Kubadilishana vituo vya kazi, Kada ya Kilimo

Mimi ni afisa kilimo ambaye bado sijapata kazi na natafuta kazi lakini iwe na ujira wa kuanzia laki 8 na kuendelea bila makato
 
Mbona sioni afisa polisi akiomba kubadilishana kituo cha kazi na mwenzake....!!? Au huwa wanaridhika!?
 
Mbona sioni afisa polisi akiomba kubadilishana kituo cha kazi na mwenzake....!!? Au huwa wanaridhika!?
naona swali lako unalipenda sana, unaliuliza mara kwa mara, hawa jamaa ni sio wataalam, ni walinzi wa raia na mali zao, pia lindo hupangiwa,ukiruhusu wajipangie uharifu utaongezeka,maeneo korofi yatakosa walinzi mfano pwani
 
Mimi ni Weo tafta mtu wa kubadilishana nae kituo Kondoa..
Kwenda Mkoani



Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni afisa kilimo ambaye bado sijapata kazi na natafuta kazi lakini iwe na ujira wa kuanzia laki 8 na kuendelea bila makato
Jiajili kwenye field yako hii.,uta make zaidi ya hiyo unayotaka
 
Afisa mifugo daraja la pili nipo wilaya ya Hanang' mkoa wa Manyara, aliye tayari tubadilishane mikoa ya ARUSHA,KILIMANJARO na MOROGORO....ni PM.
 
MIMI NI AFISA KILIMO II HANDENI DC, NATAKA KWENDA KILOLO,IRINGA MJINI, IRINGA VIJIJINI, LUDEWA, WANGINGOMBE, MUFINDI, 0716999727
 
Mimi ni afisa ushirika wilayabya Momba mkoa wa songwe naomba kubalishana na afisa ushirika wa Iringa mjini,Dodoma mjini, Morogoro mjini, chamwino Bahi, mtera.
 
NATAFUTA MTU WA KUBADILISHANA NAYE KITUO CHA KAZI. MIE NI AFISA MIFUGO DARAJA LA PILI. NATAFUTA MTU YEYE AJE TARIME MJI MIE HALMASHAURI YOYOTE KATIKA MIKOA YA RUVUMA,NJOMBE,IRINGA na MBEYA.

MAWASILIANO 0762940676/0716421449
 
Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi. Yeye aje Tarime Mji mimi halmashauri yoyote katika mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mbeya,Iringa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom