Kubenea kashindwa kumzungumzia Rostam mbele ya Waandishi!

KUBENEA NAYE NI FISADI?

Suedi Kubenea ambaye anatokea kijiji cha BALENI kule kisiwani Mafia na ambaye ni mwenye gazeti lilkilo mstari wa mbele kupiga vita UFISADI amefanya kitendo ambacho kimetustua na kutunyongonyesha sisi wapiga vita ufisadi .

KUBENEA ambaye kwa sababu anazozijua yeye aliamua kufanya PRESS CONFERENCE YA KUMPA masaa 24 mheshimiwa ROSTAM AZIZ aombwe radhi baada ya kumhusisha Kubenea na UFISADI lakini katika hali isiyo ya kawaida Kubenea amechomoa bila sababu za msingi.

Taarifa zaidi toka Baleni Mafia zinasema kuwa ndugu jamaa na marafiki wamesikitishwa na kitendo cha kijana wao kutofanya hiyo press conference ambayo pamoja na mambo mengine ingemwanika ( whatever it means nowadays) mheshimiwa Rostam na kumweka wazi kwani Kubenea anazo DATAZ ambazo angemkoma "Nyani Giladi"

Na katika duru za waandishi kuna habari kuwa inawezekana kuwa naye kesha pewa chochote kama alivyokuwa akipewa na LOWASA ndio maana katulia...na hii inawezekana ni kweli kwani alikuwa anaitukana saaanaaaa serikali ya JK na JK mwenyewe akidai ni FISADI na mengineyo na hata ule mkutano na Lowasa aliahidiwa MATANGAZO KWENYE GAZETI LA MWANAHALISI lakini alipoona kimya (baada kuambiwa kuwa avute subira) akaamua kurudi na nguvu zote kuitukana bara bara serikali ya JK kuwa ni ya kifisadi

Mpaka alipomwagiwa tindikali baada ya gari lake kuvunjwa viooo

Lakini mafisadi hao hao aliowaita mafisadi ndio walimlipia gharama za matibabu kwenda INDIA India hivyo we should not rule out kuwa naye amekuwa compromised kwenye hili sakata ka ufisadi kwani price ya KUBENEA ni ndogo sana...matangazo kwenye gazeti lake na hivi sitoshangaa kusikia kuwa keshavuta kwa hao hao anaowaita MAFISADI kwa kwa sababu hivyo nadhani tunaweza kusema kuwa KUBENEA NAYE NI FISADI LAKINI inawezekana fisadi huyu anakula kote kote yaani kwa MENGI na kwa ROSTAM kwani ndio kawaida yake

Tuwe wakweli hapa hakuna asie ielewa hii serekali na matendo yake, jamaa wameshataka kumtowa Roho mara ya kwanza kwa kutumia tindi kali tukiwachilia hilo tukumbuke hata serekali imewahi kusema mafisadi wanapesa na uwezo kuiumbisha serekali yenyewe ,sasa nyinyi mnashadidia lazima iwe mnavyotaka nyinyi afanye hiyo PRESS CONFERENCE hata kama amesha pelekewa ujumbe rasmi kuwa zake zinahisabika.
 
Integrity yangu iko questioned kwa sababu nimekataa kumuunga mkono Mengi?

lakini zaidi ya hayo...according to WIKIPEDIA:

mhhh CRUSADE...what exactly do you mean?

Integrity yako haiko questioned kwa sababu umekataa kumuunga mkono Mengi, bali kwa sababu umeleta kitu kama fact kwamba Kubenea alisema atafanya press conference, kumbe kuja kuangalia mtu ali preface sentensi na "huenda".

Crusade kwa sababu unaonekana kumuandama Kubenea over and over, day in day out, bila ya kuwa na nyimbo mpya zaidi ya hizo za kutibiwa na mafisadi India ambazo nazo hata hazijathibitishika.Ndiyo maana nikatumia neno crusade, in the same sense hiyo hiyo uliyoitoa Wikipedia.

Una kitu personal na Kubenea?
 
Mtu katumia words kama "maybe" na "possibility" lakini you make it seem like he promised to do so. Na hata kama ange ahidi he has the right to retract. Mbona kama unamforce mtu afanye kitu? Kama alisema atafanya press conference alisema yeye na akiamua kuto kufanya ni uamuzi wake. What exactly is it that you want him to do? Labda utueleze hivyo.
 
