Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

Status
Not open for further replies.
Mimi nina ushauri hapa .Kuna watu wanaifanya hii forum kushuka hadhi kila mara .Nakuomba sana ndugu yangu Mwafrika wa Kike uache kujibizana .Waache wadharau ili kila mara tuendeleze mada zenye heshima .Majibizano haya wala mimi siyapendi kabisa .Mwafrika wa Kike mimi nadhani unisikie tu uache maana eneno kubwa la hapa unajibizana nao na inachukua page kadhaa utadhani kuna jambo la maana kumbe hakuna .Hapa kama wataendelea na mambo haya wafungiwe .

Hii kesi bado mbichi .Hata kama kachukua mke wa mtu dawa si kuvamia na kutaka kuua na hata tindikali.Huu ni uharamia .Lakini mimi nawa hakikishia kwamba kesi hii wanao shikla mpini ni watu wa EPA ushahidi ni mwingi na mtashangaa baadaye .

Mkuu ushauri wako umefika na utafanyiwa kazi.

Asante!
 
huyu yake ni ushahidi uliotolewa mahakamani, sio kusikia na wamekaa kikao na mliwa mali na kuwaahidi wakitekeleza mission ya mbaya wake watapata kichele.

sasa ya JK ni simulizi maana hatujasikia kama waume wakilalamika ila maneno tu ya mjambaji

Mahakamani kuna MAAJABU gani? Si ndo huko nako zinaliwa RUSHWA? Hii imani yako ya mahakama zetu haimaanishi kwamba wanaotoa ushahidi mahakamani HAWAPANGI cha kusema kabla ya kukisema. Katika hili ka Kubenea, tutasikia mengi mahakamani, lakini na sisi tuna akili tunaishi Tanzania,, tunayaona na kuyasikia yanayotendekea kwa ukweli BILA KUPANGA CHA KUSEMA.

Tunawaona wanaozidi kumtisha Kubenea, tunaona habari za gazeti lake zinawachoma kina nani zaidi...

Zaidi ya hayo, HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAYETARAJIA waliowatuma wahuni wawaeleze kwamba "nenda mkammalize Kubenea kwa sababu anatuandika magazetini..." Nia ya kumshambulia inajulikana kwa aliyeiasisi, hata kama waliotumwa watapewa maelekezo na maagizo mepesi, mana hata mtoa maagizo ana mshipa wa fahamu unaomwezesha jambo hili linaweza ku-boomerang.

Hivyo, hizi hoja za "mke wa mtu" zinawakuna watu ambao wako nyuma ya saga yenyewe (hivyo wanafurahi kwamba tutajadili hilo tuache kiini cha hujuma) au ni watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri wanaodhani matamshi ya mashaidi mahakamani yanadondoshwa na nguvu ya Mungu kwa hiyo ni "ukweli mtupu". Mtu wa Pwani, naamini wewe HUKO katika makundi hayo mawili.

UJUMBE: Kazi za MwanaHALISI ndizo hukumu yake. Ngono inaingizwa kama kisingizio, na tulishajua hivyo hata kabla hawajafika mahakamani, maana ilinong'onwa na hao hao...
 
kila mtu analijua maana nchi zetu zinazonuka rushwa hizi hata mahakama haziaminiki nangojea uone kesi itavyogeuzwa
 
Mimi nina ushauri hapa .Kuna watu wanaifanya hii forum kushuka hadhi kila mara .Nakuomba sana ndugu yangu Mwafrika wa Kike uache kujibizana .Waache wadharau ili kila mara tuendeleze mada zenye heshima .Majibizano haya wala mimi siyapendi kabisa .Mwafrika wa Kike mimi nadhani unisikie tu uache maana eneno kubwa la hapa unajibizana nao na inachukua page kadhaa utadhani kuna jambo la maana kumbe hakuna .Hapa kama wataendelea na mambo haya wafungiwe .

Hii kesi bado mbichi .Hata kama kachukua mke wa mtu dawa si kuvamia na kutaka kuua na hata tindikali.Huu ni uharamia .Lakini mimi nawa hakikishia kwamba kesi hii wanao shikla mpini ni watu wa EPA ushahidi ni mwingi na mtashangaa baadaye .
Mkuu asante sana kwa kumwaga busara yako hapo.
Kuna watu wanaleta hoja za ajabu ili kutetea ufisadi kisha wana vuruga mambo ili kuleta majibishano yenye kuleta aibu hapa JF.
Hii kesi tusubiri mwisho tutaona na kusikia mengi,lakini wenye akili wanaelewa haya yanayoendelea sasa hivi yanakusudia kupeleka mawazo yetu wapi.
 
Niliwahi uliza hapa JF " KUBENEA HAWA NDIO WATESI WAKO?" Sikujibiwa na mpaka leo mzee anakukuruka na mahakama lakini hatuna jibu, ujumbe wangu kwake "Kama unafanya ufisadi kwa kula Mapapai ya watu basi ni wajibu wako kukiri hadharani kuwa wewe ni FISADI HALISI"
 
Majibu haya naamini sasa atayatoa this week ama next week mahakambi maana pale ndipo atatoka na uhakika .Tanzania nzima wanamsikiliza na hasa kwa kuwa ana MwanaHalisi .Lakini kosa la kula mke wa mtu ndiye shughuli yote ile ? Mbona akina Ndimara nao walipigwa kama lengo lilikuwa ni Kubenea ?
 
zile sms za vitisho walizokuwa wanamtumia kabla ya tukio,mbona hamna hata moja ikimuonya kubenea kuhusu huyo mwanamke?They are trying to trick us!
 
duh! kazi ipo hivi hawa mafisadi inakuwaje jamani??
hivi kwanini wasishambuliwe maana wananchi wanateseka sana.
 
