Kuchungulia watu wakifanya mapenzi

Watu wengi wanafanya hii kitu ya kuchungulia watu. Hata watu katika miji ya maghorofa marefu kama vile New York hununua binoculars zenye nguvu kubwa na tena za bei mbaya kwa minajili ya kuchungulia wenzao wanaoishi maghorofani au wale wanaofikia mahotelini ambayo yapo jirani na sehemu zao wanazoishi ambao hufanya mapenzi huko maghorofani bila ya kufunga panzia

Nilipoliona hili kwa mara ya kwanza likizungumziwa katika kipindi kimoja cha TV na wahusika (wachunguliaji) wakikubali kwamba wanafanya shughuli hii nilishangaa sana.
hahahahahahahhah umenikumbusha mbali sana...nshachunguliwa sana tu na kizee kimoja mpaka nastukia nahisi mwaka na zaidi ulipita!

• Thanks
Reactions: BAK
hahahahahahahhah umenikumbusha mbali sana...nshachunguliwa sana tu na kizee kimoja mpaka nastukia nahisi mwaka na zaidi ulipita!

Kama hutajali hebu tuwekee yaliyojiri labda tunaweza kujifunza mawili matatu kuepukana na hali kama hii. Halafu niliwahi kusoma kuna wengine wanapenda kuchunguliwa eti ni big turn on kwao!!! Kuna dada nilimsoma mtandaoni (mtu mweusi) kwamba alikuwa na ugomvi mkubwa na mumewe wa kufanya tendo la ndoa. Dada anapenda waende kwenye parks ama wawe ndani ya gari au nje na mume hataki kabisa hilo yaani yule dada alidai kwamba ndoa yao ilikuwa juu ya mawe katika kutokana na tofauti zao. Wako wengi wanaopenda kuchunguliwa kama huyu dada, unajua mtandao umetuwezesha kuyajua mengi ambayo miaka michache iliyopita yalikuwa hayajulikani. Ni mambo ya ajabu sana.

huyo dada alikuwa na kichaa chake maana vichaa viko vya aina nyingi...yaani hiki kizee kilikuwa cha ajabu usipime maana bwanangu ndo alikishtukia wa kwanza akawa anakilia mingo,akagundua kilikuwa kimejipa kazi ya ziada na hivyo kilikuwa pensionär kazi ikawa moja!

Co issue mzazi kama ni kuvutia hisia bora utafute wako ukale live kwn kuchabo starehe za watu unajiongezea nyege bure na mara nyng wa2 hawa huwa hawana kwa kupoozea,kuna m1 alikuwa akichungulia kwny katundu kumbe walivomctukia ndani wakamtia spoku ya jicho,nomaaa!!!

Hilo ni tatizoi la kisaikolojia liawakumba sana wapiga punyeto kwakuwa lengo baada ya chabo ni punyeto pia huwakumba wale ambao wanaangalia sana porn kupelekea msukumo wa matamanio ya kuona live ndo mana huchungulia ni brain tu inamtuma mtu ku fulfil sexual desires!

Enzi nasoma O-level huko Shinyanga nilikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye ni mlemavu wa miguu, hivyo alikuwa anatembelea baiskeli maalum.Bwana yule alikuwa na hiyo hopi ya kupiga Chabo, ilikuwa ni lazima kwake kila siku ajipitishe kwenye madirisha ya vyumba vya watu au ktk gesti kutimiza hopi hiyo,alikuwa akisogeza baiskeli yake karibu na dilisha na kuchungulia kwa kupanda juu ya baiskeli yake ili mradi asikie japo miguno ya mahaba asipofanya hivyo kwa siku halali wala book haliendi.Siku moja bahati mbaya aliteleza kwenye baiskeli yake akaanguka wakati wa chabo,jamaa likatoka na kumpa kisago ile mbaya.Huo ukawa ndo mwisho wake.

WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.

Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.

Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.
Umenikumbusha wakati nilipokuwa teenage, home ghetto langu lilikuwa uani mshikaji wangu alikuja kuniomba room nilimkubalia kwa sharti la kumpiga chabo akakubali. lakini huo ulikua utoto nimeshaacha.

kupenda kuangalia wengine ktk tendo la ndoa, ni tatizo endapo limejirudia kwa kipindi cha miezi sita au zaidi mfululizo. Mtu anakua na hamu au hisia za na anapata raha kama anavyokua akifanya mapenzi kwa kuangalia wengine wakiwa katika tendo hilo au wakiwa uchi. Kisaikolojia hili ni tatizo lililopo katika kundi la matatizo ya kijinsia linaloitwa paraphilia na tatizo lenyewe specifically linaitwa Voyeurism. Mtu mwenye tatizo hili anaweza kusaidiwa akapona endapo tu yeye mwenyewe amegundua kua ni tatizo na angependa kuacha. Professional Psychologist au psychiatric anaweza kumsaidia mtu kuelewa tatizo lake vizuri na ndo mtu anayeweza kumsaidia kwa bihaviral therapy specifically impulse contol…kuondokana na tatizo hilo.
Kuhusu drugs / madawa ya kulevya, group of alcoholics na rehabs zinasaidia kumaliza matatizo ya madawa, pombe na sigara…. Kwa msaada wa matatizo kama haya, ya ndoa, magonjwa ya akili namatatizo yote ya kisaikolojia, wewe, ndugu jamaa au rafiki yako anaweza fika ofisini kwetu na kuonana na professional psychologists and psychotherapy na kupata msaada. Contact…0653334383

hahahaa, jamani wanataka kujifunza jinsi ya kutumia laini mbili wakati wa majambozi...

WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.

Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.

Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.

Mambo vp kaka MHACHE kupiga chabo ni ugonjwa unazidi malaria.sanasana ugonjwa huu hupatikana kwenye mikoa ya pwani kama ulivyo sema mombasa nk.kwa hapa TZ MAFIA umekithiri pemba mtu anatembea na stool kwa ajili ya chabo tu,mwingine antoroka mkewe ndani anaenda kupiga chabo ilitokea mwaka 2005 MAFIA jamaa mmoja alimroroka mkewe akaenda kupiga chabo mke ameamka mume hayupo bahati mbaya akakamatwa Guest anapiga chabo.bonge la nomz.

Huyo lazima atakuja kuwa dunga dunga
siku za usoni...

WanaJF nadhani mpo salama kiakili, kiafya na mnaendelea vema kuchapa kazi ili kuliendesha gurudumu la maendeleo ili nchi yetu iweze kuendelea, japo kuna vikwazo lukuki kama RUSHWA, mikwaruzano bungeni na kadhalika.

Niaomba kupata michango yenu. Leo asubuhii hii nilisikiliza radio BBC na kukutana na kisa hiki. Kuna kijana mmoja anaishi Mombasa, Kenya. Ni mtumiaji wa Mirungi, Bangi na Madawa ya kulevya. Historia yake ni kuwa alianza kwa kuangalia movies za X, baadae ndipo alipoingia kwenye madawa ya kulevya. Tatizo la huyu kijana ni mara atumiapo madawa ya kulevya huwa na hamu ya kuchungulia watu wakifanya mapenzi. Kutokana na maelezo yake huwa na uwezo wa kuchungulia watu (in pairs) watatu hadi watano kwa siku. idadi ya pairs hupungua iwapo ataona pair imemfurahisha huchukua muda mrefu kuwachungulia.

Swali: Je hiyo ni adhari ya kisaikolojia au sababu ni zipi? Yeye alisema ni woga wa kutongoza. Je hilo ni jibu sahihi au yapo mengine.

Umenikumbusha wakati nilipokuwa teenage, home ghetto langu lilikuwa uani mshikaji wangu alikuja kuniomba room nilimkubalia kwa sharti la kumpiga chabo akakubali. lakini huo ulikua utoto nimeshaacha.

Duu...hayo ndio yalikuwa masharti ya kumpangisha chumba..??

Similar Discussions

Back
Top Bottom