Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Mimi Ni Mtumishi Wa Mahakama,Nipo Mkoa Wa Songwe_Tunduma,Nahitaji Mtu Wa Kubadilishana Nae Kituo Cha Kazi Awe ,Pwani,Dar es salaam,Tanga,Na Morogoro.
Namba!0715_970_172..
 
Mimi Ni Mtumishi Wa Mahakama,Nipo Mkoa Wa Songwe_Tunduma,Nahitaji Mtu Wa Kubadilishana Nae Kituo Cha Kazi Awe ,Pwani,Dar es salaam,Tanga,Na Morogoro.
Namba!0715_970_172..
Ila maisha bana..
Wewe wa Tunduma unataka kuhama, halafu Nina mshkaji yupo H/W Momba huko porini Chitete.
Yule huwa namuonea huruma balaa.
Maana kule ni kubayaaa, nilipataga safari ya kule siku moja, dah aisee kule ni KUBAYA.

Mi binafsi ningepata post Tunduma nakimbilia fasta.

#YNWA
 
Wakuu nimeitwa kwenye intervew Utumishi Afisa kilimo II -NAOT naombeni muongozo , nipitiepitie wapi kujinoa? Maana hapa ni kupambania kombe, najua wapo wanaJF wenye uzoefu katika hili tusaidiane jamani.
 
Post za kilimo kwa utumishi lazima upige msuli wa Research maana maswali ya research huwa ni Kama lazima na mengine ya general concept basing on agricultural courses

Mtihani huwa ni dakika 40 maswali ni manne au matano hivi

Komaa ufaulu mtihani wa written
 
Wakuu Kuna Afisa Kilimo yeyote Yuko ASA . Namuomba Tafadhari Niko na shida
 
Back
Top Bottom