Kuachwa na your/my first love -vs- umri

Mwambie shangazi anisamehe mwaya mie bado ni shangazi yake tu
Itabidi nifanye namna ..
Vip Teamo wewe bado unamkumbuka aliyekupiga kibuti?:A S 39:
hahaha!
hatukuwahi kugombana,
we are good friends kwa sasa,and she respects my familym (wife and kid)
 
Big,

Umesomeka lakini....kuna mipressure humo balaaa aiseee.....!
hommie hivi MASIKA hakukufundisha vyema hesabu?.....sorry fadha MUHUME hakukufundisha sawasawa fiziksi?

PRESSURE=FORCE/AREA
sasa kama hutaki presha maanake ongeza area.....!NA KUONGEZA AREA NI KUCHUKUA TOTOOZ ZENYE MAKALIO MAKUBWA(AREA)
 
Exactly my point hapo NL.........yani twiga stars LOVE them Serengeti boys na Serengeti ladies LOVE them Ankal.
Umeona tofauti hapo?
they can't do that on a first love......!ikitokea basi ni one in million occassions

LAKINI ON THE SECOND LOVE BAADA YA KUTENDWA....naunga mkono hoja yako kwa asilimaire mia nane
 
ninachoshindwa kuelewa ni hiyo dhana ya huyo mwenye 32 KUPATA UZOEFU WA KUONA NA KUSHUHUDIA PEKE YAKE TU.....!kwakweli kama ni ishu za kuona na kushuhudia tu hata darasa la 3-C wanaweza kuwa na uzoefu wa aina hiyo kwakuwa hivi vitu havitokei usiku tu

mimi naendelea kuhoji KUKOMAA KIFIKRA kwa huyo mwenye 32....!labda nithibitishiwe hapa kwamba fikra zinakomaa kwa UMRI TU....!yani UMRI TU FIKRA zinakomaa....!HAPA MIMI NITABISHA MPAKA ASUBUHI.tuna vijana wengi tu wenye 22-25 wana fikra pevu kabisa na wanajua wanachokifanya

NITARUDI

Kwahiyo Bwana mdogo unataka kusema age aint nothi but a number?

Hivi ni kwanini, vijana wakikorofishana hukimbia kwa wazee kwenda kuomba ushauri?
Hivi ni kwa nini hukumtumia mdogo wako kama mshenga wako?
Hini ni kwanini wasimamizi wa ndoa (samahani hapa kikiristo zaidi) wanalazimika kuwa watu wenye ndoa zao?
Hivi ni kwanini (kisiasa) kuna minimum ages za kushika posts kama urais nk
Hivi ni kwanini ukikwaruzana na mshiki unaniambia mimi na wala si Crap FINEST?

Ukiondoa elimu ya darasani, dont you think nimekuzidi kwenye elimu dunia? huamini nimeshuhudia mengi kuliko wewe?

Ntarudi tena kubishana.
 
hommie hivi MASIKA hakukufundisha vyema hesabu?.....sorry fadha MUHUME hakukufundisha sawasawa fiziksi?

PRESSURE=FORCE/AREA
sasa kama hutaki presha maanake ongeza area.....!NA KUONGEZA AREA NI KUCHUKUA TOTOOZ ZENYE MAKALIO MAKUBWA(AREA)
No Comment hapa!!!
 
Kwahiyo Bwana mdogo unataka kusema age aint nothi but a number?

Hivi ni kwanini, vijana wakikorofishana hukimbia kwa wazee kwenda kuomba ushauri?
sasa wewe wazee wanakujaje hapa?tunazungumzia 22trs vs 32yrs

Hivi ni kwa nini hukumtumia mdogo wako kama mshenga wako?
mshenga wangu alikuwa fidel80

Hini ni kwanini wasimamizi wa ndoa (samahani hapa kikiristo zaidi) wanalazimika kuwa watu wenye ndoa zao?
wakiwa na ndoa ina maana wana umri mkubwa?no way-dokta nove kasimamia ndoa akiwa na siku kumi tu baada ya ndoa yake,NOT VALID

Hivi ni kwanini (kisiasa) kuna minimum ages za kushika posts kama urais nk
sasa wewe utahamishwa jukwaa sasa....!it has nothing to do with siasa,

Hivi ni kwanini ukikwaruzana na mshiki unaniambia mimi na wala si Crap FINEST?
lazima ni kwambie wewe kwakuwa ni ndugu na rafiki wa siku nyingi,huyo finest tumekutana kimujinimujini,ndoa yangu haimuhusu....aftaroo we ni bwashee

Ukiondoa elimu ya darasani, dont you think nimekuzidi kwenye elimu dunia? huamini nimeshuhudia mengi kuliko wewe?
elimu ya dunia na ya darasa vyote utakuwa umenizidi LAKINI SI KWA UMRI PEKEE...kuna exposure,exiperience,na mambo mengine kama facilities za kuwa expozid na dunia

Ntarudi tena kubishana.
i was born to bishana.....
twende kazi
 
aaa wewe unaniangusha ulikua sista margaretha nini? above 30 yrs hakuna maumivu ukiachwa kuna kajihuzuni kadogo then life goes on (ni maoni yangu tu)
Without you my days are "Sadday,"Moanday, "Tearsday, "Wasteday, "Thirstday, "Fightday", and "Shatterday"

kama bila huyo jamaa kama siku ndo zinakuwa hivyo......akikata kamba si utakufa wewe
 
Back
Top Bottom