Kwenye nyumba nyingi za kupanga Uswahilini chooni kunakuwa na Kopo la kutawazia, na mara nyingi hutumbukizwa kwenye ndoo ya maji iliyopo chooni. Lakini mbali ya shida ya kulenga shimo la choo au kukwepa maji yanayotoka ndani ya shimo la choo, kero kubwa na kinyaa changu kiko kwenye kutumia makopo ya chooni kwenye kutawazia. Mimi huwa na toilet Paper mfukoni ili nikiibukia uswazi nisitumie kopo la chooni.
Sijui na wewe unatumia makopo unayoyakuta chooni kwa ajili ya kutawazia?
lakini kama kimba lako mara nyingi lina urojo urojo na jepesi ni issue bila maji ya kutosha . Lakini kwa wale wanafofyatua mbolea ngumu ngumu ama ya mbuzi hata tissue haina maana . mradi umechana msamba vizuri na hufanyi haraka kumaliza shughuli kitu kinatoka bila kuacha masalia kwenye tigo.....
Na hapo no tunakuja wenye suala lingine la aina ya choo. Choo Kizuri ni cha kuchuchumaa maana kinaruhsusu pressure ya kimba litoke vizuri zaidi kuliko ile ya kukaa.
HEHEHEHE....mbavu zangu!!duh..kuna mshikaji mmoja alikata kimba pana na fupi..unaambiwa kitu kimetokeza nusu,nusu imebaki ndani, kila akijikwinya kitu hakitoki wala hakikatiki...mchizi akakivuta kwa mkono...
mkuu kigarama,
sasa toilet paper itasafisha mpaka vijweleo vyote bila maji?
hivi kwanza kuna haja na ulazimakwa kuhangaika kusafsha jalala la taka taka liwe safi kama nyumba ...