Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi!

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
KUBENEA NAYE NI FISADI?

Suedi Kubenea ambaye anatokea kijiji cha BALENI kule kisiwani Mafia na ambaye ni mwenye gazeti lilkilo mstari wa mbele kupiga vita UFISADI amefanya kitendo ambacho kimetustua na kutunyongonyesha sisi wapiga vita ufisadi .

KUBENEA ambaye kwa sababu anazozijua yeye aliamua kufanya PRESS CONFERENCE YA KUMPA masaa 24 mheshimiwa ROSTAM AZIZ aombwe radhi baada ya kumhusisha Kubenea na UFISADI lakini katika hali isiyo ya kawaida Kubenea amechomoa bila sababu za msingi.

Taarifa zaidi toka Baleni Mafia zinasema kuwa ndugu jamaa na marafiki wamesikitishwa na kitendo cha kijana wao kutofanya hiyo press conference ambayo pamoja na mambo mengine ingemwanika ( whatever it means nowadays) mheshimiwa Rostam na kumweka wazi kwani Kubenea anazo DATAZ ambazo angemkoma "Nyani Giladi"

Na katika duru za waandishi kuna habari kuwa inawezekana kuwa naye kesha pewa chochote kama alivyokuwa akipewa na LOWASA ndio maana katulia...na hii inawezekana ni kweli kwani alikuwa anaitukana saaanaaaa serikali ya JK na JK mwenyewe akidai ni FISADI na mengineyo na hata ule mkutano na Lowasa aliahidiwa MATANGAZO KWENYE GAZETI LA MWANAHALISI lakini alipoona kimya (baada kuambiwa kuwa avute subira) akaamua kurudi na nguvu zote kuitukana bara bara serikali ya JK kuwa ni ya kifisadi

Mpaka alipomwagiwa tindikali baada ya gari lake kuvunjwa viooo

Lakini mafisadi hao hao aliowaita mafisadi ndio walimlipia gharama za matibabu kwenda INDIA India hivyo we should not rule out kuwa naye amekuwa compromised kwenye hili sakata ka ufisadi kwani price ya KUBENEA ni ndogo sana...matangazo kwenye gazeti lake na hivi sitoshangaa kusikia kuwa keshavuta kwa hao hao anaowaita MAFISADI kwa kwa sababu hivyo nadhani tunaweza kusema kuwa KUBENEA NAYE NI FISADI LAKINI inawezekana fisadi huyu anakula kote kote yaani kwa MENGI na kwa ROSTAM kwani ndio kawaida yake
 
Last edited:
Mkulu GT,unaanza kuwa kama Mrema (TLP).Nahisi kama umefilisika hivi kwenye mambo ya Dataz.
 
Du!! sitaki kuamini ni wewe mkuu GT ndio umeandika haya kwani stori yako haieleweki,Mtindiowaubongo kaona spelling error mimi naona disorganisation of ideas.
 
Du!! sitaki kuamini ni wewe mkuu GT ndio umeandika haya kwani stori yako haieleweki,Mtindiowaubongo kaona spelling error mimi naona disorganisation of ideas.

I said it once, kwamba mafisadi hawaishii katika material thing.. they go far hadi kufisadi brain za watu! inatisha sana ba ndugu.
 
suedi kubenea ambaye anatokea kijiji cha baleni kule kisiwani mafia na ambaye ni mwenye gazeti lilkilo mstari wa mbele kupiga vita ufisadi amefanya kitendo ambacho kimetustua na kutunyongonyesha sisi wapiga vita ufisadi .

Kubenea ambaye aliyakiwa afanye press conference ya kumpa mheshimiwa rostam aziz muda wa masaa 24 aombwe radhi lakini katika hali isiyo ya kawaida kubenea amechomoa bila sababu za msingi hiyo press conference na taarifa toka baleni mafia zinasema kuwa ndugu jamaa na marafiki wamesikitishwa na kitendo cha kijana wao kutofanya hiyo press conference ambayo pamoja na mambo mengine ingemwanika or whatever the it means nowadays mheshimiwa rostam na kumweka wazi kwani kubenea anazo dataz ambazo angemkoma nyani giladi

sasa katika duru za waandishi kuna habari kuwa inawezekana kuwa naye kesha pewa chochote ndio maana katulia...na hii inawezekana ni kweli kwani alikuwa anaitukana saaanaaaa serikali ya jk ni ya kifisadi lakini mafisadi hao hao ndio walimlipia gharama za matibabu india hivyo we should not rule out kuwa naye amekuwa compromised kwenye hili sakata ka ufisadi

kaaz kwel kwel
 
Madhara ya bangi bila kula ni makubwa kuliko tunavyoweza kufikiria....
 
Madhara ya bangi bila kula ni makubwa kuliko tunavyoweza kufikiria....

Thanks, at least u have provided scientific explanation...mkuu tia maji kichwani kisha kunywa soda tamu Fanta I suggest mambo yatatulia.
 
Je wewe mtoa habari tunataka ulete proof beyond doubt kuwa Saed Kubenea ni fisadi. Hatutaki hatred posts/thread!! Mkuu GT taratibu mtu wangu. Kubenea hawezi kamwe kununuliwa na FISADI. Mbona gazeti la Mwanahalisi bado linaandika na kupambana na mafisadi!!!

Kwa nini mtu anataka amlazimishe Kubenea kutoa Press Conference ya uovu wa Rostam?? Tayari Kubenea alishatoa Press Conference kupitia magazeti yake!!! Chukua magazeti ya Mwanahalisi, chukua cuttings zote za Kubenea kuhusu ufisadi, hiyo ni press conference tosha. Mbona tayari alishaitoa,, unataka sasa aende akayarudierudie madata/manondo ambayo tayari ameshayaandika katika magazeti yake??? Hapana, mimi nafikiri Kubenea atakuwa busy kupata nondo mpya za kutujuza.

Hata haya mafisadi papa aliyotaja mzee wetu Mengi, mbona Mwahahalisi ilishataja majina hayo siku nyingi?? Alichofanya mzee Mengi ni ku summarise tu wakuu.

Keep it up Kubenea. Wengi tuko nawe, usife moyo. Kubenea ni mwandishi ambaye ame dare to take proffesional risk!! I like him!!!

Mafisadi bwana, wanajua kutumia mbinu sana kupambana na wazalendo. Sasa wanataka kuua nguvu za kubenea kwa kutuma viba... wa kumponda!! Hatutaki.
 
GT sasa nadhani unashindwa ama hauelewi maana ya ufisadi. Uliza wana JF wakueleimisha ili usiendelee kutuchosa na mabandiko yasiyokuwa na Msingi..
 
Suedi Kubenea ambaye anatokea kijiji cha BALENI kule kisiwani Mafia na ambaye ni mwenye gazeti lilkilo mstari wa mbele kupiga vita UFISADI amefanya kitendo ambacho kimetustua na kutunyongonyesha sisi wapiga vita ufisadi .

KUBENEA ambaye aliyakiwa afanye PRESS CONFERENCE YA KUMPA mheshimiwa ROSTAM AZIZ muda wa masaa 24 aombwe radhi lakini katika hali isiyo ya kawaida Kubenea amechomoa bila sababu za msingi hiyo press conference na taarifa toka Baleni Mafia zinasema kuwa ndugu jamaa na marafiki wamesikitishwa na kitendo cha kijana wao kutofanya hiyo press conference ambayo pamoja na mambo mengine ingemwanika or whatever the it means nowadays mheshimiwa Rostam na kumweka wazi kwani Kubenea anazo DATAZ ambazo angemkoma Nyani Giladi

sasa katika duru za waandishi kuna habari kuwa inawezekana kuwa naye kesha pewa chochote ndio maana katulia...na hii inawezekana ni kweli kwani alikuwa anaitukana saaanaaaa serikali ya JK ni ya kifisadi lakini mafisadi hao hao ndio walimlipia gharama za matibabu India hivyo we should not rule out kuwa naye amekuwa compromised kwenye hili sakata ka ufisadi

I don't care spelling error, I do care core point, though further clarification may be needed.

Upande wangu personally nilishaachana nae siku nyingi, kuanzia usiri wa tindikali, kufungiwa gazeti lake, na kutomwandika JK kuwa fisadi.

Kuna siri ndani ya tindikali mabayo siyo ya kisiasa rather is personal!

Hakututendea haki kusababisha gazeti lake lifungiwe kwa uzembe wake

Hili la JK nalijua vizuri na ataishia kuandika akila EL,RA, mpaka anunue magari 100 kama Shigongo!

Mpaka leo hajajibu tuhuma kuwa Mwanahalisi lina mkono wa Mkulu(japo wanataka watuhaminishe ni la Chadema)!!! Nimemface sijamkwepesha hana jibu!

yetu macho!
 
Hiyo timu yake (ARSENAL) inafungwa kila siku labda imemuathiri maana naona jamaa anapotea kabisa siku hizi
 
Suedi Kubenea ambaye anatokea kijiji cha BALENI kule kisiwani Mafia na ambaye ni mwenye gazeti lilkilo mstari wa mbele kupiga vita UFISADI amefanya kitendo ambacho kimetustua na kutunyongonyesha sisi wapiga vita ufisadi .

KUBENEA ambaye aliyakiwa afanye PRESS CONFERENCE YA KUMPA mheshimiwa ROSTAM AZIZ muda wa masaa 24 aombwe radhi lakini katika hali isiyo ya kawaida Kubenea amechomoa bila sababu za msingi hiyo press conference na taarifa toka Baleni Mafia zinasema kuwa ndugu jamaa na marafiki wamesikitishwa na kitendo cha kijana wao kutofanya hiyo press conference ambayo pamoja na mambo mengine ingemwanika or whatever the it means nowadays mheshimiwa Rostam na kumweka wazi kwani Kubenea anazo DATAZ ambazo angemkoma Nyani Giladi

sasa katika duru za waandishi kuna habari kuwa inawezekana kuwa naye kesha pewa chochote ndio maana katulia...na hii inawezekana ni kweli kwani alikuwa anaitukana saaanaaaa serikali ya JK ni ya kifisadi lakini mafisadi hao hao ndio walimlipia gharama za matibabu India hivyo we should not rule out kuwa naye amekuwa compromised kwenye hili sakata ka ufisadi

Du... Nathingi kwaakweeeli!!

Distorted information, no punctuation, unattractive!

Mzee, ulikuwa umepiga KIROBA nini?
 
This is a waste of time. The so called "Great Thinkers" of JF who are supposed to be dedicated to the development of our nation are busy talking about Kubenea. I welcome correction but I must say. His significance to the task at hand is non-existent. (And please dnt rely to me talking about media and its influence) because if that is the case then we should be talking about the people that own the media owners...
 
Back
Top Bottom