Zabibu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 256
- 54
Tumia kona za ukuta,vibuzi vya mahindi .Na kama unharisha tumia chupi yako kisha utumbukize chooni.
Aiseeee umetishaaaaa....duuuuuuh!
Tumia kona za ukuta,vibuzi vya mahindi .Na kama unharisha tumia chupi yako kisha utumbukize chooni.
Hapo umeniacha hoi. Watu matunda ya Morogoro na Tanga tunapiga kwa sana lakini kujisafisha ni lazima.Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia mwanaume inatakiwa ukitoka chooni jicho liwe jekunduuu kama umevuta bangi!! Tatizo watu wengi hawajui kuwa kuna mzunguko wa masaa 24 ambao kila ukifika mtu unatakiwa ukajisaidie lakini wengine wanajidai kujibana hapo ndipo kuchubuka kunapokuja.TP na water zitakuwa hazina umuhimu
Hapo umeniacha hoi. Watu matunda ya Morogoro na Tanga tunapiga kwa sana lakini kujisafisha ni lazima.Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia mwanaume inatakiwa ukitoka chooni jicho liwe jekunduuu kama umevuta bangi!! Tatizo watu wengi hawajui kuwa kuna mzunguko wa masaa 24 ambao kila ukifika mtu unatakiwa ukajisaidie lakini wengine wanajidai kujibana hapo ndipo kuchubuka kunapokuja.
Unajua tatizo letu ahtujui matumizi ya toilet paper. Toilet paper kazi yale ni kukausha maji kwenye kinyeo baada ya kutawaza lakini nashangaa watu wamegeuza toilet paper kuwa ndio chambio. Kwa ufahamu wangu mimi najua kuwa kitu chochote kichafu ili kitakate lazima kisafishwe kwa maji na sabuni. sasa kama wewe ukichambia toilet paper unategemea hicho kinyero kitakuwa kisafi kweli? Si ndio mwanzo wa kuanza kunuka mavi na pia mavi kugandia katika chupi? na ndio maana wapenzi huwa wanashindwa kutushukia huko chini kutokana na harufu kali wanayokutana nayo ambayo inasababishwa na kutochamba vizuri
kaka nilijua umejifungia chumbani unapiga msuli!!jf is so f***ing addictive...u been warned
Unajua tatizo letu ahtujui matumizi ya toilet paper. Toilet paper kazi yale ni kukausha maji kwenye kinyeo baada ya kutawaza lakini nashangaa watu wamegeuza toilet paper kuwa ndio chambio. Kwa ufahamu wangu mimi najua kuwa kitu chochote kichafu ili kitakate lazima kisafishwe kwa maji na sabuni. sasa kama wewe ukichambia toilet paper unategemea hicho kinyero kitakuwa kisafi kweli? Si ndio mwanzo wa kuanza kunuka mavi na pia mavi kugandia katika chupi? na ndio maana wapenzi huwa wanashindwa kutushukia huko chini kutokana na harufu kali wanayokutana nayo ambayo inasababishwa na kutochamba vizuri
Ninavyoelewa mimi ni kuwa wanaotumia toilet paper hawatumii tena maji. Tembea nchi nyingi isipokuwa za Uarabuni labda utaona ni hivyo. Kuingiza mkono huko na baada ya kujisaisaidia haja kubwa siyo ustaarabu wao.
Swali langu mimi ni kwetu sisi na mazingira yetu ya Uswahilini ambako kuna kopo la maji tu bila sabuni. Kipi ni bora, kutumia toilet paper au maji? Ukitumia maji hutaweza kusafisha sehemu zote mbili, kinyero na mikono. Mimi nimekaa Uswahilini DSM. Mtoto akitoka haja mama anachukua kopo la maji na kumsafisha bila sabuni. Yeye na mtoto wanakuwa wamechafuka. Hiyo ndiyo hali halisi.
Kwani huwa siogi? Toilet paper huwa zinatumika dunia nzima kama yanavyotumika maji. Tatizo la haya makopo ni jinsi gani wengine wanayatumia, huwezi jua mwenzio aliyekutangulia chooni ana aina gani ya kulishika na kulitumia hilo kopo!
Bwana toilet paper ni kubaki na uchafu tu.. kumbe ndo maana huwa nasikia harufu mbofu mbofu tukipishana.. sikujua kumbe ni sababu ya lutumia toilet paper..
Hata kama unatumia maji lakini hujisafishi vizuri ni lazima utanuka shombo, tena shombo baya ajabu!!Unajua tatizo letu ahtujui matumizi ya toilet paper. Toilet paper kazi yale ni kukausha maji kwenye kinyeo baada ya kutawaza lakini nashangaa watu wamegeuza toilet paper kuwa ndio chambio. Kwa ufahamu wangu mimi najua kuwa kitu chochote kichafu ili kitakate lazima kisafishwe kwa maji na sabuni. sasa kama wewe ukichambia toilet paper unategemea hicho kinyero kitakuwa kisafi kweli? Si ndio mwanzo wa kuanza kunuka mavi na pia mavi kugandia katika chupi? na ndio maana wapenzi huwa wanashindwa kutushukia huko chini kutokana na harufu kali wanayokutana nayo ambayo inasababishwa na kutochamba vizuri
Unaweza kutueleza kinagaubaga, ni nini hasa kinachokyufanya ulione kopo la chooni kuwa na kinyaa?Kwenye nyumba nyingi za kupanga Uswahilini chooni kunakuwa na Kopo la kutawazia, na mara nyingi hutumbukizwa kwenye ndoo ya maji iliyopo chooni. Lakini mbali ya shida ya kulenga shimo la choo au kukwepa maji yanayotoka ndani ya shimo la choo, kero kubwa na kinyaa changu kiko kwenye kutumia makopo ya chooni kwenye kutawazia. Mimi huwa na toilet Paper mfukoni ili nikiibukia uswazi nisitumie kopo la chooni.
Sijui na wewe unatumia makopo unayoyakuta chooni kwa ajili ya kutawazia?
Kama siku nzima huogi hilo ni tatizo, lakini unatumia Toilet na jioni na asubuhi unaoga huo uchafu uliobakia wakati wa kujisaidia si ndiyo unausafisha?
Duh mkuu uko deep kwenye hii topic sina swali kabisaalakini kama kimba lako mara nyingi lina urojo urojo na jepesi ni issue bila maji ya kutosha . Lakini kwa wale wanafofyatua mbolea ngumu ngumu ama ya mbuzi hata tissue haina maana . mradi umechana msamba vizuri na hufanyi haraka kumaliza shughuli kitu kinatoka bila kuacha masalia kwenye tigo.....Na hapo no tunakuja wenye suala lingine la aina ya choo. Choo Kizuri ni cha kuchuchumaa maana kinaruhsusu pressure ya kimba litoke vizuri zaidi kuliko ile ya kukaa.
Kitu hii ni kujiprogram tu kama hakuna tatizo la kiafya litakalotokea..unatakiwa ufanye hii biashara mara 1 tu kwa siku wakati unaoga then mpaka time nyingine unapooga tena.