kongosho......

Bishanga kajiishia ataliweza panga boi nlofunga?

Hapa kwangu nina kisima cha maji na wala sijanunua motor, nakizungusha mwenyewe.
Siku ile mbona ulikuwa unahesabu matobo darini kisha ukanambia nikimaliza nifunike? Huo ujuzi wa pangaboi umeuvuna wapi bondeni ulikokuwa?
 
Last edited by a moderator:
afu karibu nahamia sirius

nilipangwa kuandaa mei mosi Tanga.

Kumbe mie ndo betri ya batani yako? Nina mpango wa kwenda rio di janero-Madagaska
Uuuuuuuuuuuwi at last!!!!!!!
Karibu love,bila wewe vibaton vya ipad yangu vina stuck.
Ulikuwa wapi wewe?
 
Huyo unayemwita niko naye hapa nampumuliza kwa mashine, hoi bin taaban.

Kanipa pasiwedi ya seva na akaounti zote za jei efu.

Ukinisumbua ninakulog auti foreva.

Umeanza tena vurugu zako? Nimwite invisibo akufanzie?
 
nilikuhurumia, mtu mwenyewe ushazeeka hadi basi, ningekuzungusha si ungekufa.

Betri yenyewe ya kuchaji na chaja ya kobe, unastiliwa kwa glukosi.

Nisije nikakumwagia hapa hazalani bure.

Kwanza naskia hata kasha ya kibabu cha Husyn?????

Siku ile mbona ulikuwa unahesabu matobo darini kisha ukanambia nikimaliza nifunike? Huo ujuzi wa pangaboi umeuvuna wapi bondeni ulikokuwa?
 
pole babu jinga,

uliacha mhogo kwa mbatata, he he he eti mashed potato, kitu mhogo bana kinatoa hadi unga wa ugali wewe.

Hahaha,mkuu umesahau nilivyovurumishiwa scud kwenye ile thread,tena ilirushwa toka kwenye dege kubwa!
 
Ukinikuta na Ricky jua nakuonjea chumvi tu.

Usiwe unamuwekea magadi, afu hajakolea limao na pilipili.

Debe 2 za limao zitatosha.

Mwanaume hufai wewe jamani. Mi basi tena. Ngoja nikapaki nguo zangu nirudi makwetu!
 
Mwanaume hufai wewe jamani. Mi basi tena. Ngoja nikapaki nguo zangu nirudi makwetu!

No bby... I mean wakati mi niko likizo nje ya JF na Kongosho pia alijitoa JF na niliporudi nae akarudi...
kwani Amyner mpenzi wangu si tulikuwa wote siku zote?? Usihofu juu yangu..kwanza Kongosho m-bibi hana hata mvuto
 
Back
Top Bottom