Kwa maoni yangu:

1. Kwanza kabisa nampongesa sana GT kwa sababu wote naona hamjamuelewa kwa sababu hapa naona kama anammaliza Rostam kwa kila hali na kama hamuamini someni MwanaHalisi la Jumatano wiki hii mutaelewa nina maana gani kwani hata kama Kubenea wiki hii hakuwa na mpango na Rostam ama kwa kukosa habari ama kwa kuwa na habari ingine kubwa ama hata kama GT anavyotuhumu kanunuliwa, sasa ndio atamshukia kama mwewe RA bila kumuonea huruma. GT ni smart sana kwenye hili.

2. Jambo lingine ni kwamba hapa inaonekana kuna sababu nzito zaidi nyuma ya hii thread kwa kuwa GT kataja hadi kijiji, haiwezekani kabuni tu, bali anajua anachokisema na hivyo Kubenea awe makini zaidi, asije kufanya jambo akajifanya kajifisha kwao Mafia, ajue yuko "Uchi".

3. Kama mmoja alivyochangia, siasa za 2010-2015 zimeingia katika hii thread. Nitaeleza siku nyingine lakini pia kwa hili malengo hayawezi kutimia.

4.Je, Kubenea na wengine kama rafiki zangu ambao kwa sasa wanaishi kule Zanzibar nao wana mpango wa kuingia katika siasa? Kama ndio jimbo gani? Mafia, Kinondoni ama Temeke?

Naomba kuwasilisha
 
Shetani kapita.............kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!! Kweherini....
 
Hatimaye kwa nguvu za Mwenyezi Mungu alie hai mahakama kuu ya tanzania imetoa hukumu ya kesi kati ya kubenea na rostam aziz,mahakama imetoa hukumu hio tar 29 april,imemtaka kubenea amlipe rostam bilioni tatu pamoja na gharama za kesi kwa kumchafua hasa kuhusiana na richmond thanx God.its me fisadi mtoto and my friend Dikteta

Hivi hiyo juu imekaaje? Ukisoma hii makala na ukalinganisha na habari juu utaona kuwa zinapingana. Ni kweli hiyo tarehe kulikuwa na hukumu au huyu jamaa anafurahisha tu jamvi?

Ukitaka basi Bonyeza hapa:-
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28776-mwanahalisi-na-kubenea-washindwa-na-rosatam.html
 
ahhh Halisi...unajua kuna watu humu wanaongea na Kubenea lakin cha ajabu hakuwamegea nia yake sasa wanaanza kuleta mambo ya kubishana ohh GT thi ohh GT that...kuna mtu kauliza angeleta mwingine wangesema hivyo?

Lakini kwa kuongezea tuu ni kuwa its official KUBENEA ameback down lakini kaapa kuwa atafikishana Mahakamani na Rostam

Sasa sijui nani kamwongopea kuwa akitoa hizo docs za kikao cha Ikulu everything will be fine

Ewe Suedi weeee najua unauchungu na nchi yako lakini sikuzote charity begins at home..hebu mfikirie Mzee Kubenea kule BALENI na ile kazi yake ya udereva utamuua mzee wa watu kwa BP!

Hivi Kubenea ushasahu kuwa ROSTAM na MENGI walikuwa maswahiba mpaka Mengi aliwahi kukopa $5million toka R.A ambazo mpaka leo hajazirudisha?

Halisi,

This is Politics na hii issue utashangaa itakavyoisha...imagine scenario ya ROSTAM na MENGI washapanishwa tena in public na wakashikishwa mikono na MAKAMBA where will Kubenea go?

Its well and good kwa kubenea kwenda Mahakamani lakini ukweli hii vita ya Mengi na Rostam ni kubwa mno na sitaki kuona wale wanyonge walioko Baleni wakawa ma collateral damage

Kama naongopa yuko wapi STAN KATABALO na zile articles 10 ambazo hakuzichapisha? of course mwisho wake Mwinyi aliandika bonge la obituary lakini the message was sent
 
Integrity yako haiko questioned kwa sababu umekataa kumuunga mkono Mengi, bali kwa sababu umeleta kitu kama fact kwamba Kubenea alisema atafanya press conference, kumbe kuja kuangalia mtu ali preface sentensi na "huenda".

mimi sikuquote hiyo ya yeye kusema kwenye press conference na Rostam

Nazungumzia kuwa mwenyewe aliyasema hayo last week kwa mdomo wake

Crusade kwa sababu unaonekana kumuandama Kubenea over and over, day in day out, bila ya kuwa na nyimbo mpya zaidi ya hizo za kutibiwa na mafisadi India ambazo nazo hata hazijathibitishika.