Naona inaweza kuwa moja kati ya haya mawili
1. Kuna uwezekano waliotumwa kumdhuru Kubenea walidanganywa na tajiri wao (kama kweli ni bosi wa Bakhresa). Sioni uwezekano wa huyo bosi kuwaambia vinginevyo juu ya sababu ya kumdhuru mtu mwingine.

2. Watuhumiwa wamefundishwa cha kusema na hivyo kutokuwa kweli aliyeko nyuma yao ni bosi wa bakhresa. Lakini bosi wa bakhresa anaweza kuwa timu moja na mafisadi wetu wa kisiasa!
 
Mmh, naona umegusa hapo!
 
Members wanaotumia lugha chafu dhidi ya wachangiaji wengine hapa JF badala ya kujibu hoja, wafungiwe! Wanapoteza direction ya discussions zinazoletwa hapa na kushusha nguvu ya hoja na hadhi ya JF yetu!

Wahusika simamieni hili!
 
Mimi wala sijui niseme vipi.ishu ya kubenea ni nzito tena sana lakini siku zote naamini penye ukweli uongo hujitenga.
Tatizo la wadosi wetu na wala nchi ukishashtukia dili zao watapanga kukuangamiza kwa gharama yoyoe ile.

Bado naamini chanzo siyo mapenzi bali siasa na ufisadi tu.Tusubiri tuone!
 
Quote:

Icadon
View Post

Lol...vya watu vitamu ila usishikwe tuu..hii sijaisikia JK ameingilia mke wa nani tena?
are you down with O.P.P?

Naona unataka yaletwe mengi hapa mkuu kwani ni zaidi ya mmoja.

Jamani tuwe waangalifu na mambo binafsi na yasipoteze malengo ya mambo halisi. Ndio maana Ali Karume (alikua mgombea urais 2005, sasa balozi tena) alipoibua tuhuma kwamba mkewe alimendewa na mgombea mwenzake wakati wa mchakati 2005, hakuna aliyemsikiliza kwa kuwa hayo mambo hayana uhusiano na uchaguzi na hapa mambo ya habari anazoandika kubenea hayana uhusiano na mambo yake ya kumendea wake za watu. Kwa maelezo hayo ndio maana kuna mtu mmoja alisema kama wote wanaomendea wake za watu, basi kila siku tungesikia watu kumi wanamwagiwa tindikali au hata kuuwawa maana kama mke wa huyo jamaa wa Bakhresa amepitiwa na kubenea, basi atapitiwa/amepitiwa na wengi (kwa kuwa ni rahisi) na hivyo wengi na hivyo wengi watamwagiwa tindikali.

TUSICHOKEZE WATU, YATAIBUKA MENGI
 
duh ni kweli yataibuka mengi hio ya Ali karume kudai mkewe amemendewa na mgombea mwenzake, sijawahi kusikia
 
Bora usiwe umesikia maana ungepiga kelele!!!!

NON ISSUE!!!!!!!!!!!!!!!

Tafuteni issues.

FD umenena, hakuna issue hapa, ni upupu mtupu, na si vyema watu wakaanza "KUFUKUA MAKABURI" hii topic iachwe hadi mahakama itakapokamilisha kusikiliza hiyo kesi na atakapoletwa mahakamani huyo bosi wa Bakhresa na mkewe kutoa ushahidi, na si maneno ya watuhumiwa ambao wanajitetea.
 
Members wanaotumia lugha chafu dhidi ya wachangiaji wengine hapa JF badala ya kujibu hoja, wafungiwe! Wanapoteza direction ya discussions zinazoletwa hapa na kushusha nguvu ya hoja na hadhi ya JF yetu!

Wahusika simamieni hili!

Please use 'report' button found on every post to flag out violation . Thank you !
 
Hebu kwa dakika chache tuchukulie kuwa Kubenea kweli alikuwa anatembea na mke wa mtu:

a. Je njia ya kushughulikia hilo ni kupanga njama za kumfanyia vibaya, madhara ya kimwili na hata kujaribu kumuua?

b. Je mtu anayefanya vitendo vya madhara kwa kisingizio cha kuchukuliwa mke wa mtu afikishwe mahakamani?

c. Kama aliyechukuliwa mke hana ujasiri wa kumconfront mbaya wake je ni halali kwake kukodisha watu kwenda kufanya alichoshindwa yeye kufanya? Na watu hao wakikamatwa waachie kwa sababu walikuwa marobot waliokuwa wanatekeleza agizo la mtu mwingine?

d. Je washitakiwe kwa vitendo vyao wao wenyewe au waachiliwe kwa vile tu walikuwa wametumwa.

e. Je kila mtu anayefanyiwa kitu kibaya au anayehisi kufanyiwa kitu kibaya achukue hatua mikononi mwake ikiwemo kukodisha watu kufanya madhara?

f. Je Kubenea (kama kweli alifanya hivyo) alimtorosha lini huyo mwanamama na kumchukua toka kwa mumewe, kumbaka na kumfanyia asichostaka huyo mama, na huyo mwanamama hakwenda Polisi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom