professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 352
Wakuu habari,
Kama kijana pia mwanafunzi Hapa Duce mwaka wa tatu, kuna jambo moja ambalo siku ya leo nakwenda kufanya maamuzi na sijui hatima yake itakuwa vipi.
Kuna binti mmoja hapo IFM, naye ni mwaka wa tatu ametokea kunipenda sana toka yupo first year (tulikutana kwenye issues za kidini), mrembo huyu ameonesha nia ya kuwa na mimi Kwa muda mrefu sana japokuwa mimi Sina kabisa hisia juu yake kwani namu- term kama dada tu.
Lakini wakuu kutokana na ugumu wa maisha nao pitia Sina namna, siku ya Leo nakwenda kuchukua maamuzi ya kumkubalia na kuanzia nae maisha mapya.
Huyu binti anatoka familia ya kitajiri, Mzee wake anamiliki mgodi wa dhahabu huko Geita na mama yake ni kanali wa Jeshi.
Ugumu wa maisha una ni force niwe nae japo nipate chochote Kitu Toka kwake.
Binafsi anataka badae niwe mume wake but Sina kabisa dream hiyo juu yake, na yupo Tayar kutoa chochote kwa ajiri yangu.
Ee Mungu ni samehe.