu wanafungulia taarabu huelewi, wanakula bata humuoni bata,wanapiga simu tigo ww una voda tu.
 
Watu wengi wanafanya hii kitu ya kuchungulia watu. Hata watu katika miji ya maghorofa marefu kama vile New York hununua binoculars zenye nguvu kubwa na tena za bei mbaya kwa minajili ya kuchungulia wenzao wanaoishi maghorofani au wale wanaofikia mahotelini ambayo yapo jirani na sehemu zao wanazoishi ambao hufanya mapenzi huko maghorofani bila ya kufunga pazia

Nilipoliona hili kwa mara ya kwanza likizungumziwa katika kipindi kimoja cha TV na wahusika (wachunguliaji) wakikubali kwamba wanafanya shughuli hii nilishangaa sana.
 
Nakumbuka kuna tukio moja habari yake nililipata mtandaoni, kulikuwa na kigorofa, mwenye gorofa aliweka hidden camera katika vyumba ambavyo kawapangisha wapangaji wake, yeye(mwenye nyumba) kwake ni chini kule ground floor! kila wapangaji wakifanya mapenzi mwenye anapiga chabo kupitia kwenye screen na kulikuwa na screen kibao, kila screen kimeunganishwa na camera ya kila chumba.

Siku moja, mpangaji na mpenziwe ktk harakati za kutafuna raha zao, mwanamke aliliona camera dalini juu akiwa katika mkao wa 'Kifo cha Mende' akamshtua bwana wake kaona hidden camera dalini mechi ikakatika, yule bwana akaifuata camera dalini na kuichomoa kwa nguvu kumbe kulikuwa na waya uliounganishwa moja kwa moja hadi kwa mwenye nyumba.

Mwenye nyumba kuona screen moja imechomolewa cable hapo akatafuta upenyo wa kukimbia, bahati mbaya au nzuri kulikuwa na wapangaji wengine nje ya ghorofa nao walishtushwa na ile hamaki ya mwenye nyumba wao, baadae ndo wakatokea hao wapenzi waliokatishwa mechi na kueleza kilichowashtua na wapangaji kusikia hivyo nao wakasachi kama hidden camera kama mavyumbani mwao.

Bahati nzuri wakazikuta hidden camera, ndipo wakapiga simu polisi na kufanya ukaguzi wakagundua ni kweli mwenye nyumba aliwapiga chabo wapangaji wanaofanya mapenzi.

Hii stori sikumbuki vizuri source niliipata siku nyingi sana ila picha nzima naikumbuka vizuri, ilitokea Uingereza miaka ya nyuma.

Hata katika baadhi ya mahotel makubwa katika majiji mengi duniani kuna mchezo huu wa kutegesha hidden camera vyumbani unaofanywa na wafanyakazi waovu. Inabidi unapoingia chumbani hata katika mahotel makubwa ufanye search ya nguvu chumbani kuhakikisha chumba kiko salama vinginevyo wanaweza kukuchora na hata mkanda wako kuwekwa mtandaoni.
 
Kula chabo ni matatizo ya kisaikolojia,ukizoea hata mkeo utamla kozi.

mkuu nimekaa mbeya miaka ya nyuma sana
nina marafiki zangu walikuwa wanapiga chabo na mimi nikaungana nao
unajua mbeya vigest bubu kibao
ee bwana ee nilikuwa naona raha kinoma halafu watu kibao waliokuwa wanaingia guest ni watu ninaowajua
kesho yake mnamwona jamaa au mwanamke poa tu
lakini nimeacha kwa kuwa nilipoamia hamna mambo hayo
sio mchezo mzuri wakuu
 
manzese kuna gesti zina vitundu maalum
na wafanyakazi wa gesti wanawalipisha watu pesa kuchungulia kwenye vitundu hivyo

mimi zamani sana nilichukua msichana
ilikuwa ndo my first time
sijasahau mpaka leo nilipogindua tunachunguliwa....lol
 
unajua mazoea hujenga tabia sasa hyo jamaa amezoea chabo na imeshakuwa tabia yake kwa hyo kubadilika itakuwa ngumu lkn ajitahidi kubadilika.
 
hodi, salam kwa wanaqjf. huyu jamaa na wengine wanaochabolize maranyingi huathirika sana na masterbation. ni tatizo la kisaikolojiajia. haiwezekani mtu mzima kabisaaaa achungulie tu mechi tamu hasaaa na kwenda kuifikiria akiwa amelala kitandani peke yake. Mh kamashaka hapaaa!
 
Mimi kama miaka 3 iliyopita niliwahi kusikia habari katika BBC kuhusiana na jambo kama hilo. Nilishangaa sana kusikia kuwa wanaume huko Kenya wanachungulia watu wanaofanya ngono. Tatizo lililoelezwa wakati ule ni la kisaikolojia kwani wanaume walifanya hivyo kwa lengo la kuamsha nyege ili waweze kusex na wake(au wapenzi) zao. Hii ilitokana na kwamba hawana hisia za kimapenzi ili kuweza kusex na wenzi wao. Kilichonishtua zaidi ni kwamba baadhi ya wanaume hawakuweza kabisa kuamsha ashiki kwa kuchungulia majirani zao wakiwa wanapeana maraha hivyo wakatafuta ufumbuzi mwingine wa kutisha! Walialika mwanaume ambaye yuko fit kwa makubaliano na wake yao, huyo mwanaume alikuja na kusex na mke wakati huo mume akiwa ameketi pembeni akishudia mechi hiyo lengo likiwa ni kutaka kuamsha nyege zake! Ni hatari kwelikweli!
 
