Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi!

Mkulu GT,unaanza kuwa kama Mrema (TLP).Nahisi kama umefilisika hivi kwenye mambo ya Dataz.

TETESI: Inasemekana ktk lile linalosemekana kama "Mafisadi kujibu mapigo ya mashambulizi ya internet" wameamua kuanza kununua majina ya wachangiaji wanaoaminika na kuweka watu wao ili kuwakatisha tamaa wanamapambano wengine na pengine kutukia influence yao janvini kuwabadili mitazamo wachangiaji wengine
 
Mkulu GT,unaanza kuwa kama Mrema (TLP).Nahisi kama umefilisika hivi kwenye mambo ya Dataz.

Inawezekana ana kaugonjwa kama cha lyatonga! May be ni mtu majuu na kwenye JF kaingia jana au juzi tusimlauumu sana wakubwa elimu inahitajika zaidi kwa huyo bwana mkubwa! au vip wana JF?
 
GT unanisikitisha, sipingi mawazo yako lakini ungeyaweka vizuri yaeleweke tujue kilichojiri, hayaeleweki halafu wewe umesaini out please next time kaa hapa hili utoe clarification inawezekana una point ya msingi inayoweza kuamsha watu wasifanye makosa kama yaliyo fanyika kwa kumchagua JK kwa ushabiki tu.
 
TETESI: Inasemekana ktk lile linalosemekana kama "Mafisadi kujibu mapigo ya mashambulizi ya internet" wameamua kuanza kununua majina ya wachangiaji wanaoaminika na kuweka watu wao ili kuwakatisha tamaa wanamapambano wengine na pengine kutukia influence yao janvini kuwabadili mitazamo wachangiaji wengine

TeTEsi zako zinaweza kuwa za kweli, maana watu wanavyobadilika ghafla inatia wasiwasi!! Work out to prove this
 
I don't care spelling error, I do care core point, though further clarification may be needed.

Upande wangu personally nilishaachana nae siku nyingi, kuanzia usiri wa tindikali, kufungiwa gazeti lake, na kutomwandika JK kuwa fisadi.

Kuna siri ndani ya tindikali mabayo siyo ya kisiasa rather is personal!

Hakututendea haki kusababisha gazeti lake lifungiwe kwa uzembe wake

Hili la JK nalijua vizuri na ataishia kuandika akila EL,RA, mpaka anunue magari 100 kama Shigongo!

Mpaka leo hajajibu tuhuma kuwa Mwanahalisi lina mkono wa Mkulu(japo wanataka watuhaminishe ni la Chadema)!!! Nimemface sijamkwepesha hana jibu!

yetu macho!

Couldnt agree more....

Heri yako wewe umesema kweli! typical Mengi style.... RA Fisadi lakini Kikwete msafi! ndio huyu Kubenea anaacha kwenda kwenye shina anang'ang'ania matawi lakini akina yakhe kwa uchu wa habari ya kuumbuliwa vigogo tuna bandwagon...

Since when JF tunacheck spelling mistakes na proof reading?

Safari ndefu.............
 
Mbona watu hawa address issue aliyoileta GT na badala yake wanakuwa kama wanachukua partisan positions?

GT, au yeyote mwenye habari, habari zaidi zinapatikana? Press conference ilikuwa iwe lini na wapi? Kubenea anasemaje kama sababu zake za kutokuwepo kwa press conference hiyo? Press conference ilikuwa imwage dataz gani? Any specifics?

Kwa nini mnafikiri anachosema GT hakiwezekani? Mnawezaje kuzipinga hunches za GT na data?
 
tangu Sep 2006 kapost zaidi ya mara 5,160. Yalikuwa madudu? na kapata thanks zaidi ya 2,000. Sielewi mimi! Nchi hii inakwenda pabaya kweli kweli, nguvu za kiza zinazidi sasa.

Sasa hivi Zitto kutamka neno "fisadi" kunamuia vigumu kweli kweli -- msikilizeni vizuri huko Busanda. Profesa tuliyemuamini anasema hovyo, hajui kabisa kama ile dhoruba dhidi ya chama chake mwaka 2005 Tanzania Bara ilitokana na hela za EPA!!!! hana habari hiyo kabisa?
 
I couldnt possibly be partisan in this matter.For one I think its too trivial, and irrelevant. Some do believe that GT has been compromised. I've been here for a considerable while and he was never like this not too long ago. However he could just have a personal conflict with other JF Sharks..lol or maybe he just changed his views. Personally I have no standing on the matter, as this has nothing to do with my objectives here. I think the thread, even after the attempted name change is trivial and unworthy of the time of the "Holy Ones" ..lol
 
If you say a matter which concerns itself with the integrity of one of our admired reporters regarding the fight against ufisadi is indeed trivial, you are essentially making a big statement about your commitment to the fight against ufisadi, in your opinion, is that fight trivial too?
 
Yego Masika,

Mbona hizo habari zanitia wazimu mieeee, Hayo yanayosema kweliiii au you people your jocking na bongo za watu, unajua ni ngumu kuamini kama ndio huyo brother KUBENEA, nasubiria toleo lake la Jumatano nione atakuwa anajitetea kwa lipi, Mtu huwezi risk life kiasi hicho kwa uzalendo wote huo gafla ubadilike kwa bahasha?????

Me sito amini mpaka ayatamke hayo maneno mwenyewe ama kuna jambo lililotokea hapo kati likazuia hiyo press conference.

mbeeh msibhemo, chila bhugangana eyo, Duuuuhhhhhh
 
Hii inathibitisha ile dhana kuwa wakati wengine tuna uchungu na nchi hii inavyotafunwa, tunajaribu kutumia forum hii kuweka mawazo au mapungufu tunayoyaona, wenzetu wanakazi ya kuneutralize, nina uhakika hii haiwezi kufanikiwa. Kuna watu wanalipwa kucounter argue hapa JF, na kwa kazi hiyo huenda wanaendesha maisha, hii ni hisia tu.
 
Yego Masika,

Mbona hizo habari zanitia wazimu mieeee, Hayo yanayosema kweliiii au you people your jocking na bongo za watu, unajua ni ngumu kuamini kama ndio huyo brother KUBENEA, nasubiria toleo lake la Jumatano nione atakuwa anajitetea kwa lipi, Mtu huwezi risk life kiasi hicho kwa uzalendo wote huo gafla ubadilike kwa bahasha?????

Me sito amini mpaka ayatamke hayo maneno mwenyewe ama kuna jambo lililotokea hapo kati likazuia hiyo press conference.

mbeeh msibhemo, chila bhugangana eyo, Duuuuhhhhhh

ukiamini hiki utaweza kuamini kuwa mwezi umetengenezwa kwa jibini...
 
ukiamini hiki utaweza kuamini kuwa mwezi umetengenezwa kwa jibini...

It would be nice if you would counter toe for toe, in the great JF tradition of interesting intellectual interchabge courtesly coupled with due diligence inculcated data based debate.
 
Kisa kaongea game theory angeongea mwanakijiji au Invisible same thing mngeona ana make sense ila kwa sababu ni GT mnaona ana lose mind au analipuliza...hebu acheni ukuda!...kama mada huelewi si uulize tuu!....

Acheni fitina
 
Back
Top Bottom