Definition ya crusade ni vita vilivyopinanwa kati ya wakristo na waislam
hapa inahusika vipi?

Ndiyo maana nikatumia neno crusade, in the same sense hiyo hiyo uliyoitoa Wikipedia.

2ViolinsJPG1.jpg

Una kitu personal na Kubenea?

Does it get better than knowing mzee kubenea ni dereva pale Mafia?

sina bifu naye lakini sipendi unafiki wake wa kuvuta pesa kwa watu anaodai ni mafisadi na kuwahold ransom wengine
 
ahhh Halisi...unajua kuna watu humu wanaongea na Kubenea lakin cha ajabu hakuwamegea nia yake sasa wanaanza kuleta mambo ya kubishana ohh GT thi ohh GT that...kuna mtu kauliza angeleta mwingine wangesema hivyo?

Lakini kwa kuongezea tuu ni kuwa its official KUBENEA ameback down lakini kaapa kuwa atafikishana Mahakamani na Rostam

Sasa sijui nani kamwongopea kuwa akitoa hizo docs za kikao cha Ikulu everything will be fine

Ewe Suedi weeee najua unauchungu na nchi yako lakini sikuzote charity begins at home..hebu mfikirie Mzee Kubenea kule BALENI na ile kazi yake ya udereva utamuua mzee wa watu kwa BP!

Hivi Kubenea ushasahu kuwa ROSTAM na MENGI walikuwa maswahiba mpaka Mengi aliwahi kukopa $5million toka R.A ambazo mpaka leo hajazirudisha?

Halisi,

This is Politics na hii issue utashangaa itakavyoisha...imagine scenario ya ROSTAM na MENGI washapanishwa tena in public na wakashikishwa mikono na MAKAMBA where will Kubenea go?

Its well and good kwa kubenea kwenda Mahakamani lakini ukweli hii vita ya Mengi na Rostam ni kubwa mno na sitaki kuona wale wanyonge walioko Baleni wakawa ma collateral damage

Kama naongopa yuko wapi STAN KATABALO na zile articles 10 ambazo hakuzichapisha? of course mwisho wake Mwinyi aliandika bonge la obituary lakini the message was sent

Nikisoma kwa makini nahisi wewe fisadi Game Theory unawasilisha hisia za wenzako kuwa Kubenea akienda mahakamani atawashika pabaya kwa hiyo sasa mnakimbilia kumtishia kuhusu Baba yake na kumtishia kifo kama Stan Katabalo.

Asha
 
Unamtisha?....

...Nia yako GT kwenye hili suala la Kubenea,Rostam na mengi ni nini? au unakusudia kutaka au kutuambia nini? ujumbe wako ni upi?
 
Mimi ni mtu mdogo sana kumtisha Kubenea

Kubenea anadeal na MAPAPA na NYANGUMI mie ni mtu mdogo sana kwenye hili

Ujumbe ni kuwa mimi namfahamu vilivyo huyu Kubenea na zaidi ya yote hayo hana moral authority ya kupiga vita ufisadi wakati naye ana tendencies za kifisadi
 
Nikisoma kwa makini nahisi wewe fisadi Game Theory unawasilisha hisia za wenzako kuwa Kubenea akienda mahakamani atawashika pabaya kwa hiyo sasa mnakimbilia kumtishia kuhusu Baba yake na kumtishia kifo kama Stan Katabalo.

Asha

Mimi ni mtu mdogo sana kwa Kubenea lakini namjua vilivyo hana jipya

Kwanza huko Mahakamani sijui ata prove nini maana tayari anavuta toka kwa FISADI Mengi na upande wa pili nako alikuwa anavuta

Ndio Mzee Kubenea anaendesha magari pale Mafia kwani uwongo?
 
