Nimesoma kilimo, natafuta kazi ya Agronomist

MPSZX PAULO

Member
Mar 12, 2020
38
32
Natafuta kazi ya Agronomist (mtalaam wa kilimo

Elimu yangu: Bsc. Horticulture

Uzoefu wa kazi katika kilimo Kwa miaka 3
Rubis Agri Ltd
1. Uzalishaji mahindi ekari 200 sawa na ton300 Kwa mwaka
2. Uzalishaji ndimu ekari 50
3. Uzalishaji migomba(mzuzu) ekari 50
4. Uzalishaji macadamia nuts ekari 60
5.Uzalishaji mboga mboga Kwenye nethouse 4
6.Uzalishaji Miche ya mbogamboga na matunda kwenye vitalu nyumba
7. Kulima, kupulizia dawa, kuweka mbolea, kuslash Kwa kutumia mashine za kilimo
8. Kufunga mifumo ya umwagiliaji mashambani ekari 50
9. Kuanda bajeti ya kilimo kama, mbegu , mbolea na madawa
10. Kuongeza na kutoa maelekezo Kwa wafanyakazi wa shamba zaidi ya 50
11. Kusaidia kupata masoko Kwa ajili ya mazao ya shamba

Kwa yeyote mwenye connection na fursa za nafasi za kazi za mashamba (Agronomist) kwenye makampuni ya kilimo /mashamba binafsi yanayolima kibiashara

Anicheki Kwa namba hii 0743138750
Kwa mawasiliano zaidi
 
Mkuu shida siyo kujiari tu kilimo kinahitaji mtaji
1.shamba
2.mbegu
3.mbolea
4.mifumo ya umwagiliaji
5.zana za kilimo kama matrekta, majembe ya trekta, boom sprayer
6.madawa ya kilimo
Ndipo utalima Kwa mafanikio
Vinginevyo utakuwa unalima ushahidi tu kwamba umejiajiri lkn hakuna unachopata zaidi ya unga wa ugali
Natafuta ajira kwanza nikusanye mtaji nipate kianzio ndipo nijiajiri

Kilimo ni gharama kinahitaji mtaji uliokwenda shule Kwa kiasi fulani
 
Nenda shambani mzee wng hapo kwa elimu na utaalam ulionao utatoboa chapu
Mkuu mfano wa bajeti kilimo Cha nyanya ekari 1

1.kukodi shamba 50000/-
2.kusafishiwa shamba 70000/-
3.kulimiwa shamba 50000/-
4.mbegu ya nyanya ubora mdogo kabisa 50000/-
5.kamba za kufungia nyanya roller3 @40000=120000/-
6.mbolea mifuko5 @150000=750000/-
7.dawa za wadudu na ukungu mpaka kuvuna 150000/-
8.Generator ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo Cha maji 300000/-
9.mipira ya kusafirishia maji mita mia 175000/-
10.miti ya kuegeshea nyanya Kwa ekari Moja 1250@200 = 250000/-
11.kijana mmoja wa kusaidiana nae kazi Kwa miezi 4@100000=400000/-
12.kupalilia shamba awamu 3@40000=120000/-
13.busta1 20000/-
14.vibarua wa dharura kama kufunga kamba Kwa miezi ninne 100000/-
15.vifaa vya kilimo kama, majembe, mapanga, visu, ndoo, 30000/-
16.unga wa kula ww na kijana wako Kwa miezi minne siku120 kilo2 Kila siku kg240@1800=432000/-
17.mboga tuseme dagaa maji na chumvi tuqqq chukuchuku 2kg Kila mwezi Kwa miezi4 8kg@8000 =64000
18.nauli za kuletewa hivyo vitu shamba na madereva tofauti tofauti Kwa sababu huvipati siku moja na kutoka Kwa mtu mmoja 100000-

JUMLA million 3.231
 
Umesomea kilimo na tayari una uzoefu mzuri, kwanini usiende shambani? Ukiajiriwa utalipwa basic salary ya 900,000 baada ya makato una 650,000 with full of stress

Slavery mindset🚮
Capital baba, kilimo kinahitaji mitaji mizigo lakini kama ana uzoefu na mbogamboga anaweza akatoka maana miezi mitatu unavuna na acre Moja au mbili inatosha Kwa kuanzia
 
Mkuu mfano wa bajeti kilimo Cha nyanya ekari 1

1.kukodi shamba 50000/-
2.kusafishiwa shamba 70000/-
3.kulimiwa shamba 50000/-
4.mbegu ya nyanya ubora mdogo kabisa 50000/-
5.kamba za kufungia nyanya roller3 @40000=120000/-
6.mbolea mifuko5 @150000=750000/-
7.dawa za wadudu na ukungu mpaka kuvuna 150000/-
8.Generator ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo Cha maji 300000/-
9.mipira ya kusafirishia maji mita mia 175000/-
10.miti ya kuegeshea nyanya Kwa ekari Moja 1250@200 = 250000/-
11.kijana mmoja wa kusaidiana nae kazi Kwa miezi 4@100000=400000/-
12.kupalilia shamba awamu 3@40000=120000/-
13.busta1 20000/-
14.vibarua wa dharura kama kufunga kamba Kwa miezi ninne 100000/-
15.vifaa vya kilimo kama, majembe, mapanga, visu, ndoo, 30000/-
16.unga wa kula ww na kijana wako Kwa miezi minne siku120 kilo2 Kila siku kg240@1800=432000/-
17.mboga tuseme dagaa maji na chumvi tuqqq chukuchuku 2kg Kila mwezi Kwa miezi4 8kg@8000 =64000
18.nauli za kuletewa hivyo vitu shamba na madereva tofauti tofauti Kwa sababu huvipati siku moja na kutoka Kwa mtu mmoja 100000-

JUMLA million 3.231
Omba sponsa tu humuhumu ndani hutokosa,milioni 3 na ushee hutokosa kuna watu humu wana pesa hawajui cha kuzifanyia
 
Mkuu mfano wa bajeti kilimo Cha nyanya ekari 1

1.kukodi shamba 50000/-
2.kusafishiwa shamba 70000/-
3.kulimiwa shamba 50000/-
4.mbegu ya nyanya ubora mdogo kabisa 50000/-
5.kamba za kufungia nyanya roller3 @40000=120000/-
6.mbolea mifuko5 @150000=750000/-
7.dawa za wadudu na ukungu mpaka kuvuna 150000/-
8.Generator ya kuvuta maji kutoka kwenye chanzo Cha maji 300000/-
9.mipira ya kusafirishia maji mita mia 175000/-
10.miti ya kuegeshea nyanya Kwa ekari Moja 1250@200 = 250000/-
11.kijana mmoja wa kusaidiana nae kazi Kwa miezi 4@100000=400000/-
12.kupalilia shamba awamu 3@40000=120000/-
13.busta1 20000/-
14.vibarua wa dharura kama kufunga kamba Kwa miezi ninne 100000/-
15.vifaa vya kilimo kama, majembe, mapanga, visu, ndoo, 30000/-
16.unga wa kula ww na kijana wako Kwa miezi minne siku120 kilo2 Kila siku kg240@1800=432000/-
17.mboga tuseme dagaa maji na chumvi tuqqq chukuchuku 2kg Kila mwezi Kwa miezi4 8kg@8000 =64000
18.nauli za kuletewa hivyo vitu shamba na madereva tofauti tofauti Kwa sababu huvipati siku moja na kutoka Kwa mtu mmoja 100000-

JUMLA million 3.231
Bikiwa nazo hizo ukivuna unaniletea bei gani.3mil hela ndogo
 
Back
Top Bottom