sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
huyu dada esther anatisha sana.
Namuona na li kofia lake,huyu jamaa sijui CUF wamempa bei gani,hafiti kabisa,ataishia kusilimishwa tu!Mi mwenyewe nipo nyuma ya Mtatiro na silaa hapa
Namuona na li kofia lake,huyu jamaa sijui CUF wamempa bei gani,hafiti kabisa,ataishia kusilimishwa tu!
Fisadi bbk, Esther ni fisadi ametoka maisha bora na bbke ni fisadi, hatudanganyiki! Je! Anajadili mada husika au anafanya propaganda?nonsense.
Ameanza Jerry silaa.. simuelewi
huyu J .Slaa simsomi ujue!
Mwenye namba ya simu ya mkononi ya Esther Wassira naiomba tafadhalini.
Huwezi kuelewa coz masikio yake yametega kusikia aina fulani ya story! Shame of u.