Mimi ni mtu mdogo sana kumtisha Kubenea

Kubenea anadeal na MAPAPA na NYANGUMI mie ni mtu mdogo sana kwenye hili

Ujumbe ni kuwa mimi namfahamu vilivyo huyu Kubenea na zaidi ya yote hayo hana moral authority ya kupiga vita ufisadi wakati naye ana tendencies za kifisadi
nakusoma mkuu....unaweza kututajia ufisadi wa kubenea mkuuu..
 
crown_agents_flag_2.jpg

CROWN AGENTS...kama kubenea ana jisifu ana DATAZ basi atuonyeshe connection ya hawa jamaa na ufisadi Tanzania
 
ahhh Halisi...unajua kuna watu humu wanaongea na Kubenea lakin cha ajabu hakuwamegea nia yake sasa wanaanza kuleta mambo ya kubishana ohh GT thi ohh GT that...kuna mtu kauliza angeleta mwingine wangesema hivyo?

swali zuri.
Lakini kwa kuongezea tuu ni kuwa its official KUBENEA ameback down lakini kaapa kuwa atafikishana Mahakamani na Rostam
official by whose authority? Sijaona mahali popote penye dalili au ishara yoyote kuwa kulikuwa na mkutano wa kumuumbua Rostam. Kama mtu amesema gengeni au alikuwa njozini haifikii kiwango cha kujadilika. Washutumiwa walisema hadharani "tutakwenda mahakamani" hawakwenda, hawa tunaweza kusema wameback down.. na wakisema hadharani kuwa wamebadili mpango huo tunaweza kutafsiri kuwa "officially" wameback down.

Sasa mtu hajawahi kutangaza siku, muda na mahali ya hicho anachotaka kufanya na hajajitokeza kukikana inaweza vipi kuwa "official" unless somebody else think it is official?
Sasa sijui nani kamwongopea kuwa akitoa hizo docs za kikao cha Ikulu everything will be fine
Na kwamba kuna docs za Ikulu!

Ewe Suedi weeee najua unauchungu na nchi yako lakini sikuzote charity begins at home..hebu mfikirie Mzee Kubenea kule BALENI na ile kazi yake ya udereva utamuua mzee wa watu kwa BP!
Mambo ya baba wa mtu na hali yake ya afya na kijiji anachotoka unayeleta JF kwa ajili ya nini? This is low even kwa standard ya the most unintelligent person. If you have issue with Kubenea take it mtu kwa mtu.. kama unaishu na uandishi wake shambulia hilo.. kama unaishu na jinsi anavyozungumza au kucheka sema hivyo.. kuleta baba, mama, watoto, jamaa na magonjwa yao kwa vile unajua is low and I absolutely totally and unequivocally condemn that in the strongest terms possible. It is very unfortunate. Tukifungulia huko tunaenda kusikoendeka ambako kumejaa machozi, hasira, uchungu na kisasi.
Hivi Kubenea ushasahu kuwa ROSTAM na MENGI walikuwa maswahiba mpaka Mengi aliwahi kukopa $5million toka R.A ambazo mpaka leo hajazirudisha?
Hoja nje ya hoja, Rostam alikuwa na uwezo wa kusema hilo kama alivyomuumbua Mtikila hakufanya hivyo.. well.. tunalisikia kutoka kwako, inabidi tuamini tu, hatuna ujanja.
Halisi,

This is Politics na hii issue utashangaa itakavyoisha...imagine scenario ya ROSTAM na MENGI washapanishwa tena in public na wakashikishwa mikono na MAKAMBA where will Kubenea go?
Linaulizwa vinginevyo.. wewe utakwenda wapi? JF itakwenda wapi? makundi mawili yaliyotajwa na Mkuchika yatakwenda wapi?
Its well and good kwa kubenea kwenda Mahakamani lakini ukweli hii vita ya Mengi na Rostam ni kubwa mno na sitaki kuona wale wanyonge walioko Baleni wakawa ma collateral damage
Hicho kijiji itabidi kiwekewe bango kwa kweli "HIKI NDICHO KIJIJI CHA KUBENEA WA MWANAHALISI"! Sawa kaka tunajua kijiji kinatiwa Baleni, Mafia huko!

