Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
kujuana hiyo siyo sababu sema lingine. Ona ambayo mwafrika wa kike ambayo amekoti mwanakijiji
Kwi kwi kwi,
OMG, I love jamboforums. It gets better by seconds!
kujuana hiyo siyo sababu sema lingine. Ona ambayo mwafrika wa kike ambayo amekoti mwanakijiji
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu...Kwi kwi kwi,
OMG, I love jamboforums. It gets better by seconds!
Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu...
Hadithi ya mfa maji
Kwa kweli kwa majibishano haya ambayo ninayaona katika kipindi hiki siyafurahii kabisa, siyafurahii kwa sababu yanashusha hadhi ya JF jamani, JF ni mahali pa kuwekana sawa na kuwakemea wale wote wanaojinufaisha na jasho la wakulima na walalahoi wa TANZANIA lakini si mahali pa kulumbana na kukashifiana na kutupiana maneno ya nguoni kama mnayoyaendeleza kwa sasa, Mwafrika wa kike pls leave them haitakusaidia chochote kujibishana na kutupiana maneno ya kashfa na hao vijana ingawa naona wao ndo wanatoa maneno ya kashfa zaidi juu yako, inaniuma sana juu ya hili maana kila threads sasa inajaa malumbano tu kuliko hoja za msingi ambazo zitajenga na kuleta mwonekano mpya.
Once again nawaomba sana wakuu wote wapiganaji tuachane na hawa wanaokuja huku kukashifu wenzao maana inawezekana kabisa wametumwa ili kuchafua hali ya hewa ya JF as u know mafisadi hawaipendi kabsaa JF sasa tumieni akili kuwasoma hawa wanaokuja na kuleta malumbano yasiyo na msingi.
Nakumbuka mwanzo nilisema kuwa mtakuja ona aibu na huyo kubenea wenu.....sasa hapo unaanza kuuliza majibu maswali mepesi..walipoeenda kumvamia Kubenea tena wakiwa wamelewa ulitegemea Tegambwange akae kimya bila kumsaidia huyo mgoni Kubenea.kama anamsaidia ulitegemea wasimpe mapanga?NARUDIA KUSEMA KAMA NILIPOSEMA MWANZO,KAMA MNAMPENDA SANA KUBENEA MSHAURINI AACHE TABIA ZA KULA WAKE ZA WATU,NI HATARI.Mwishoni unakuwa kama mwafrika wa kike full ujinga ukimsoma akitetea.na yule mwingine aliyekuwa na Kubenea alipigwa panga kisa?
Wasitufanye wajinga hawa.
Nakumbuka mwanzo nilisema kuwa mtakuja ona aibu na huyo kubenea wenu.....sasa hapo unaanza kuuliza majibu maswali mepesi..walipoeenda kumvamia Kubenea tena wakiwa wamelewa ulitegemea Tegambwange akae kimya bila kumsaidia huyo mgoni Kubenea.kama anamsaidia ulitegemea wasimpe mapanga?NARUDIA KUSEMA KAMA NILIPOSEMA MWANZO,KAMA MNAMPENDA SANA KUBENEA MSHAURINI AACHE TABIA ZA KULA WAKE ZA WATU,NI HATARI.Mwishoni unakuwa kama mwafrika wa kike full ujinga ukimsoma akitetea.
we shalom kama una hashuo tafuta mwanamme kwengine mimi sili jicho