Hahahaha!uwiiii shem mie cmo aiseee,hahahaha umenichekesha mpaka bac!
Ini aza weds konnie anapiga msuba,au?
Unga LTD.....Kwani Eliza wa Tegeta si alishakupiga chini? Au bado una mkumbuka?Lizzy who?
Hahahahahahaaaa potezea basi na wewe lolAma kweli akipenda chongo huona kengeza,konnie kawa kibibi mara hii?
Hahahahaaa halafu kweli huwa anapotea ingawa sijajua kama huwa anakimbia topic au inatokea tuWakati huo kila mtu kashasahau habari zake! Lol...
Nani huyo?Na mtembea na pistol utamfanyaje?
Haahahahaaaaa hivi kwa sasa current station yako ni wapi vileOne day yes,iko siku.......
Situmii limao, mi naweka hiliki na mafuta jasmine.. Hayo ya limao mbona karne ishapita!
Hahahahaaa halafu kweli huwa anapotea ingawa sijajua kama huwa anakimbia topic au inatokea tu
Kongosho acha kuniharibia...we baki na akina Bishanga wazee wenzako mi niache na ma Miss saizi yangu lol