Kama naongopa yuko wapi STAN KATABALO na zile articles 10 ambazo hakuzichapisha? of course mwisho wake Mwinyi aliandika bonge la obituary lakini the message was sent
Message hapa imetumwa tena.. hadi kumleta Stan Katabalo.. this message is loud and clear!.. mistari imeshachorwa ardhini.. Hao wanaotuma hizo message kwa hakika wahakikishe wao wenyewe hakiwapati cha Katabalo! Hiyo mikwara wapigane huko huko gizani!
 
mimi sikuquote hiyo ya yeye kusema kwenye press conference na Rostam

Nazungumzia kuwa mwenyewe aliyasema hayo last week kwa mdomo wake
Alizungumza wapi? Kuna rekodi wapi?

Definition ya crusade ni vita vilivyopinanwa kati ya wakristo na waislam
hapa inahusika vipi?

Hasha, crusade katika etimology inatoka huko kwenye vita lakini si lazima iwe vita vya kidini, ukifanya campaign for or against an idea/ person with a great passion una crusade tayari.

Mimi nimeitumia kwa maana ya tatu hapo chini

Ona crusade definition | Dictionary.com

1. (often initial capital letter) any of the military expeditions undertaken by the Christians of Europe in the 11th, 12th, and 13th centuries for the recovery of the Holy Land from the Muslims.
2. any war carried on under papal sanction.
3. any vigorous, aggressive movement for the defense or advancement of an idea, cause, etc.: a crusade against child abuse.

Does it get better than knowing mzee kubenea ni dereva pale Mafia?

Hizo ni personal innuendos ambazo ziko off topic, sasa kama mzee ni dereva au landlord inahusu vipi hapa?

sina bifu naye lakini sipendi unafiki wake wa kuvuta pesa kwa watu anaodai ni mafisadi na kuwahold ransom wengine

Mu expose vizuri basi, usifanye a half-assed job kama hii.Onyesha vizuri Kubenea unafiki wake uko wapi, we dare talk openly here.
 
swali zuri.
official by whose authority? Sijaona mahali popote penye dalili au ishara yoyote kuwa kulikuwa na mkutano wa kumuumbua Rostam. Kama mtu amesema gengeni au alikuwa njozini haifikii kiwango cha kujadilika. Washutumiwa walisema hadharani "tutakwenda mahakamani" hawakwenda, hawa tunaweza kusema wameback down.. na wakisema hadharani kuwa wamebadili mpango huo tunaweza kutafsiri kuwa "officially" wameback down.

Sasa mtu hajawahi kutangaza siku, muda na mahali ya hicho anachotaka kufanya na hajajitokeza kukikana inaweza vipi kuwa "official" unless somebody else think it is official?
Na kwamba kuna docs za Ikulu!

Mambo ya baba wa mtu na hali yake ya afya na kijiji anachotoka unayeleta JF kwa ajili ya nini? This is low even kwa standard ya the most unintelligent person. If you have issue with Kubenea take it mtu kwa mtu.. kama unaishu na uandishi wake shambulia hilo.. kama unaishu na jinsi anavyozungumza au kucheka sema hivyo.. kuleta baba, mama, watoto, jamaa na magonjwa yao kwa vile unajua is low and I absolutely totally and unequivocally condemn that in the strongest terms possible. It is very unfortunate. Tukifungulia huko tunaenda kusikoendeka ambako kumejaa machozi, hasira, uchungu na kisasi.
Hoja nje ya hoja, Rostam alikuwa na uwezo wa kusema hilo kama alivyomuumbua Mtikila hakufanya hivyo.. well.. tunalisikia kutoka kwako, inabidi tuamini tu, hatuna ujanja.
Linaulizwa vinginevyo.. wewe utakwenda wapi? JF itakwenda wapi? makundi mawili yaliyotajwa na Mkuchika yatakwenda wapi?
Hicho kijiji itabidi kiwekewe bango kwa kweli "HIKI NDICHO KIJIJI CHA KUBENEA WA MWANAHALISI"! Sawa kaka tunajua kijiji kinatiwa Baleni, Mafia huko!

Message hapa imetumwa tena.. hadi kumleta Stan Katabalo.. this message is loud and clear!.. mistari imeshachorwa ardhini.. Hao wanaotuma hizo message kwa hakika wahakikishe wao wenyewe hakiwapati cha Katabalo! Hiyo mikwara wapigane huko huko gizani!
.................BLAH BLAH BLA

2ViolinsJPG1.jpg
 
Hivi GT umewahi kuwa personal driver wa Rostum? Hizi details nyingine unazipata wapi?
 
Back
Top Bottom