Kula chabo sometimes ni tabia ya mtu na haiwez kutibika na wengine hata wakiwa wakubwa na wake na watoto bado hawawez kuacha.

Zingatia;asilimia kubwa ya walakozi ni watu waliokulia uswahilini.kwan huanza kwa kuchungulia watu wakiwa wanaoga.

Inakera sn pale ukiwa unapiga mambo yako then unagundua kuna anekula chabo.
 
tehe kuna jamaa alikuwa mpiga chabo mkuubwa. siku alienda kupiga chabo kumbe mkewe bana alikuwa anatafunwa jamaa akaamua acheki kwanza, jamaa kapiga voda wee km viwili baadye jamaa akageukia tigo aaahh jamaa uvumilivu ukamwisha akapiga kelele aargh acha wewe mie sijawahi tumia huko tafadhali achaa ikawa soo jamaa akakamatwa anapiga chabo
 
Mimi kama miaka 3 iliyopita niliwahi kusikia habari katika BBC kuhusiana na jambo kama hilo. Nilishangaa sana kusikia kuwa wanaume huko Kenya wanachungulia watu wanaofanya ngono. Tatizo lililoelezwa wakati ule ni la kisaikolojia kwani wanaume walifanya hivyo kwa lengo la kuamsha nyege ili waweze kusex na wake(au wapenzi) zao. Hii ilitokana na kwamba hawana hisia za kimapenzi ili kuweza kusex na wenzi wao. Kilichonishtua zaidi ni kwamba baadhi ya wanaume hawakuweza kabisa kuamsha ashiki kwa kuchungulia majirani zao wakiwa wanapeana maraha hivyo wakatafuta ufumbuzi mwingine wa kutisha! Walialika mwanaume ambaye yuko fit kwa makubaliano na wake yao, huyo mwanaume alikuja na kusex na mke wakati huo mume akiwa ameketi pembeni akishudia mechi hiyo lengo likiwa ni kutaka kuamsha nyege zake! Ni hatari kwelikweli!

Hayo ndio yanayofanywa na Wazungu wengi sasa hivi na mara nyingi hutaka wanaume weusi na waume hukaa pembeni kuangalia mechi kali ikiendelea halafu hutoka hapo na kuhadithia marafiki na wakati mwingine kuandika hata mtandaoni na kuweka mapicha/video huku wakisifia...I haven't seen anything beautiful like that in my life...unabaki unashangaa tu hawa wenzetu....mwanaume anamnanihii mkeo halafu wewe unasifia tena kwa kupiga mapicha au kurekodi!!! Kazi Kweli kweli!!
 
HILO NI KOSA LA JINAI KAMA LILIVYO KWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA. KUMCHUNGULIA MTU AKIFANYA MAPENZI SI KITU kizuri. Marekani hilo ni kosa kubwa sana na unaweza kuchukua hata miaka 15 na kulipa faini kali kwa kosa hilo. In american English huo mchezo wa kuchungulia watu unaitwa Pimpeengtom. Kama jamaa hajui kumuaproach mwanamke , basi hicho ni kilema kwake.
 
Anakosea kuapiza huyo, hamna cha saikolojia wala nini, wamsaidie kuacha madawa ataacha na hako kamchezo
 
Kwa wanamume kukaa pembeni huku mke wake akilala na mwanaume mwingine, hayo ni madhala ya wapendanao kutumia sana madawa ya kulevya. Kuna madawa ya kulevya yaitwayo Meths. Haya hukaa mwilini wiki moja yakikupa nishai na kujiona wewe una mabilions, na kuona manjozi njozi ya kulala na wanawake waonekanao katika TV, Cinema, njiani, NK. Madhala yake ndio hayo kuzidisha hamu za sex mara kumi ulivyoumbiwa. Kwa mwananmke huwa na ashiki saaanah saanah, kwa mwananume ikisimama hailali na kila ikilala inasima ma kila baada ya dakika 25. Matokeo yake unamlala mkeo au mpenzi wako mpaka unaishiwa hamu nae. Ndio maana unataka kuona hamu yake inamalizwa na muanaume mwingine. Kwa mwanamke aliathilika kimapenzi na utumiaji wa meths, hutaka sana alale na zaidi ya wanaume wanne kwa mpigo. Ndio maana hizi aina za sex huitwa kinky sex. Si kweli watu wenye akili timamu na busara ya Ndoa akakurupuka na kutaka mke wake alale na mtu mwenginewe wakati yeye an-piga chabo.
 
manzese kuna gesti zina vitundu maalum
na wafanyakazi wa gesti wanawalipisha watu pesa kuchungulia kwenye vitundu hivyo

mimi zamani sana nilichukua msichana
ilikuwa ndo my first time
sijasahau mpaka leo nilipogindua tunachunguliwa....lol

Sikuhizi manzese kuna vigesti vya gorofa chukua chumba cha juu ndio dawa yao
 
Hata katika baadhi ya mahotel makubwa katika majiji mengi duniani kuna mchezo huu wa kutegesha hidden camera vyumbani unaofanywa na wafanyakazi waovu. Inabidi unapoingia chumbani hata katika mahotel makubwa ufanye search ya nguvu chumbani kuhakikisha chumba kiko salama vinginevyo wanaweza kukuchora na hata mkanda wako kuwekwa mtandaoni.

BAK, kweli kabisa! mimi huwa nafanya hiyo brief inspection hasa kwenye hotel kubwa CCTV zinatakiwa kuwa milangoni tu kwa ajili ya privacy na security, lakini kunaakina muddochi
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom