kongosho......

Ukinikuta na Ricky jua nakuonjea chumvi tu.

Usiwe unamuwekea magadi, afu hajakolea limao na pilipili.

Debe 2 za limao zitatosha.

Situmii limao, mi naweka hiliki na mafuta jasmine.. Hayo ya limao mbona karne ishapita!
 
Ukinikuta na Ricky jua nakuonjea chumvi tu.

Usiwe unamuwekea magadi, afu hajakolea limao na pilipili.

Debe 2 za limao zitatosha.
Kongosho acha kuniharibia...we baki na akina Bishanga wazee wenzako mi niache na ma Miss saizi yangu lol
 
Last edited by a moderator:
Situmii limao, mi naweka hiliki na mafuta jasmine.. Hayo ya limao mbona karne ishapita!
Halafu Amyner huyu kongosho ananizoea vibaya...yan ananisumbua sana hadi ninechoka...naomba check nae
 
Last edited by a moderator:
afu karibu nahamia sirius

nilipangwa kuandaa mei mosi Tanga.

Kumbe mie ndo betri ya batani yako? Nina mpango wa kwenda rio di janero-Madagaska
Mwenzio nilikuwa unga ltd nikatolewa baruti,acha nijikalie kwenye sayari yangu.
 
Amyner akiwa hayupo unaongea hivi na konnie,akiwepo unachenchi lugha,lol!
Bishanga acha majungu...we mbona Lizzy akiwa hayupo unaongea vibaya na kongosho?
Mi sijasema kitu ila wewe unaniandama
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaa Cantalisia hii Guest yetu kiukweli iko mtaa fulani kule Mtwara karibu na janisa katoriki....
Nilikuwaga nikipita pale lazma nishangae sana

Hahahaha!Shem cpati picha wenyeji wa huko namna wanavoipronauns lol!hahahaha ucntaje mie nimetoa tu mfano lol!
 
Last edited by a moderator:
afu fellow tablet ana msumari wa nchi 20, sikujua lol. Unatoboa hadi kuta za mawe.

Namaanisha nchi(counties) zimetajwa ya kwanza ikiwa china, Tz, afganistani na kazalika.

Hahahaha!uwiiii,x-mke mwenza nakudai mbavu zangu lol!msumari wa nchi 20 alafu nchi zenyewe ikiwamo tz hahahahaha!
 
Back
Top Bottom