NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
SAMAHANI MAMA/BABA
nashindwa kuelewa ni kwanini huyu mwenye umri wa 32 ataumia zaidi?mimi nilidhani kwake yeye na utu uzima wake angerely kwenye FACTS na kukubali matokeo BILA KUUMIA
uchunguzi binafsi unaonyesha huyu mdogo anaendeshwa na hisia
Huyu ni baba mkuu
Ni kweli mdogo ataumia kwa hisia za kimhemko ...ila mkubwa ataumia zaidi kwa ile sense ya ersponsibility.
Tena mfano wako ni mzuri kuwa ni FIRST LOVE, bora ingekuwa sio first love tungesema past credit will serve the time.
Pia hisia hizohizo za huyu mdogo zitampa uhakika wa kumpata mwingine maana umri wake unampa ruhusa zaidi kutulia na kujipanga upya akiwa hafungwi sana na muda. Hebu piga mahesabu kwa mwenye umri mkubwa anavyopata taabu akianza kupiga mahesabu ya kuanza moja wakati umri unaenda...